Dr Klinton
Senior Member
- Jan 21, 2012
- 123
- 152
- Thread starter
- #101
sasa mkuu utrapataje huduma toka kwa mtu mwenye njaa arifu? udaktari sio sehemu kama benki au sehemu nyingine....sio sehemu ya kufanya majaribio.......wape chakula ma doc wamuhudumie baba yako....
Pole sana kaka hata mimi ni mwannchi wa kawaida na ndugu zangu wanapata shida sana ur msg is very sentimental
lakini mwishoni umeishia kututukana asante sana mkuu nayapokea matusi yako kwa mikono mitatu
elewa mimi ni kama wewe tu nina haki ya kufanya kazi mahala popote
Na sio kukuganyia wewe kazi bure kwa kuhatarisha hata maisha yetu
njoo basi ujitolee kusafisha mavi mavi na madamu damu na vifaa vya kufanyia kazi huna
Njoo tu usaidie hata kufagia wagonjwa wetu ambao wanakutisha hadi ukiwa
na mgonjwa hospitalini unaogopa kwenda kwani hali yake inaogofya sana
Idai serikali yako ikupatie huduma na sio mtu binafsi nafikiri umeyaona mapungufu
yako ktk kufikiria daktari ni mtu binafsi hawezi kuwa responsible kwa mambo
yako
ni sawa na mimi kudai let say gunia la mchele kwa mtu bure
hakuna hii
Serikali yetu dhalimu inabidi kuipa ms ingawa ki ukweli haiwapendi nyie wananchi wake
kwani tulianza kujadiliana nayo kuanzi mwaka jana mwanzoni lakini ikawa na kiburi
KWA UKWELI WEWE UTAKUWA MPUUZI KAMA UNATULALAMIKIA SISI
SERIKALI WALA HAIWAJALI HATA KIDOGO HUO NDIO UKWELI