Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,409
- 31,394
Wanabodi,
Waziri mkuu amensimamisha kazi Katibu mkuu wizara ya afya na Mganga mkuu. Bila kuangalia sababu za kumsimamisha kazi katibu mkuu, ukweli unabaki pale pale amensimamisha kazi.
Kumbu kumbu zinaonyesha kuwa Ndugu Jairo alikuwa katibu mkuu wizara ya Nishati kama alivyokuwa Blandina Nyoni wizara ya afya. Wote hawa huteuliwa na mamlaka ya Rais.
Waziri mkuu aliwahi kusema kuwa hawezi kumshugulikia Jairo kwasababu yeye si mamlaka iliyometua. Fair enough!
Utata unakuja pale ambapo Waziri mkuu amemsimamisha kazi Blandina Nyoni tukijua kuwa si mamlaka iliyomteua.
Hapa kuna uwezekano sijaelawa jambo au nimeelewa vibaya. Naomba msaada wenu
Je, hii si double standard?