Mh. Edward Ngoyayi Lowassa: Acha kucheza na akili za Watanzania

EL just go for presidency men. But you know what men. We wananchi, will KICK YOUR ASS.
 
Kinachonishangaza zaidi ni the way watu wanavojaribu kujustfy kwa kisingizio cha 'hakuna msafi' kwa kweli hii bado si sababu tosha ya kutufanya tushabikie au kutetea uchafu jus for tht reason.
 
Kinachonishangaza zaidi ni the way watu wanavojaribu kujustfy kwa kisingizio cha 'hakuna msafi' kwa kweli hii bado si sababu tosha ya kutufanya tushabikie au kutetea uchafu jus for tht reason.
Hivi huyu jamaa katupangia nini ? Yaani mpaka JF kapata mandondocha !........daah ! Namuombe apate janga la kimungu ndilo litakalomzuia !
 
Kuna watu wanalipwa fedha nyingi kupromote ufisadi wake humu JF. Tena kaingia hadi makanaisani anahonga fedha za kufa mtu, hajui kuwa huwezi kumhonga Mungu!!!!!!!!!!!

Ngoja Mungu huyo huyo amgeuke na ufisadi wake ataongelea kwenye pipa!!!!


Na kuna watu wanalipwa hela nyingi kumchafua!!!
 
chuki binafsi!
Kwa mtazamo wako, inamaana hata Microsoft alaaniwe kwa kuua ajira za vijana wengi ma-messenger na ma-typist! Na Yahoo/GMail walaaniwe kwa kuua ajira za vijana wetu kule Posta na Simu!

Kwa mtazamo huu, sioni wa kumgusa Lowassa (ndani ya CCM), maana kila mara wimbo ni ule ule "Richmond", "ni Fisadi", "Nyerere alisema ana mali nyingi", ....

Nimeipenda sana hii! Mbona hawalaumu wenye makampuni ya ulinzi, tena wageni!
 
Back
Top Bottom