Sisi tutajuaje mkuu wangu kama walikuwa na uchungu?.. Hivi kweli unaweza kuletewa mgonjwa mahututi ukamfungia mlango usoni ukisema:- Tumefunga hakuna huduma tupo ktk mgomo...Halafu unasema walikuwa na uchungu sana kumwona mtu akifa na sio kwamba kifaa hakikuwepo au dawa ila kumtolea yeye mfano jinsi serikali ilivyokuwa haisikii madai yao na madai yenyewe mawaziri wajiuzuru kwanza na sio waletewe dawa au vifaa vya kazi kwanza!..Dah! ama kweli kazi ipo!Mkuu.. Hivi unadhani Madaktari walikuwa wanafurahia huo mgomo..? Au unafikiria Madaktari ni wakatili na hawana huruma hata kidogo..? Hii ndo dhana ambayo inalazimishwa kwa jamii kwamba Madaktari ni katili..! Unfortunately na ww kwa makusudi au bahati mbaya unasaidia kuisambaza hii dhana.. Ningependa Paulss uombe kwamba Serikali i-meet Doctors' demand halfway.. Badala ya kuendelea kujaribu kuwa-portray vbaya Doctors..