Daniel Anderson
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 872
- 141
kazi kweli kweli!
Mkuu hiyo signecha yako safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaa
kazi kweli kweli!
Akiwa ziarani katika kijiji cha Bulige wilayani Kahama.Mh. E.Maige Mbunge wa Msalala amesema CCM inatekeleza sera ilizoahidi kwa wananchi na kwamba wapinzani hawawezi kuleta maendeleo kwa wananchi, zaidi wataishia kupiga kelele na kutaka maandamano ya umma. Mwana jf changia hoja hii.
Wakuu wote mliochangia hoja hii nawashukuru sana. Maana kila mmoja amezungumza kile alichoona kinafaa kuwekwa hapa. Kumbukeni ''Macho ya wengi ni dawa'' Nathamini mawazo yenu na kama yapo zaidi endeleeni kuchangia zaidi.
Tufafanulie hayo maendeleo Maige amefanya huko Msalala.
duu umeenda mbali sana great thinker mleta mada bado anajifunza au anfaidi kupitia mfumo ilopo,,,naungana na wewe sera ya maisha bora ina wenyewe ktk ccm sio wote wengine wanwasindikiza wengine kama tunavyo wasindikiza kina maigeNone sense, kila leo kuuza na kusafirisha nyara, magogo na wanyama wa serikali kwa njia za kifisadi sasa huu upuuzi anaoongea ni nini?
kama miezi 3 iliopita pale kwake segese palikuwa na fujo wananchi walitaka kubomoa house kisa kashusha generator ya kutumia kwake wakati aliwaahidi umeme,upinzani unakusanya kodi?Kwa ufupi Mh. Maige katika kipindi chake hiki cha ubunge, ameboresha barabara nyingi za vijijini ikiwepo ile ya kahama-bulige, ameboresha huduma za afya kwa kusambaza ambulance katika vituo vyote vya afya jimboni, ameleta huduma ya maji katika vijiji vingi mfano Chela, kashishi, kinaga, Ngaya n.k. Amesambaza umeme wa jua katika sekondari za kata, ametoa baiskeli kwa walemavu na mengine mengi. Katika kuelezea maendeleo aliyoleta Mh.Maige inaonesha upinzani mpaka sasa hakuna walichokifanya hususan pale Kahama mjini(ambapo ni ngome ya upinzani) mpaka sasa barabara zina mashimo ya kufa mtu. Mwenye ushahidi endapo kuna maendeleo yaliyoletwa na upinzani jimboni Msalala aanike hapa.
lipi!!!Sijatumwa; naomba toa maoni yako kuhusu hili.
Napita tuuuuuuuuuuu:tongue:
Akiwa ziarani katika kijiji cha Bulige wilayani Kahama.Mh. E.Maige Mbunge wa Msalala amesema CCM inatekeleza sera ilizoahidi kwa wananchi na kwamba wapinzani hawawezi kuleta maendeleo kwa wananchi, zaidi wataishia kupiga kelele na kutaka maandamano ya umma. Mwana jf changia hoja hii.[Mh. Ezekiel Maige awagaragaza wapinzani jimboni kwake/QUOTE
mtoa mada hujaeleweka!
Hili ndio tatizo la kusoma shule za Kata; amewagalagaza kwani kulikuwa na uchaguzi mdogo halafu maige akashinda?Akiwa ziarani katika kijiji cha Bulige wilayani Kahama.Mh. E.Maige Mbunge wa Msalala amesema CCM inatekeleza sera ilizoahidi kwa wananchi na kwamba wapinzani hawawezi kuleta maendeleo kwa wananchi, zaidi wataishia kupiga kelele na kutaka maandamano ya umma. Mwana jf changia hoja hii.
Kwa ufupi Mh. Maige katika kipindi chake hiki cha ubunge, ameboresha barabara nyingi za vijijini ikiwepo ile ya kahama-bulige, ameboresha huduma za afya kwa kusambaza ambulance katika vituo vyote vya afya jimboni, ameleta huduma ya maji katika vijiji vingi mfano Chela, kashishi, kinaga, Ngaya n.k. Amesambaza umeme wa jua katika sekondari za kata, ametoa baiskeli kwa walemavu na mengine mengi. Katika kuelezea maendeleo aliyoleta Mh.Maige inaonesha upinzani mpaka sasa hakuna walichokifanya hususan pale Kahama mjini(ambapo ni ngome ya upinzani) mpaka sasa barabara zina mashimo ya kufa mtu. Mwenye ushahidi endapo kuna maendeleo yaliyoletwa na upinzani jimboni Msalala aanike hapa.
Maendeleo aliyoyaleta hayaendani na wale TWIGA we2 aliyeuza nje ya nchi, garama zilizo2mika hapo ni sawa na katoto kamoja ka TWIGA