Mgomo wa madaktari unaendelea; Watanzania tuungeni mkono

Narudia tena kuwaomba maDaktari wetu waone wanamgomea nani hasa:
-Yule aliyewasomesha "bure" kwa kodi zake?
-Wamegoma kweli au wako kazini sehemu zingine? Baadhi wana vi-NGO vyao, vi-zahanati vyao, wanalipwa kwa masaa hospitali binafsi..
-Mishahara na mafao yao mengine ni kidogo kuliko watumishi wengine?
-Wameamua kuinufaisha sekta binafsi ya TIBA nchini?
 
Kwakweli leo madakatari wote wamerejea kazini. Muhimbili leo asubuhi wakipishana kila mmoja kuwahi kutia sign daftari la mahudhurio.
Ni wazi wito wa Waziri Mkuu umeitikiwa kwa kasi ya ajabu.

Acha utani mkuu.
Nimetoka Muhimbili asubuhi, hakuna cha daktari wala nini. Waziri mkuu kachemka.
 
Kurudi kazini ni suala moja, kufanya kazi ni suala jingine.
Unajua kitu kinachoitwa "Go slow" au "work to rule"?

Binadamu hapelekwi kwa kiboko hata siku moja.

Na serikali inajifanya haijui kuwa mgomo baridi ni hatari zaidi ila inatafuta misifa tu.Itatue huu mgogoro kidplomasia..mbona tanzania ni bingwa wa kutatua migogoro ya wenzetu toka enzi za mwallimu na yetu inatushinda?
 
mkuu huyo ndio pasco bana......jamaa njaa sana......alafu anasimamia kwa uadirifu taaluma yake ya uandishi wa habari.....ndumila kubee huyo.....kaa nae mbali....
Ina maana bado kuna Memba mwenye akili timamu hapa JF anaweza kumuamini Pasco kwa lile ambalo ataripoti!!?? Njaa na akili kamwe aviwezi kwenda pamoja, ni sawa kuweka tone la mafuta kwenye maji.
 
agizo la waziri mkuu limefuatwa?

Tunawaomba wananchi waendelee kutuunga mkono pia sekta zingine sasa nazo zituunge mkono
wazi wazi hivi ni vita amkeni hii ni saa ya ukombozi hawa wanasiasa inabidi waache kufanya mambo ambao yanahitaji utaalam ambao wao hawana

ninachoweza kusema mbeya, dodoma,mwanza-bmc,na dsm confirmed mgomo unaendelea
tutaendelea kuwajuza maendeleo kwenye territories zetu zingine stay tuned

MY dad died in 2003, since then av been living with my baba mdogo, siku tatu kabla ya mgomo wenu, alipata ajali ya pikipiki, till today yupa mwaisela, hajapatiwa huduma, wewe leo unasema watanzania tukuunge mkono, nitawezaje kufanya hivyo, ilhali mtu ninayempenda na aliyenilea na kunisomesha, mguu wake unaoza muhimbili bila huduma yoyote....nailaumu serikali kwa kutowatimizia madai yenu, nawalaumu nyinyi zaidi, kwa kutokuwa na moyo wa imani, na kuweka maslahi yenu mbele na kuacha watanzania wafe na wateseke bila kujali umri wao, shida zao na familia zao...incase hamjui, we are all connected...we Dr klinton kama unavyojiita, haunifahamu mimi direct, but naamini kuna mtu unayefahamiana naye ambaye in one way or another, ananifaham na mimi pia, point yangu ni kuwa, wale watoto wanaoteseka bila huduma, wagonjwa wanaokufa kila siku, ni marafikzo, nduguzo, babazo, mamazo,wajombazo...but upo tayar kutowahudumia kwa kuhitaji pesa zaidi......Mungu amewapa nafasi ya kusoma, na ni yeye atayewahukumu wote mnaoacha kwa makusudi watu wafe.....hao mnaowadai, hawana shida, wakiumwa wanaenda india.....sisi, tulio wengi hatuna pa kwenda.......nasema on behalf ya watu wachache wenye mtazamo kama wangu, siungi mkono mgomo wenu....na sitounga mkono mgomo wenu......mzee wangu is dying, kids are dying, women are dying....ppo are dying....kisa mnahitaji hela...hela mnazodai, mtaziacha hapahapa........hakuna atayeenda nazo...........**** you all.....fu ck ur mgomo....leo nimeamini, Artificial education is no match for natural stupidity........nyie woooote mna ujinga wa asili ambao elimu imeshindwa kuutoa.....
 
Wajazeni viburi tu hao madaktari huu ushabiki wa kitoto ngoja tatizo likufike ndio utaona utamaduni wa sio waku entertain ...

Tatizo hapa nadhani wengi wetu tunaona kugoma Kwao kunazidi kuiondolea Sifa serikali ilyoko madarakani bila kuangalia wenZetu wanaumia kwa kiwango gani..

Leo kuna Mzee Njia panda ya kwa Dito ametoka kwake ameaga anakwenda kutafuta riziki Bahati mbaya amegongwa na Canter ameumia imagine hakuna anaejua wakati gani atapatwa na matatizo je will you be happy to see No one to comfort and serves you... The answer is NO

Kwahiyo lazima tuangalie Njia ya busara na sahihi ya kudai bila kuathiri wasiohusika ni sawa na kumfumania mama na kuamua kuua mama na Watoto sasa Watoto wamekosa nini...
Hatukatai wanamadai ya msingi lakini je Njia wanayotumia ni sahihi?

Hapa lazima tusiwe wajinga tukio la pale kwa DITO limenipa somo sana na ndio maana bado naamini kuwa mzalendo na nijijengee utu nadhani Kama Leo pale Njia panda nami nilikua mmoja wa waliomsaidia Yule Mzee na sio Dr ni msukumo tu wakibanaadamu ndio ulupelekea kumpa msaada..sasa Hawa ndugu zetu wamesomea bado wako kibiashara.... Tujadilini kwa hoja sio kukurupuka Kuonekana tuna solidarity Ujinga Mtupu wengine oh Uoga sijui Ujasiri sijui nn
 
mkuu huyo ndio pasco bana......jamaa njaa sana......alafu anasimamia kwa uadirifu taaluma yake ya uandishi wa habari.....ndumila kubee huyo.....kaa nae mbali....

Mkuu Yo Yo jamaa ameamua kusimama na Mafisadi lakn ndio hawa waandishi wetu wachache wanaoharibu taaluma za wengine
 
Wewe wa ajabu kweli na ndio tabia zenu wana Magamba kila anaesupport suala la haki basi yupo CDM
Hapana wewe ndio hujamuelewa, lugh aliyotumia ni fasaha na hata mtoto wa Nursery school atamuelewa, ni kwamba yeye anafahamu vyema kwamba CCM si chama cha kutetea haki za Watanzania, kwahiyo ukiona mtu anatetea haki basi huyo hana sifa ya kuwa mwana CCM.
Sasa hapo ni wapi hujamuelewa!!??
 
MY dad died in 2003, since then av been living with my baba mdogo, siku tatu kabla ya mgomo wenu, alipata ajali ya pikipiki, till today yupa mwaisela, hajapatiwa huduma, wewe leo unasema watanzania tukuunge mkono, nitawezaje kufanya hivyo, ilhali mtu ninayempenda na aliyenilea na kunisomesha, mguu wake unaoza muhimbili bila huduma yoyote....nailaumu serikali kwa kutowatimizia madai yenu, nawalaumu nyinyi zaidi, kwa kutokuwa na moyo wa imani, na kuweka maslahi yenu mbele na kuacha watanzania wafe na wateseke bila kujali umri wao, shida zao na familia zao...incase hamjui, we are all connected...we Dr klinton kama unavyojiita, haunifahamu mimi direct, but naamini kuna mtu unayefahamiana naye ambaye in one way or another, ananifaham na mimi pia, point yangu ni kuwa, wale watoto wanaoteseka bila huduma, wagonjwa wanaokufa kila siku, ni marafikzo, nduguzo, babazo, mamazo,wajombazo...but upo tayar kutowahudumia kwa kuhitaji pesa zaidi......Mungu amewapa nafasi ya kusoma, na ni yeye atayewahukumu wote mnaoacha kwa makusudi watu wafe.....hao mnaowadai, hawana shida, wakiumwa wanaenda india.....sisi, tulio wengi hatuna pa kwenda.......nasema on behalf ya watu wachache wenye mtazamo kama wangu, siungi mkono mgomo wenu....na sitounga mkono mgomo wenu......mzee wangu is dying, kids are dying, women are dying....ppo are dying....kisa mnahitaji hela...hela mnazodai, mtaziacha hapahapa........hakuna atayeenda nazo...........**** you all.....fu ck ur mgomo....leo nimeamini, Artificial education is no match for natural stupidity........nyie woooote mna ujinga wa asili ambao elimu imeshindwa kuutoa.....
sasa mkuu utrapataje huduma toka kwa mtu mwenye njaa arifu? udaktari sio sehemu kama benki au sehemu nyingine....sio sehemu ya kufanya majaribio.......wape chakula ma doc wamuhudumie baba yako....
 
Kwakweli leo madakatari wote wamerejea kazini. Muhimbili leo asubuhi wakipishana kila mmoja kuwahi kutia sign daftari la mahudhurio.
Ni wazi wito wa Waziri Mkuu umeitikiwa kwa kasi ya ajabu.

wizara ya afya imepeleka mamluki na watu wa usalama MNH kitengo cha EMD
 
Narudia tena kuwaomba maDaktari wetu waone wanamgomea nani hasa:
-Yule aliyewasomesha "bure" kwa kodi zake?
-Wamegoma kweli au wako kazini sehemu zingine? Baadhi wana vi-NGO vyao, vi-zahanati vyao, wanalipwa kwa masaa hospitali binafsi..
-Mishahara na mafao yao mengine ni kidogo kuliko watumishi wengine?
-Wameamua kuinufaisha sekta binafsi ya TIBA nchini?

Mkuu hivi ukimsomesha mtu kwa pesa yako,Hatakiwi kuwa na haki za msingi?yaani hayo maneno mnayatumia kama ngao ya kuikingia kifua serikali,hata hivyo nao ni walipa kodi kama wengine tu,au we hujui kodi zinalipwaje Tanzania?
 
MY dad died in 2003, since then av been living with my baba mdogo, siku tatu kabla ya mgomo wenu, alipata ajali ya pikipiki, till today yupa mwaisela, hajapatiwa huduma, wewe leo unasema watanzania tukuunge mkono, nitawezaje kufanya hivyo, ilhali mtu ninayempenda na aliyenilea na kunisomesha, mguu wake unaoza muhimbili bila huduma yoyote....nailaumu serikali kwa kutowatimizia madai yenu, nawalaumu nyinyi zaidi, kwa kutokuwa na moyo wa imani, na kuweka maslahi yenu mbele na kuacha watanzania wafe na wateseke bila kujali umri wao, shida zao na familia zao...incase hamjui, we are all connected...we Dr klinton kama unavyojiita, haunifahamu mimi direct, but naamini kuna mtu unayefahamiana naye ambaye in one way or another, ananifaham na mimi pia, point yangu ni kuwa, wale watoto wanaoteseka bila huduma, wagonjwa wanaokufa kila siku, ni marafikzo, nduguzo, babazo, mamazo,wajombazo...but upo tayar kutowahudumia kwa kuhitaji pesa zaidi......Mungu amewapa nafasi ya kusoma, na ni yeye atayewahukumu wote mnaoacha kwa makusudi watu wafe.....hao mnaowadai, hawana shida, wakiumwa wanaenda india.....sisi, tulio wengi hatuna pa kwenda.......nasema on behalf ya watu wachache wenye mtazamo kama wangu, siungi mkono mgomo wenu....na sitounga mkono mgomo wenu......mzee wangu is dying, kids are dying, women are dying....ppo are dying....kisa mnahitaji hela...hela mnazodai, mtaziacha hapahapa........hakuna atayeenda nazo...........**** you all.....fu ck ur mgomo....leo nimeamini, Artificial education is no match for natural stupidity........nyie woooote mna ujinga wa asili ambao elimu imeshindwa kuutoa.....

Wewe Pumbavu kabisa, kwani umekatazwa na nani kumpeleka mgonjwa wako Aga Khan au Trauma? umaskini wako unawahusu vipi madaktari? ni kiherehere chako ndicho kilichokupeleka Muhimbili.
 
Wewe wa ajabu kweli na ndio tabia zenu wana Magamba kila anaesupport suala la haki basi yupo CDM

Mkuu hawa walizoea kula na kipofu aambaye ni kiziwi pia, sasa wananza kula na kiziwi aliyepona upofu na anaona kinachoendelea wanaanza kushutuka. Kiziwi japo hasikii lakini anona na anaweza kulalamika. Ngoja kiziwi huyu anaendelea na matibabu, si muda mrefu ataanza kusikia kinachoendelea na moto utawaka. Chadema inachokifanya ni kumpa matibabu huyu kiziwi na kipofu ili aone na asikie na aanze kujitetea mwenyewe. Chadema wameanza kufanikiwa kuponya upofu wa watu wengi lakini bado wamebaki viziwi. Naamini Mungu atasaidia matibabu haya yataleta nafuu ili watu waanze kuona na kusikia na kuamua mstakabali wao.
 
Ina maana bado kuna Memba mwenye akili timamu hapa JF anaweza kumuamini Pasco kwa lile ambalo ataripoti!!?? Njaa na akili kamwe aviwezi kwenda pamoja, ni sawa kuweka tone la mafuta kwenye maji.

Mkuu jamaa kanitoka sana cku hizi hasa kile kitendo cha kushabikia Mafisadi si mnakumbuka aliwahi bainisha hapa Xmass alitakiwa kheri na Mafisadi kwa kuendelea kuwapigania?
 
Mkuu hawa walizoea kula na kipofu aambaye ni kiziwi pia, sasa wananza kula na kiziwi aliyepona upofu na anaona kinachoendelea wanaanza kushutuka. Kiziwi japo hasikii lakini anona na anaweza kulalamika. Ngoja kiziwi huyu anaendelea na matibabu, si muda mrefu ataanza kusikia kinachoendelea na moto utawaka. Chadema inachokifanya ni kumpa matibabu huyu kiziwi na kipofu ili aone na asikie na aanze kujitetea mwenyewe. Chadema wameanza kufanikiwa kuponya upofu wa watu wengi lakini bado wamebaki viziwi. Naamini Mungu atasaidia matibabu haya yataleta nafuu ili watu waanze kuona na kusikia na kuamua mstakabali wao.

Hakika mkuu watu wanaendelea kufunguka kila cku,Mungu endelea kubariki uongozi,wanachama na wapenzi wa CDM ili tuzidi kusonga mbele zaidi
 
Wewe wa ajabu kweli na ndio tabia zenu wana Magamba kila anaesupport suala la haki basi yupo CDM

Huyo jamaa ni kiazi sana,hapo walipo wameshapewa bahasha za posho,ndio maana wanaikingia kifua serikali,pambaf zao.
 
wizara ya afya imepeleka mamluki na watu wa usalama MNH kitengo cha EMD
Apelekwe Daktari yoyote kutoka JWTZ, UwT, POLICE, MAGEREZA,..., ili mradi huduma irejee. Yapo mambo ya kugomea nchi hii lakini sio huduma za afya, maji, umeme, usafiri na usafirishaji. Hizi zinagusa watu wa kawaida sana.
Unapotanguliza maslahi binafsi mbele katika mgomo, Watanzania lazima watakushangaa sana tu kwa kuwa wanateseka zaidi yako wewe unaegomea hicho kidogo unachopata.
 
Back
Top Bottom