Mgomo wa madaktari: Kigwangwalla kufukuzwa CCM?

naomba asijali sana kuhusu ubunge wake ila ajali uhalisia. kama alichaguliwa yeye na si chama popote pale atapata ubunge wake.
 
Ninauliza kwa nini wananchi waendelee kuufumbia macho upuuzi huu,Kwani katika kila idara,kila sekta kila kampuni,vyama vya siasa hata katika familia kwa nini mtu anayesema ukweli ndio anaonekana hafai???

Watanzania tubadilike na tuseme basi inatosha;
Kwa nini mambo ya kipuuzi yanaendelea huku hali ya maisha ikiwa ngumu na maisha yakiendelea kupanda na wadanganyika tupo kimya tuu!!!!!

Mama ananielia nkya tunaomba mtuelimishe wadanganyika ili tupate moyo wa kuweza kuandamana na kuionyesha serikali hii hasira tulizonazo.

Wanaweza kuwapoteza wengi lakini hawatawamaliza;Wataua,watalisha sumu lakini sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.

Huleee watanzania tuamke hali ni mbaya serikali inaleta sana utani kwenye mambo ya msingi.
 
Wana JF naomba mtoe michango yenu katika suala la mgomo wa madaktari na maslahi anayoyapata DR.KIGWANGALA. Kwa mtizamo wangu KIGWANGALA hayupo kwa maslahi ya Chama chochote cha siasa na wala hana maslahi na madaktari wanaogoma. Anachotaka ni kuona nchi hii inachafuka na kwa sasa anaona amefanikiwa.

Wapo baadhi ya wana JF ambao wamesema wazi katika threads zingine kwamba KIGWANGALA siyo raia na ukazi wake huko Nzega ni wa kutilia mashaka. Amejaribu mara nyingi hata kuvichonganisha vyombo vya dola huko Jimboni kwake na haikufahamika kama alikuwa anafanya hivyo kwa sababu gani.

Lazima tuhisi kwamba KIGWANGALA ni mtu asiyeitakia mema nchi hii na kama tutaendelea kumchekea tutapata hasara isiyotarajiwa.

My take: Watanzania tusikubali watu kama KIGWANGALA ambaye hata uraia wake ni wa mashaka alete vurugu zinazoweza kusababisha machafuko ndani ya nchi yetu.
 
Ni jambo la kusikitisha sana kumuona Mbunge, tena wa CCM kuchochea mgomo wa madaktari nchini. Binafsi naona ni mjinga tu asiyependa kuona watanzania wanaishi kwa amani...hii inaonyesha kwamba kutakuwa na ukweli kuwa huyu mbunge si raia.
 
Aliyeandika hapa ni Mbuge tena wamagamba.
KWA TAALIFA YAKO DR KINGWANGALA NI KATI YA WACHACHE WANAMAGAMBA
WALIONYESHA UWEZO MKUBWA WA KUTETEA MASLAI YA UMA BILA KUANGALIA UCCM.
nampongeza sana kingwangala ni mtetezi wawanyonge kweli.
Ni kati ya wabunge wachache waliopinga kuongezeka kwa posho za wabunge,
hakujitazama yeye alilitazama taifa zaidi nadhani JF imemshep huyu mtu!
 
wewe ndio huitakii mema nchi hii,..for the record,.alianza kusemwa bashe sio raia baadae wakasema raia...kigwa anapinga wabunge kujiongezea posho bungeni na anaunga mkono madaktari..for me huyu ni mzalendo kuliko selasini wa chadema
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Ni jambo la kusikitisha sana kumuona Mbunge, tena wa CCM kuchochea mgomo wa madaktari nchini. Binafsi naona ni mjinga tu asiyependa kuona watanzania wanaishi kwa amani...hii inaonyesha kwamba kutakuwa na ukweli kuwa huyu mbunge si raia.
wabunge waccm badala ya kujiunga na kingwangala mnaleta majungu mmelogwa ninyi!
 
Ni jambo la kusikitisha sana kumuona Mbunge, tena wa CCM kuchochea mgomo wa madaktari nchini. Binafsi naona ni mjinga tu asiyependa kuona watanzania wanaishi kwa amani...hii inaonyesha kwamba kutakuwa na ukweli kuwa huyu mbunge si raia.

kuna amani gani tanzania?nyamongo,arusha,mbeya,.hiyo ndio amani?umasikini?utapataje amani wakati ukienda shule unawaza utatoka ngeu ngapi kugombea dawati?
 
wewe ndio huitakii mema nchi hii,..for the record,.alianza kusemwa bashe sio raia baadae wakasema raia...kigwa anapinga wabunge kujiongezea posho bungeni na anaunga mkono madaktari..for me huyu ni mzalendo kuliko selasini wa chadema
nakuunga mkono mkuu asilimia 100% achana na hawa vibalaka hawaitakii mema nchi hii, nitamtetea yeyote anayetetea maslahi ya umma bila kujali yupo chama gani, Makamba na kingwangala wameonyesha kwa upande wa ccm!
 
Ni jambo la kusikitisha sana kumuona Mbunge, tena wa CCM kuchochea mgomo wa madaktari nchini. Binafsi naona ni mjinga tu asiyependa kuona watanzania wanaishi kwa amani...hii inaonyesha kwamba kutakuwa na ukweli kuwa huyu mbunge si raia.

wewe unaonekana ni kilaza wa ccm tena ndio maana umeamua kuweka picha za makamanda kwenye avatar yako ili uvuruge jukwaa,
wakati wenu unakaribia bora ya gaddafi!
 
Ni jambo la kusikitisha sana kumuona Mbunge, tena wa CCM kuchochea mgomo wa madaktari nchini. Binafsi naona ni mjinga tu asiyependa kuona watanzania wanaishi kwa amani...hii inaonyesha kwamba kutakuwa na ukweli kuwa huyu mbunge si raia.
Bora nionekana mbaya ndani ya chama changu lakini Lulu kwa wananchi nilioapa kuwatetea hii ni pamoja na Madaktari. Amueni mnachotaka lakini ukweli ni kwamba naunga mkono Mgomo wa Madaktari. " Hongera sana Mbunge kwa moyo wako uwa uzalendo"
 
Ni jambo la kusikitisha sana kumuona Mbunge, tena wa CCM kuchochea mgomo wa madaktari nchini. Binafsi naona ni mjinga tu asiyependa kuona watanzania wanaishi kwa amani...hii inaonyesha kwamba kutakuwa na ukweli kuwa huyu mbunge si raia.

Umejitahidi!!!!!!!!,tunashukuru kwa mchango wako.
 
Ukiona hivyo, ujue kuna watu pamoja na kwamba wako CCM, lakini wana uchungu na maisha ya watanzania, hivyi wewe shilingi 150,000/= zinaweza kukutosha uishi kwa mwezi?. Usialaum ulipoangukia, laum ulipojikwaa. Subiri wapatikane Kigwangwala 10 ndani ya CCM halafu utaona kitakachofuata.
 
Huyo dogo hata wote tuliokuwa mhimbili twamjua vizuri. hata asiwe raia yeye aishi tu wapo wengi wanashiba TZ kuba bana.
hana cha uchungu wa usungu ni hiyo kero ya kutafuta umaarufu usio na mbele wala nyuma.
bahati mbaya hapa mwachangia mkiwa mwavalia miwani ya sihasa. poleni.
 
Wana JF naomba mtoe michango yenu katika suala la mgomo wa madaktari na maslahi anayoyapata DR.KIGWANGALA.
Kwa mtizamo wangu KIGWANGALA hayupo kwa maslahi ya Chama chochote cha siasa na wala hana maslahi na madaktari wanaogoma. Anachotaka ni kuona nchi hii inachafuka na kwa sasa anaona amefanikiwa.

Wapo baadhi ya wana JF ambao wamesema wazi katika threads zingine kwamba KIGWANGALA siyo raia na ukazi wake huko Nzega ni wa kutilia mashaka. Amejaribu mara nyingi hata kuvichonganisha vyombo vya dola huko Jimboni kwake na haikufahamika kama alikuwa anafanya hivyo kwa sababu gani.

Lazima tuhisi kwamba KIGWANGALA ni mtu asiyeitakia mema nchi hii na kama tutaendelea kumchekea tutapata hasara isiyotarajiwa.

My take: Watanzania tusikubali watu kama KIGWANGALA ambaye hata uraia wake ni wa mashaka alete vurugu zinazoweza kusababisha machafuko ndani ya nchi yetu.

kumbuka kwmb hlo jina la KIGWANGALA SIO LAKE,alinunua toka kw mwanakijj ambaye alifahulu lakini alikua hana uwezo kw kulpa karo(ada),nkilipata jina lake ntalianika.
 
Wana JF naomba mtoe michango yenu katika suala la mgomo wa madaktari na maslahi anayoyapata DR.KIGWANGALA.
Kwa mtizamo wangu KIGWANGALA hayupo kwa maslahi ya Chama chochote cha siasa na wala hana maslahi na madaktari wanaogoma. Anachotaka ni kuona nchi hii inachafuka na kwa sasa anaona amefanikiwa.

Wapo baadhi ya wana JF ambao wamesema wazi katika threads zingine kwamba KIGWANGALA siyo raia na ukazi wake huko Nzega ni wa kutilia mashaka. Amejaribu mara nyingi hata kuvichonganisha vyombo vya dola huko Jimboni kwake na haikufahamika kama alikuwa anafanya hivyo kwa sababu gani.

Lazima tuhisi kwamba KIGWANGALA ni mtu asiyeitakia mema nchi hii na kama tutaendelea kumchekea tutapata hasara isiyotarajiwa.

My take: Watanzania tusikubali watu kama KIGWANGALA ambaye hata uraia wake ni wa mashaka alete vurugu zinazoweza kusababisha machafuko ndani ya nchi yetu.
Kusema kwamba hana maslahi na jambo hili ni kumwone tu.....Kwanza Kingwangwala yeye mwenyewe ni daktari lakini pia kama ilivyo kwa watu wengine (mimi na wee tukiwamo!) anaathirika na utaratibu/hali isioridhisha katika huduma za afya hapa Tanzania. Ni bahati tu katika nchi zetu hizi suala la uwajibikaji ni msamiati....lakini kwa namna wizara na baadae PM walivyoshughulikia suala hili so far....wangepaswa kuwa watu wa mwanzo kuwawajibishwa!

Hili la uraia kama lina ukweli ama la tuwaulize kwanza CCM waliomsimamisha kugombea ubunge na baadae NEC....ilikuwaje wakamsimamisha/wakamruhusu asiye raia?

Ukiona watu wanaanza kumshambulia mtoa hoja badala ya hoja anazotoa, hapo ujue kuna walakini!
 
Nasema hivi Dr Kigwa hata kama akiwa ni mrundi,msoali au mkongo man,mimi namuunga mkono na alichokifanya naamini watanzania wengi wenye mapenzi mema na wasio na ubinafsi watakuwa wamekifurahia.nyie mnaoona amewakwaza shauri yenu,sisi tuliowapenda haki tuna mpa hongera na tuko nyuma ya madaktari kuhakikisha wanapata madai yao.
 
Back
Top Bottom