Mh Freeman Mbowe, jiuzulu uwenyekiti wa chama

Kwa mtoa Hoja wa kwanza: Naona ni vizuri ukafahamu kuwa katibu mkuu wa chama ndiye mtendaji mkuu wa chama. Hivyo nguvu iliyonayo CDM kwa sasa inatokana na umahiri wa katibu wake mkuu Dk. wa Ukweli. Hata kwenye wizara mtendaji mkuu ni katibu mkuu wa wizara na sio waziri.

CCM imeporomoka kikubwa kutokana na utendaji mbovu wa aliyekuwa katibu mkuu wake, Mzee Makamba.

Hivyo basi hata kama umetumwa kuvuruga hoja hapa JF na ulikuwa hufahamu umuhimu wa kazi za katibu mkuu basi basi pata fursa ya kufahamu hilo.
 
Asante mkuu wangu!Hujakosea comrade,nipo kwenye kinyang'anyiro
Naelewa mkuu,najua unapenda sana kutoa changamoto...nahisi ukiwa mdogo ulikuwa rebellious sana,ha ha haaa!
Otherwise,good day comrade

Cha muhimu ni kuwa na confidence katika speech, unachosema kiwe kweli unachokiamini, automatically your body will respond to your theories and concepts in such a way you will enlight other people. You will have followers that believe in you ! hopes in you!

Back to me , Was raised in the Born Again church where pastor did not preach what is written in the bible! alihubiri matakwa yake, mipango yake, maono yake na akabaki kuumiza watu kisaiolojia. Jambo lile liliniuma sana na nikastick na nikasimamia waht bible say, what bible stand for, I reached in a stage to say it openly! na nikapata wafuasi.....nikaenda deep sana na kuwa bible apologetics, hapo nikaona usanii mkubwa sana kwenye dini zetu hizi. My stands is preach what you believe. Nikaja kuwa mtu anayewaza differently!

Ukija kwa chadema, kama tunataka chadema isirudie makosa ya CCM, then what I am doing is far better than any of your consultant does ! I love cdm in such a way that I am not blind-LOL! , but I love it!! sitaki kuja kujuta ikiwa madarakani, lazima wapitie chekeche langu ambalo naamini zuri tu. CCM haikuwa na challenge hizi miaka hiyo.

I believe CDM will make good ruling party than CCM., not because of good leaders, but because of us who sustain and strengthen good leaders in your party! This is secret only anticipated leader like you will understand what I mean.

Ben, rise up uokoe kizazi, you can be another Mandela or another Lincoln who knows!

Again stay focus, you have bright future.
 
Jamani, Jamani, Jamani!!!!!!!, tuache kukivuruga chama, hapo kilipo sasa hivi kinajionyesha jinsi kinavyokua kama mmea uliopaliliwa na kuwekewa mbolea, sasa mnataka kuukata wakati upo kwenye maua, mkitarajia kuvuna nini. Mtavuna mabua na pengine msivune kabisa. Mkikigusa tu kukijenga itachukua muda mrefu sana mpaka kuwa na hali iliyoposasa hivi. Mimi ninavyoona kila kiongozi aliepo hapo amekaa safi kabisa pasiguswe tafadhali ila sisi huku nje tuwahimize wafanye kazi. Tunajua katibu mkuu ndiye mtendaji mkuu akiwa ni Dr Slaa.

Jamani vijana tuvumiliane mpaka kieleweke. :israel:
 
Napendekeza Mwenyekiti Mbowe ajiuzulu uwenyekiti wa chama ili kutoa nafasi kwa Dr. W Slaa kuwa Mwenyekiti mpya wa CHADEMA ili aweze kuijenga CHADEMA ipasavyo toka ngazi ya chini kabisa. Pia hii itakuwa ni heshima kubwa kwa Dr. Slaa kutokana na mchango wake mkubwa alioutoa katika kukikuza chama chao na hatimaye kufika hapa walipofika. Mchango wa Dr. Slaa katika uchaguzi wa mwaka huu hautasahaulika kamwe na utaingia katika historia ya nchi hii.

Katafute chama chako ukawapangie wenyeviti na makatibu, Dictator wewe.:A S cry:
 
Cha muhimu ni kuwa na confidence katika speech, unachosema kiwe kweli unachokiamini, automatically your body will respond to your theories and concepts in such a way you will enlight other people. You will have followers that believe in you ! hopes in you!

Back to me , Was raised in the Born Again church where pastor did not preach what is written in the bible! alihubiri matakwa yake, mipango yake, maono yake na akabaki kuumiza watu kisaiolojia. Jambo lile liliniuma sana na nikastick na nikasimamia waht bible say, what bible stand for, I reached in a stage to say it openly! na nikapata wafuasi.....nikaenda deep sana na kuwa bible apologetics, hapo nikaona usanii mkubwa sana kwenye dini zetu hizi. My stands is preach what you believe. Nikaja kuwa mtu anayewaza differently!

Ukija kwa chadema, kama tunataka chadema isirudie makosa ya CCM, then what I am doing is far better than any of your consultant does ! I love cdm in such a way that I am not blind-LOL! , but I love it!! sitaki kuja kujuta ikiwa madarakani, lazima wapitie chekeche langu ambalo naamini zuri tu. CCM haikuwa na challenge hizi miaka hiyo.

I believe CDM will make good ruling party than CCM., not because of good leaders, but because of us who sustain and strengthen good leaders in your party! This is secret only anticipated leader like you will understand what I mean.

Ben, rise up uokoe kizazi, you can be another Mandela or another Lincoln who knows!

Again stay focus, you have bright future.

Thanks alot Waberoya,
When we say younger generation, we talking about those with creative ideas and still in their 20's or 30's or early 40;s, those that understand what an average undergraduate is going through,those who understand what pet traders and jobless youth group experience in the daily life, those that have a good understanding of the current economic reality. Not those with stale knowledge.
Let us practice democracy. At least, Tanzania is still together. Whatever the deficiencies we have simply shows we can work hard and do away with the deficiencies. The most important thing is that this nation has remained one and united. It is true despite whatever problem that we may have.Tofauti ya kipato tu inayotokana na sera mbovu za system yetu na leadership vacuum ndizo zinazotugawa.Chadema kama chama kinakuja na Tumaini jipya kwa watanzania,nakubali hatukosi kasoro lakini utayari wetu wa kujisahihisha na kuchukua maamuzi mazito ndilo tumaini letu la kuwakomboa watanzania waliowekwa kizuizini ndani ya nchi yao,tunakataa kushikwa mateka ndani ya nchi yetu

So in orde rTo achieve all these,we must accept constructive criticism and Challenges,ili tuwe na thamani kama dhahabu tutakapochukua dola basi ni lazima katika kipindi hiki cha mpito tupite katika Tanuru la moto mkali.Moto huo ni ninyi au Sisi wenyewe,hapa najua umenielewa mkuu
What we need is leadership. Someone who inspires ppl to follow him by his words and actions. Someone who has vision,energy and youth that can lead a team of similar traits to formulate and implement agendas/policies that will unite,impact positively on the lives of the populace.

Once again,I salute you comrade!
 
Bila ubishi mbowe sasa ameshafikia mwisho wa uwezo wa kuongoza chadema anatakiwa apishe wengine tusipoangalia sasa hivi chama kitadorola kama ilivyotokea kwa NCCR.

Anaendesha chama kiajabu ajabu, Umeona mnyika kashamuhama sasa yupo upande wa zitto, bado mdee. Lema mropokaji tu hana lolote na cdhani kama ataongoza kwa kipindi kingine arusha. hajatulia kabisa.

Ili kuinusuru chadema mbowe lazima aondoke jamani

Ni mawazo yangu tu jamani nategeme reply za hoja cyo matusi plse!
 
Rufumbu,

Hebu tulia kidogo utoe hoja ya kueleweka. Toa tuhuma zinazoonesha amefika mwisho na hawezi kuwa bora ya hapo. Tueleze kama CDM inaongozwa na maamuzi yake binafsi au ni maamuzi ya kimfumo.

Jaribu kuja mwezi ujao jamvini, huenda utakuwa na taarifa nyingi zaidi na zenye maana. Serious!!!!
 
Umeandika kama kibaka anayemuibia mama yake aliye bafuni anaoga hivyo anaogopa asikutwe. Kwa hiyo hata tathmini yako kwa mbowe ni ya mawenge hivyo hivyo
 
Rufumbu,
Hoja yako yaweza kuwa na ukweli fulani, tatizo lako ni jini ulivowasilisha hoja yako unaifanya ikose mashiko. Lakini kama vile Zitto anavyosemwa sana na watu, kadhalika ndio watu pia wanavyomsema sana Mbowe. Ni jukumu lake kujitathmini na kuona kwanini watu wanamsema sana, kwanini watu hawamsemi mtendaji mkuu wa chama?

Mzee bila shaka kuna mambo,au watu hawakuamini. Katika CDM siawamini watu kama watano hivi: Zitto, Mbowe, Grace Kiwelu yule mbunge Profesa Kahigi na Shibuda
 
Mlipoenda kujivua magamba kule dodoma ungepitia mirembe kdg ucheki afya.
 
Lini utamalizia dozi yako.

huwa mara nyingi ninaposoma post zako unazochangia katika mada inayokuwa imeiguza chadema nakuona una udhaifu wa kumjibu mtu kwa hoja, na nina hisi una degree ya matusi ambayo inaambatana na maadili kuwa zero. Mtu anapotoa hoja wewe chukua nafasi ya kuwa mwalimu wake ili umfundishe na afundishike kwa kuelewa hoja utakazo mpatia. Usiifanye Jf kama kijiwe cha kutukania watu.
 
Rufumbu,
Hoja yako yaweza kuwa na ukweli fulani, tatizo lako ni jinsi ulivowasilisha hoja yako unaifanya ikose mashiko. Lakini kama vile Zitto anavyosemwa sana na watu, kadhalika ndio watu pia wanavyomsema sana Mbowe. Ni jukumu lake kujitathmini na kuona kwanini watu wanamsema sana, kwanini watu hawamsemi mtendaji mkuu wa chama?

Mzee bila shaka kuna mambo,au watu hawakuamini. Katika CDM siawamini watu kama watano hivi: Zitto, Mbowe, Grace Kiwelu yule mbunge Profesa Kahigi na Shibuda
 
Umeandika kama kibaka anayemuibia mama yake aliye bafuni anaoga hivyo anaogopa asikutwe. Kwa hiyo hata tathmini yako kwa mbowe ni ya mawenge hivyo hivyo

bado kwa typing zako hizo hujatumia uwezo wako wa kumfundisha kwa hoja ili abadili uelewa wako, na kwa udhaifu huo bado namuona mtoa hoja kakufunika kwani huna majibu ila kejeri na matusi
 
huwa mara nyingi ninaposoma post zako unazochangia katika mada inayokuwa imeiguza chadema nakuona una udhaifu wa kumjibu mtu kwa hoja, na nina hisi una degree ya matusi ambayo inaambatana na maadili kuwa zero. Mtu anapotoa hoja wewe chukua nafasi ya kuwa mwalimu wake ili umfundishe na afundishike kwa kuelewa hoja utakazo mpatia. Usiifanye Jf kama kijiwe cha kutukania watu.
Umemaliza ama bado unaendelea.
 
Napendekeza Mwenyekiti Mbowe ajiuzulu uwenyekiti wa chama ili kutoa nafasi kwa Dr. W Slaa kuwa Mwenyekiti mpya wa CHADEMA ili
  1. aweze kuijenga CHADEMA ipasavyo
toka ngazi ya chini kabisa.

Pia hii itakuwa ni heshima kubwa kwa Dr. Slaa kutokana na mchango wake mkubwa alioutoa katika kukikuza chama chao na hatimaye kufika hapa walipofika. Mchango wa Dr. Slaa katika uchaguzi wa mwaka huu hautasahaulika kamwe na utaingia katika historia ya nchi hii.

hapo kwenye red... Hivi unajua kazi za mwenyekiti na katibu mkuu??
Yupi ni mtendaji mkuu wa chama?
Ukishindwa kasome katiba ya chama cha CDM itakusaidia sana kukua kifikra kuliko kuwa masikini wa kutupwa wa fikra
 
Mchango gani katoa wa pesa? Huyo slaa anajua pesa ya uchaguzi iliko toka? Unadhani chama bila pesa utakijenga? Kwanza Slaa sio mwanzilishi wa chadema
 
Back
Top Bottom