PPM
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 838
- 228
Habari za ndani kabisa mpango wa kuvua gamba kigwangalla upo katika hatua za mwisho ndani ya chama, kama unabisha subiri uone!
Porojo hizo peleka kwenye Michuzi Blog au Magazeti ya Udaku
Habari za ndani kabisa mpango wa kuvua gamba kigwangalla upo katika hatua za mwisho ndani ya chama, kama unabisha subiri uone!
Habari za ndani kabisa mpango wa kuvua gamba kigwangalla upo katika hatua za mwisho ndani ya chama, kama unabisha subiri uone!
Rudisha kadi ya CCM kwa sasa unakuwa kama umetumwa na chadema kuivuruga CCM,
Kama alikaa kimya na kukaangwa na kushindwa kutetea msimamo wake hafai!
Silaha pekee ya kumuokoa Kigwangala ni kutishia kutoa barua ya kujiuzulu. CCM wanajua kuwa watapoteza uchaguzi mdogo huko Arumeru, hawako tayari kuona jimbo la Nzega wakiliachia hivihivi ukizingatia na majeraha waliyopata kwenye kura za maoni nzega 2010. Ghasia asifikiri kampeni ya kushinda jimbo ni sawa na kuinua mguu kitandani.