apolycaripto
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 644
- 225
- Thread starter
- #41
chuki binafsi!
Kwa mtazamo wako, inamaana hata Microsoft alaaniwe kwa kuua ajira za vijana wengi ma-messenger na ma-typist! Na Yahoo/GMail walaaniwe kwa kuua ajira za vijana wetu kule Posta na Simu!
Kwa mtazamo huu, sioni wa kumgusa Lowassa (ndani ya CCM), maana kila mara wimbo ni ule ule "Richmond", "ni Fisadi", "Nyerere alisema ana mali nyingi", ....
Bila shaka ungekuwa na hoja iwapo ungetuambia hiyo kampuni inatumia tekinolojia gani ambayo ni "unique" zaidi ya binadamu katika kufanya kazi zake ndani ya taasisi za serikali.Ni mfano mfu kulinganisha Microsoft na kampuni ya kufagia ambayo inachukua 200,000 toka Serikalini na kumlipa mwajiriwa 80,000.Eti ajira!tujihurumie jamani na kama sio sisi basi ndugu zetu.Hii si ajira bali unyonyaji na mkakati ulibuniwa kwa "ubinafsi"?Ushindani ulikuwepo wa kweli ama ni VIMEMO?.
Mke wa Waziri Mkuu unalishwa na kufanyiwa kila shughuli na fedha za umma wa Watanzania, kushindana na Masikini katika kupata tenda tena ndani ya chombo cha umma huu si unyonyaji?Usipopewa tenda, huyo anayepitisha atakuwa katika hali gani?