Mgomo wa TUCTA wapingwa na TIC na TCCIA

tatizo lipo kwa wafanyakazi kuwa kimya kwa muda mrefu mpaka sisi viongozi wa serikali tunadhani
wafanyakazi hawapendi maslahi bora , au kuna watu wamewachochea?

eti wafanyakazi mnapenda mishahara iongezwe?
 
Ni juavyo mimi kwa Watanzania, hiyo mikwara ya TUCTA and their alliance ndio kugoma kwenyewe hakuna zaidi ya hapo.
 
"Njaa kwa mwenzio' unaishabikia ya nini, muache afeeee Kitu gani"
Hao mafala TIC na TCCIA hawana lolote Mijizi namba moja haina jipya, Imeshibisha mitumbo, tunasubiri kuizika kwa kisukari na ukimwi.
Tumpavuuuu Kabisa kabisa......
 
Back
Top Bottom