Mgomo wa madaktari unaendelea; Watanzania tuungeni mkono

Dr Klinton

Senior Member
Jan 21, 2012
123
152
Je agizo la waziri mkuu limefuatwa?

Tunawaomba wananchi waendelee kutuunga mkono pia sekta zingine sasa nazo zituunge mkono
wazi wazi hivi ni vita amkeni hii ni saa ya ukombozi hawa wanasiasa inabidi waache kufanya mambo ambayo yanahitaji utaalam ambao wao hawana

ninachoweza kusema Mbeya, Dodoma, Mwanza-Bmc,na Dsm confirmed mgomo unaendelea
tutaendelea kuwajuza maendeleo kwenye territories zetu zingine stay tuned

10:00hrs
Dodoma leo wamegoma kuendela kwenda kutoa huduma afya bungeni kwaniwabung nao ni watanzania wa kawaida na wamekataa kuongea na naibu waziri wa afya mgomo unaendelea kama kawaida

ila kama kawaida kwa sababu wamiliki media jioni watawaletea propaganda zao

UONGOZI WA SERIKLINI UMEKAA NA WATUMISHI WA AFYA KUJARIBU KUWABEMBELEZA WARUDI KAZINI
KWANI SERIKALI NZIMA SASA IPO DOM TAYARI WA BUNGE

BIG UPDOM JAMAA WAMEGOMA KWENDA KUTIBU BUNGENMI AMBAKO WAKIENDA HUPEWA PERDIEMS
KWA SIKU TEH TEH TEH

12:50pm
Serikali ya kamata viongozi wa madaktari dodoma
Na sasa viongozi wetu hawa hawapatikani kwenye simu zao
Hii baada ya majadiliano kushindwa kufikia muafaka

Amana,Mwananyamala bado ngoma nzito serikali imeanza kutumia nguvu sasa

Bugando, mwananyamala wanafuatwa madaktari na kulazimishwa kusign kwa vitisho!!!

Bugando wamemkata kiongozi mmoja saivi anaandika statement
Madaktari waliolazimishwa kusign wamesign na kuondoka zao
 
pamoja sana, haki hua ipatikani bila kuidai. tunajua mpo kwenye wakati mgumu sana na nina hakika saa ya ukombozi imekaribia. fanyeni mtupatie account yenu tuwachangie walau fedha ya kununua maji hili ni muhimu sana kwa kua sie walimu tumeshindwa ngoja tuwaunge mkono nyie.
 
Dodoma leo wamegoma kuendela kwenda kutoa huduma afya bungeni kwaniwabung nao ni watanzania wa kawaida na wamekataa kuongea na naibu waziri wa afya mgomo unaendelea kama kawaida

ila kama kawaida kwa sababu wamiliki media jioni watawaletea propaganda zao

UONGOZI WA SERIKLINI UMEKAA NA WATUMISHI WA AFYA KUJARIBU KUWABEMBELEZA WARUDI KAZINI
KWANI SERIKALI NZIMA SASA IPO DOM TAYARI WA BUNGE

BIG UPDOM JAMAA WAMEGOMA KWENDA KUTIBU BUNGENMI AMBAKO WAKIENDA HUPEWA PERDIEMS
KWA SIKU TEH TEH TEH
 
Kwakweli leo madakatari wote wamerejea kazini. Muhimbili leo asubuhi wakipishana kila mmoja kuwahi kutia sign daftari la mahudhurio.
Ni wazi wito wa Waziri Mkuu umeitikiwa kwa kasi ya ajabu.
 
Vitisho na ubabe sio njia sahihi ya kutatua migogoro. Unaweza kutia saini lakin usifanye kazi.

Lakin all in all, siasa zimeingia hapo ndio maana Serikali imeamua kuchukua wajibu wake.

Hongera Pinda.
 
Kwakweli leo madakatari wote wamerejea kazini. Muhimbili leo asubuhi wakipishana kila mmoja kuwahi kutia sign daftari la mahudhurio.
Ni wazi wito wa Waziri Mkuu umeitikiwa kwa kasi ya ajabu.

nani kakwambia? police ndo wamevaa makorti hapa muhimbili

FFU wanalandalanda kuwadunga vichaa sindano ili wavae makoti wakatibu
 
Kwakweli leo madakatari wote wamerejea kazini. Muhimbili leo asubuhi wakipishana kila mmoja kuwahi kutia sign daftari la mahudhurio.
Ni wazi wito wa Waziri Mkuu umeitikiwa kwa kasi ya ajabu.

Kurudi kazini ni suala moja, kufanya kazi ni suala jingine.
Unajua kitu kinachoitwa "Go slow" au "work to rule"?

Binadamu hapelekwi kwa kiboko hata siku moja.
 
Dodoma leo wamegoma kuendela kwenda kutoa huduma afya bungeni kwaniwabung nao ni watanzania wa kawaida na wamekataa kuongea na naibu waziri wa afya mgomo unaendelea kama kawaida

ila kama kawaida kwa sababu wamiliki media jioni watawaletea propaganda zao

UONGOZI WA SERIKLINI UMEKAA NA WATUMISHI WA AFYA KUJARIBU KUWABEMBELEZA WARUDI KAZINI
KWANI SERIKALI NZIMA SASA IPO DOM TAYARI WA BUNGE

BIG UPDOM JAMAA WAMEGOMA KWENDA KUTIBU BUNGENMI AMBAKO WAKIENDA HUPEWA PERDIEMS
KWA SIKU TEH TEH TEH

safi sana daktari,tuko nyuma yenu.Msikate tamaa,kazeni uzi!haki haipatikani ila kwa njia ya upanga.
 
Wanabodi,

TBC imetangaza taarifa ya baadhi ya madaktari kuitikia wito wa Waziri Mkuu Pinda, na kurejea kazini hii leo asubuhi. Taarifa hiyo imesema huduma katika baadhi ya hospitali za mikoani huduma zimerejea kama kawaida!.

Hata hivyo taarifa hiyo imesema pia kuna baadhi ya hospitali, madaktari wamereja ila huduma bado hazijarea kama kawaida.

Taarifa hiyo ya TBC, imemalizia kwa kumuonyesha Waziri Mkuu Pinda akiahidi kuwa pamoja na amri ya kurejea kazini, serikali serikali haijapuuza madai ya madaktari, bali bado itayafanyia kazi yale madai yao ambayo ni genuine!

My Take:
Taarifa hii ya TBC imeonyesha ripoti za mikoani tuu na sio za hapa jijini!. Kwa vile hapa jijini ni karibu kuliko mikoani, nilitegemea taarifa ionyeshe matukio ya karibu zaidi hapa jijini kwa hospitali kama Muhimbili, Mwananyamala, Ilala na Temeke, hivyo kitendo cha kuonyesha taarifa za mikoani tuu, kinanishawishi niamini TBC inazo taarifa za karibu, ila ila imeamua kuzichagua zile ambazo imeona zinafaa kwa taifa kutangaziwa!.
 
Muongo mkubwa wewe! Hakuna dr aliyerudi kazini hata mmoja. Naungana na mchungaji Mod tunaomba ufute huu uzushi.
 
Wanabodi,

TBC imetangaza taarifa ya baadhi ya madaktari kuitikia wito wa Waziri Mkuu Pinda, na kurejea kazini hii leo asubuhi. Taarifa hiyo imesema huduma katika baadhi ya hospitali za mikoani huduma zimerejea kama kawaida!.

Hata hivyo taarifa hiyo imesema pia kuna baadhi ya hospitali, madaktari wamereja ila huduma bado hazijarea kama kawaida.

Taarifa hiyo ya TBC, imemalizia kwa kumuonyesha Waziri Mkuu Pinda akiahidi kuwa pamoja na amri ya kurejea kazini, serikali serikali haijapuuza madai ya madaktari, bali bado itayafanyia kazi yale madai yao ambayo ni genuine!

My Take:
Taarifa hii ya TBC imeonyesha ripoti za mikoani tuu na sio za hapa jijini!. Kwa vile hapa jijini ni karibu kuliko mikoani, nilitegemea taarifa ionyeshe matukio ya karibu zaidi hapa jijini kwa hospitali kama Muhimbili, Mwananyamala, Ilala na Temeke, hivyo kitendo cha kuonyesha taarifa za mikoani tuu, kinanishawishi niamini TBC inazo taarifa za karibu, ila ila imeamua kuzichagua zile ambazo imeona zinafaa kwa taifa kutangaziwa!.

Wewe pasco na bahasha zako hapa hazisadii

Propaganda zako za kimagamba hazitasadia,

Shame on you
 
Pinda kabip,sasa madr wanapiga,tutaumia leo,ila vizaz vingine vya utumishi vitaish vizuri
 
Hakuna kurudi nyuma na sisi wananchi tutaingia mitaani mda si mrefu maana tunakosa huduma aisee hii serikali ni ya kinyama!
 
Kwakweli leo madakatari wote wamerejea kazini. Muhimbili leo asubuhi wakipishana kila mmoja kuwahi kutia sign daftari la mahudhurio.
Ni wazi wito wa Waziri Mkuu umeitikiwa kwa kasi ya ajabu.

ukisema hivyo hali si hivyo umeua tayari, umehesabiwa dhambi. Kazi zingine hizi bora nikauze vitunguu
 
Back
Top Bottom