Mh. Ezekiel Maige awagalagaza wapinzani jimboni kwake

Brightman Jr

JF-Expert Member
Mar 22, 2009
1,225
232
Akiwa ziarani katika kijiji cha Bulige wilayani Kahama.Mh. E.Maige Mbunge wa Msalala amesema CCM inatekeleza sera ilizoahidi kwa wananchi na kwamba wapinzani hawawezi kuleta maendeleo kwa wananchi, zaidi wataishia kupiga kelele na kutaka maandamano ya umma.

Mwana jf changia hoja hii.
 
Mkuu, mbona hujawapa nafasi wapinzani ili wajibu hiyo hoja? Umeleta hoja ya upande mmoja wa Maige tu!
 
Badala ya kujali ni vipi Wanyama Wanasafirishwa nje ya Nchi Ndege zinatua KIA usiku bila yeye na Serikali yake kujua?

Hajui hilo litamkuna siku moja Ukweli Ukipatikana Ni Fisadi Huyo
 
Akiwa ziarani katika kijiji cha Bulige wilayani Kahama.Mh. E.Maige Mbunge wa Msalala amesema CCM inatekeleza sera ilizoahidi kwa wananchi na kwamba wapinzani hawawezi kuleta maendeleo kwa wananchi, zaidi wataishia kupiga kelele na kutaka maandamano ya umma. Mwana jf changia hoja hii.


Ukiwa mgeni kama wewe please take time to learn kabla hujaanza ujinga na kupoteza muda wa wadau hapa .Akili za facebook hizi rudi mkauze sura tuachie jamvi letu .
 
Ukiwa mgeni kama wewe please take time to learn kabla hujaanza ujinga na kupoteza muda wa wadau hapa .Akili za facebook hizi rudi mkauze sura tuachie jamvi letu .

safi sana mi nashauri wapimwe uwezo wao kabla hawajakaribishwa humu jamvini
 
Hoja ya kuchangia iko wapi? Matatizo ya ulemavu wa ubongo huanza polepole, stage uliyofikia unahitaji msaada....seriously.
 
mleta mada kichwa cha habari na ujumbe haviendani jaribu kuiedit ikae bomba sawa...
 
Hoja ya kuchangia iko wapi? Matatizo ya ulemavu wa ubongo huanza polepole, stage uliyofikia unahitaji msaada....seriously.

Anapima upepo Stanslaus ila umetokota mbaya na nina wasiwasi unaweza kuwa ndo maige mwenyewe
 
None sense, kila leo kuuza na kusafirisha nyara, magogo na wanyama wa serikali kwa njia za kifisadi sasa huu upuuzi anaoongea ni nini?
 
Back
Top Bottom