Mh Freeman Mbowe, jiuzulu uwenyekiti wa chama

.............Sidhani kama Dr wa ukweli akiwa M/Kiti ndio atakijenga chama..Tukumbuke kuwa Katibu ndiye mtendaji wa Chama,mwenyekiti ni figurehead,symbol,spokesman kwa baadhi mambo nk...nadhani Dr Slaa anafaa kuwa Katibu zaidi kuliko M/Kiti..
 
Kazi ipo mwaka huu maana kila mmoja ana lake jambo la kushauri, ningeruhusiwa ningesema kuwa sasa yafaa Makamba akaitwa kuja kuiendeleza chama badala ya mukama
 
mbowe ni kiongozi asie teteleka wala kununuliwa kwa garama yoyote wanachama na viongzi bado wanakuitaji uenderee kuiongoza chadema asiye taka mbowe aongoze ujuwe uyo ni kibaraka wa maccm mungu ibaliki chadema...
 
Mungu ibarika Tanzania, Mungu Ibariki CCM. Unajua unapaswa kuiombea serikali iliyoko madarakani kwa sababu ndiyo Mungu aliyeichagua ituongoze kwa wakati huo kwa makusudi yake no matter what!!!!
Sasa ukianza kusema Mungu ibariki CHADEMA jamaa yangu unakosea bhana. Unatakiwa uwe mzalendo upende Chama na Serikali iliyoko madarakani.
I love you all
 
.............sidhani kama dr wa ukweli akiwa m/kiti ndio atakijenga chama..tukumbuke kuwa katibu ndiye mtendaji wa chama,mwenyekiti ni figurehead,symbol,spokesman kwa baadhi mambo nk...nadhani dr slaa anafaa kuwa katibu zaidi kuliko m/kiti..

bila upendeleo 'umenena vyema'
 
Naanzisha Vugu vugu la Mbowe na Dr Mashinji kuachia Ngazi.
Hii sio ile CHADEMA tunayoijua.
Nani yuko Salama kwa Sasa ?

We Need Mbowe & Dr Mashinji to Step out.

Come on Lissu, Come On Godbless Lema, Come Jay Jay Mnyika, Come Halima Mdee, Come Jose Mbilinyi, Come on Suzan Kiwanga, Come on Mayor Bonie
We Need you Guys Pale Juu Kabisa
Tumeporwa U Mayor wetu Kino Kihuni Kabisa tumekaa Kimya, Our Godbless yuko Kizuizini tuko Kimya.
Our Peter now anaenda Jela, tuko Kimya.
Mbowe say something otherwise Kesho narudisha kadi yangu ya Chama na kum Join Dr Slaa.

John Mnyika ,Mwanahabari Huru , Tundu Lissu , Tumaini Makene , Mungi , Crashwise ,Arushaone . musa allan
 
Nilidhani ungesema hii sio chadema uliyoijenga kumbe unayoijua.Laana ya wapi hii. Mmechona wangapi wewe wakati wewe si mwanachama na hata ungekuwa mwanachama huna siafa za kuongea kwa vile wewe ni very CHEAP na upo kutafuta maslahi yako.
 
Sasa mnataka Mbowe awatetee wavunja sheria? Mwenzenu Mbowe kashtuka mapema kabisa, kaanza kutii sheria bila shuruti.
 
Chadema si mna uchaguzi unakuja? nadhani kama anaondoka mngefanya kumundoa ki demokrasia na sio mashinikizo au mapinduzi, ili chama kiendelee kuwa stable na sasa CCM wamekua agressive mno kuukandamiza upinzani..

tunaona yanayotokea CUF, mbunge kufungwa bila option ya fine, ben saanane nae kuna utata, So Chadema mngekuwa makini kwenye kiindi hiki mnahitaji umoja kuliko kipindi chchote kile
 
Mlishamshindwa mbowe,mmeishindwa CDM,mmezima bunge live,mmepiga marufuku mikutano ya siasa,mmemuibua pro.yule na kumpatia nguvu na.dhana za kuvuruga upinzan haitoshi mkamchotea rudhuku kinyemela,Haya sasa mmekuja na.mbinu za.kufunga Wapinzan.HAYA BANAAA ILA MNAKARIBIA KIDOGO KUINGIA KWENYE MZINGA WA NYUKI,TUTATAMBUANA TU
 
Sasa mnataka Mbowe awatetee wavunja sheria? Mwenzenu Mbowe kashtuka mapema kabisa, kaanza kutii sheria bila shuruti.
Sheria ni kwa wasio chama cha Kijana tu ....

Hivi kesi ya Mula imeishia wapi?....

upumbavu na nyie ni kama samaki na maji......
 
Sheria ni kwa wasio chama cha Kijana tu ....

Hivi kesi ya Mula imeishia wapi?....

upumbavu na nyie ni kama samaki na maji......
Mtafungwa sana kwa sababu mnavunja sheria kwa kusema mbona na fulani anavunja. Ukitaka kuwa salama ni kutii sheria bila shuruti basi.
 
Back
Top Bottom