- Thread starter
- #21
Mkuu pamoja na ubovu wote wa JK na gvt yake lakini kwenye ukweli pasemwe basiYou are very wrong, unajua analysis zinazotolewa na wanaharakati kipindi cha budget?
Ever heard of Budget analysis? Umeshawahi kumsikia Irenei Kiria akuwa na team yake wakiongelea swala la allocation ya budget ya Afya? how small it is, and what are the key i=areas ambazo haziguswi kila siku?
Mkuu, wakati hawa wanaharakati wakiwa wanapambana na serikali katika level hiyo, wewe na wengine wetu huwa hatuoni kazi yao.
sasa hapa unakuja kutuambia eti vi-NGO vyao?
Wakati Wanaharakati wa haki za binadamu wakitoa taarifa za mauaji ya raia ambayo serikali haijachukua hatua yoyote, wakati wakisema this government should act firmly on the issues surrounding deaths of citizens in the gold mines, the right to live as a fundamental human right is to be protected by the regime........wewe hukuona kwamba wanafanya kazi?
Tuacheni porojo, watazania tutatawaliwa na hawa wahuni mpaka mwisho wa dahari!!.......kwa mwendo huu!!!.duh!!
Wanaharakati hawakwenda kuwa-support Drs, walikwenda kuiambia Serikali iwajibike kwa kushindwa kutoa huduma za afya na hatimae kusababisha vifo!!,
Ni kazi ya serikali kuhakkisha huduma za afya zinatolewa no matter what, wanaharakati waliona mgomo, wakasema madaktari wanahoja, lakini ni kazi ya serikali kutatua swala lao. baada ya kuona huduma za afya hasa kwenye hospitali za rufaa zimedorora, wao wakaema. no, we cannot have a government that does not act!
Paulss, jipange tena, apa umechemka mbaya!
Bandiko langu hakuna sehemu nimesema gvt ilikuwa sahihi, HAPANA, nilicho sema mimi ni kuwa kama haki yangu ya kwanza ni kuishi na DRs wamegoma je hawa wanaharakati hawaoni kuna haja pia ya kuwatetea Wananchi ambao ni wahanga wa mpambano huu? hivi nidhambi kwa wanaharakati kutaka DRs warudi kazini wakati wakiishinikiza serikali kutimiza matakwa ya DRs
Nimehoji je wanaharakati ni watu wa matukio kwa maana sijawahi kusikia wanaibua hoja yoyote, hiyo bajeti unayo sema wewe ikitoka si wanaharakati tu ni watu wote watasema maana ni tukio kubwa
Nitajie lini na hoja gani hawa jamaa wameibua, ukisema mauaji watasubiri yatokee ndio waite media sipo hapa kusema hawafanyi kazi nzuri, nipo hapa kusema kwamba hata kama gvt haiku act inavyotakiwa ilikuwa ni jukumu la wanaharakati kuikemea serikali at the same time kuhakikisha pia DRs wanahududmua wananchi maana ndio wanao watetea