Ni wakati sasa watanzania kwa ujumla wetu tutambue serikali sio wamiliki wa mali zatu ni wasimamizi tu sasa sisi wenye mali tunapenda madaktari walipwe vizuri ili waweze kuhudumia afya zetu vizuri sioni kwa nini serikali haitaki kutii matakwa ya wenye mali na hii inaeenda sambamba na jinsi wananchi wanavyoamini ubunge ni kazi ya wito bungeni waende wale tu wenye kutaka kutatua kero za watu na kutaka kuwatumikia wananchi hata bure bila malipo yoyote na si vinginevyo