Mgomo Umemalizika Rasmi!. Jee Bado Kuna Umuhimu Rais Kukutana na Wazee wa Darisalama?!.

hapo kwenye masharti yeyote nadhani ndiyo upatazame vizuri. Conditions zile bado zipo ila wamerudi kazini baada ya kuahidiwa hizo conditions zitashughulikiwa...!
Mkuu Sweke, kitakacho shughulikiwa na JK ni yale madai yao ya msingi!. Baada ya yale madai ya msingi, ndipo wakaja na madai ya ziada ambayo ni conditional kwa kuweke shurti la waziri na naibu wake kung'oka ndipo warudi kazini!. Sasa wanarudi kazini bila sharti lolote!.
 
It has been long overdue kubadilisha/kuli-amend baraza la mawaziri..........however the changes to baraza la mawaziri tuwaachie JK na Waziri wake Mkuu at their own pace that suits them...........na sio kutokana na ultimatum ya kipuuzi kutoka kwa madaktari........
Tupo pamoja sana mkuu ila hatuwezi kukaa kimya na kuwaachia tu Rais na Waziri mkuu wake wafanye mambo kwa kasi wanayotaka wao hata kama hali inazidi kuwa mbaya...! Sijaona time frame kwenye tamko lao la sasa...!
 
Wanabodi,

JK ilikuwa akutane na Wazee wa Darisalama siku ya Ijumaa ili kutoa msimamo wake juu ya mgomo wa Madaktari!.
Ijumaa hiyo akaamua kabla hajatoa msimamo, akatumia busara kuwasikiliza hao madaktari, yeye mwenyewe kwa masikioo yake, licha ya taarifa zote alizoletewa na wasaidizi wake na vyombo vyake!. Hivyo akaahirisha kukutana na wazee mpaka Jumatatu, ili kutoa fursa ya mawasiliano zaidi.

Badda ya kuahirishwa ule mkutano wa jana, nilisema hivi

Leo Chama cha Madaktari MAT, kimekutana na kutoa tamko la kuumaliza mgomo wao unconditional!.

Sasa baada ya mgomo huu kumalizika rasmi, jee bado kuna haja ya JK kukutana na Wazee wa Darisalama?.

Mkumbuke taarifa ya madaktari, haukusema, waliongea na rais Ikulu, na hakuna taarifa ya Ikulu kueleza wamekubaliana nini na madaktari, bali ni MAT, ndio wametoa taarifa ya kuumaliza rasmi mgomo huo!. Kwa vile sasa mgomo umeisha, bado kuna haja ya kuendelea kuuzungumzia mgomo huu?.

Ningekuwa mshauri wa JK, ningemshauri hata hiyo Jumatatu, asizungumze na Wazee wa Darisalama, unless alikuwa na mengine ya kuongea nao na sio lazima lihusu huo mgomo wa madaktari!.

Maadam ameonana na madaktari, walichozungumza wanakijua wenyewe, na baadae madaktari wametoa taarifa kusitisha mgomo unconditional, nadhani sasa ni busara, tusiendelee kuuzungumzia mgomo huu ili kuepusha kumtafuta mshindi na mshindwa!.

Uamuzi wa madaktari kusitisha mgomo ni uamuzi wa busara unaopaswa kuungwa mkono na wote wenye mapenzi mema na nchi yetu!. Pia tuchukue fursa hii kuleta umoja na mshikamano, yale makundi yote tuliohasimiana kutokana na mgomo huu kwa baadhi ya wenzetu kuwaunga mkono madaktari na wengine tukipinga, sasa mgomo umeisha, tuwe wamoja tusonge mbele kwa maslahi ya taifa!.

Wasalaam

Pasco.

Mkuu Pasco post yako ya jana iko sahihi kwa kiasi kikubwa,ila kusema kua mgomo umemalizwa UNCONDITIONAL naona kama sio sahihi,maana nahisi kutokana na tamko la Drs ni kama kuna condition hasa pale kwenye kutotoa ushirikiano kwa waziri na naibu wake,pili nahisi huu mgomo si kua umemalizwa ila umesitishwa huku madaktari wakisikilizia rais atafanya nini juu ya madai yao!na je kwa mtazamo wakoila ili sakata litamuweka ktk ramani gani Pinda baada ya kuhangaika sana na vikao vya madaktari bila mafanikio lakini mkuu wa kaya akaja kulisuluhisha ndani ya kikao kimoja tu?
 
Umewadahilisha kima,ogah anafikiria kama mwehu,sioni haja ya kushabikia upende wowote kati ya jk na madaktari ila mjue kuwa madaktari watapata pesa lakini watanzania mtaendelea kuumia kwa jinsi mlivyoonesha kutokuwa na umoja mnapotetewa mnawageuza madaktari wanyama wakati hospitali zetu mnajua ni kama jehanam ndogo
 
Upuuzi ni huu ulioandika wewe na huu wanaofanya kikwete na pinda. Ni nini kiliwanyima kufanya hiki alichofanya jana kabla hata ule mgomo wa kwanza haujatokea. naamini ni kweli IQ ya mwafrika haitilafiani sana na ya nyani. Mtu unaacha kidonda kigeuke kidonda ndugu kwa kukataa matibabu halafu baadae unapokubali mguu ukwatwe unapongezwa? Elimu inatusaidiaje waafrika? Mtu kama wewe ogah bila shaka umesoma angalau f 4 lakini mbona unatenda kufikiri kama kima? angalia unasema madiliko ya baraza waachiwe wafanya kipindi wanachotaka na kwa muda unaowafaa wao.... sio wananchi wote..... comments za aina hii zinatolewa na na wajinga wasiojua n nini maana ya kutawala.....

hivi ubongo wako unajaza kizibo cha bia kweli? sidhani

kama IQ zako na madaktari wako ziko sawa....and you stand by your sentiments........... ni kitu gani kilichowafanya muache kugoma........nyie si majeuri.....endeleeni kugoma......kuna tofauti gani kati ya mlichoambiwa na Waziri Pinda na alichowaeleza JK.......au kuingia mjengoni na kuongea na JK ndio kumewapumbaza kwenye msimamo/masaburi yenu..........akili mbuzi kabisa...........Y'all disgusting!

Ninafahamu kuwa wewe ni mmoja wa vilaza niliowataja huko nyuma..........wewe kama uliona statement ya madaktari ndio IQ iliyobora.......na wewe upo lile kundi la wapuuzi ambao ni vilaza pia..........

Only vilaza ndio wanaweza ku-act the way you loosers acted.......professionals hawawezi ku-act kipuuzi namna hii.........
 
..Huwa najiuliza hivi pale Ikulu kuna nini, "nna mashaka pale Getini kuna kitu kimewekwa ukiingia tu kutaka kuonana na Baba Riz unalainika". Walianza Chadema na issue ya Katiba wakalainika, leo hii na Madaktari wamelainika.
Kuna nini Ikulu.

Nadhani tunaacha mambo ya msingi tunang'ang'ania kwenye non-issues. Hawa madaktari mpaka hivi sasa wameonesha kitu ambacho kwa Tanzania sijawahi kukiona. wanajipanga na wanaamua wanachotaka kufanya. hawafanyi kwa woga. mwanzoni walitishiwa kufukuzwa kazi, wakamwambia Pinda kama ni hao wanajeshi awapeleke tu. walifaulu kuwang'oa katibu mkuu na mganga mkuu. mara ya pili Pinda alitishia tena, lakini msimamo wao ukabaki pale pale. kumbuka JK alikuwa na mpango wa kuongea na wazee wa Darisalama kwa mtindo ule wa mbayuwayu. lakini naye alipiga hesabu zake akaona atachemsha. akaamua kuwa-CHADEMA, badala ya kuwa-MBAYUWAYU madaktari. hatujui alichowaahidi, lakini kitendo cha Rais wa nchi kuingilia kwa staili ile, kiliwapa matumaini kwamba hatimaye kibosile kawaelewa. tunachohitaji ni kusubiri tuone JK atafanya nini. kumbuka tatizo kubwa hapa ni KUONEKANA serikali imenywea, na siyo serikali kunywea. Kuahirisha kikao na wazee wa darisalama ni kunywea. kuwakaribisha Ikulu watu ambao unasema hawana nguvu za kisheria kuitisha mgomo ni kunywea. kilichofanyika ni show tu kuonesha umakini wa serikali, lakini ukweli ni kwamba serikali imenywea.

Fundisho kwa kada zingine: kwa TUCTA ambao JK aliwa-MBAYUWAYU, MAT wametoa somo zuri sana. hawana nguvu za kisheria walizonazo TUCTA, lakini wana vitu vingine ambayo ni somo zuri kwa wafanyakazi na watanzania kujifunza. tumemaliza ngwe moja na tunasonga mbele mpaka kieleweke.
 
Umewadahilisha kima,ogah anafikiria kama mwehu,sioni haja ya kushabikia upende wowote kati ya jk na madaktari ila mjue kuwa madaktari watapata pesa lakini watanzania mtaendelea kuumia kwa jinsi mlivyoonesha kutokuwa na umoja mnapotetewa mnawageuza madaktari wanyama wakati hospitali zetu mnajua ni kama jehanam ndogo

.......na wewe kazi ya kutetea wananchi kwa mgongo wa NGO umeianza lini.............aisee hii jumuia ya Vilaza mbona inakua kwa kasi ya ajabu namna hii..........
 
kama IQ zako na madaktari wako ziko sawa....and you stand by your sentiments........... ni kitu gani kilichowafanya muache kugoma........nyie si majeuri.....endeleeni kugoma......kuna tofauti gani kati ya mlichoambiwa na Waziri Pinda na alichowaeleza JK.......au kuingia mjengoni na kuongea na JK ndio kumewapumbaza kwenye msimamo/masaburi yenu..........akili mbuzi kabisa...........Y'all disgusting!

Ninafahamu kuwa wewe ni mmoja wa vilaza niliowataja huko nyuma..........wewe kama uliona statement ya madaktari ndio IQ iliyobora.......na wewe upo lile kundi la wapuuzi ambao ni vilaza pia..........

Only vilaza ndio wanaweza ku-act the way you loosers acted.......professionals hawawezi ku-act kipuuzi namna hii.........
Mkuu vipi tena...hiki si kiwango chako tulichokizoea...! Unaweza ukatofautiana na madaktari lakini tafadhali sana usiwafanishe na vilaza wengi humu ndani...!
 
Nadhani tunaacha mambo ya msingi tunang'ang'ania kwenye non-issues. Hawa madaktari mpaka hivi sasa wameonesha kitu ambacho kwa Tanzania sijawahi kukiona. wanajipanga na wanaamua wanachotaka kufanya. hawafanyi kwa woga. mwanzoni walitishiwa kufukuzwa kazi, wakamwambia Pinda kama ni hao wanajeshi awapeleke tu. walifaulu kuwang'oa katibu mkuu na mganga mkuu. mara ya pili Pinda alitishia tena, lakini msimamo wao ukabaki pale pale. kumbuka JK alikuwa na mpango wa kuongea na wazee wa Darisalama kwa mtindo ule wa mbayuwayu. lakini naye alipiga hesabu zake akaona atachemsha. akaamua kuwa-CHADEMA, badala ya kuwa-MBAYUWAYU madaktari. hatujui alichowaahidi, lakini kitendo cha Rais wa nchi kuingilia kwa staili ile, kiliwapa matumaini kwamba hatimaye kibosile kawaelewa. tunachohitaji ni kusubiri tuone JK atafanya nini. kumbuka tatizo kubwa hapa ni KUONEKANA serikali imenywea, na siyo serikali kunywea. Kuahirisha kikao na wazee wa darisalama ni kunywea. kuwakaribisha Ikulu watu ambao unasema hawana nguvu za kisheria kuitisha mgomo ni kunywea. kilichofanyika ni show tu kuonesha umakini wa serikali, lakini ukweli ni kwamba serikali imenywea.

Fundisho kwa kada zingine: kwa TUCTA ambao JK aliwa-MBAYUWAYU, MAT wametoa somo zuri sana. hawana nguvu za kisheria walizonazo TUCTA, lakini wana vitu vingine ambayo ni somo zuri kwa wafanyakazi na watanzania kujifunza. tumemaliza ngwe moja na tunasonga mbele mpaka kieleweke.
Mkuu Mindi, thanks for this!. Very objective!
 
Hapa tunajadili wakati tumemiss kitu kimoja cha muhimu sana nacho ni JK amekubaliana nini na MAT kuhusu hatima ya waziri wa afya na naibu wake,I believe JK amewaambia kitu kuhusu hatma ya hawa wawili na MAT wanasikilizia.stay tuned......
 
umewadahilisha kima,ogah anafikiria kama mwehu,sioni haja ya kushabikia upende wowote kati ya jk na madaktari ila mjue kuwa madaktari watapata pesa lakini watanzania mtaendelea kuumia kwa jinsi mlivyoonesha kutokuwa na umoja mnapotetewa mnawageuza madaktari wanyama wakati hospitali zetu mnajua ni kama jehanam ndogo

ambacho wewe hukijui ni kuwa katika majadiliano na serikali madaktari walishinda kwa hoja kwa kuwa hawakuweka maslahi yao mbele
jambo ambalo liliimaliza serikali kabisa

na kwa taarifa yako kuacha kusimamishwa kazi k/mkuu na mg mkuu suala ambalo serikali imetimiza ni moja tu baada ya mgomo wa pili kuanzia na madr kukataa kujadili pesa ...na jambo hiyo ni muh2 na moi kupewa pesa ya kuvumilia madawa na vifaa tiba jumatatu ya tarehe 5
kitu ambacho madr wanaona ni mwanzo tu kwani tanzania hospitali si moi na muh2 pekee ........
Fuatilia habari kama hujui si lazima ku comment humu au kwingine kokote la hasha uliza.
 
Tupo pamoja sana mkuu ila hatuwezi kukaa kimya na kuwaachia tu Rais na Waziri mkuu wake wafanye mambo kwa kasi wanayotaka wao hata kama hali inazidi kuwa mbaya...! Sijaona time frame kwenye tamko lao la sasa...!

Heshima mbele Mkuu Sweke.........

Unajua nini mkuu......when we fight......we must fight a good fight......inconsistency kwenye fighting ni dalili za udhaifu na una-expose udhaifu na hatimaye kushindwa............

A good fight.......sio kuleta upuuzi wa kitoto tena huu wa madaktari wetu ambao ni very unprofessional...............wengi wetu tuna upungufu mkubwa wa experience (probably inachangiwa na lack of exposure na profesional development/advancement) tunapokumbana na professional challenges kama za hawa ndugu zetu madaktari........mafikara yetu yanaishia kuongozwa na jazba, jeuri na wakati mwingine kuchanganya na siasa......

Its a known fact kuwa.........system yetu ni mbovu sana.......matatizo ya msingi yanajulikana......na yanatuathiri Watanzania............hizi sio habari za kidonda ndugu tu na mtu kukatwa mguu kama mjinga (nina imani kutoka sekta ya afya) mmoja alivyojaribu kuiweka hapo juu........it goes beyond that.......wewe mpiganaji Sweke nafahamu unalielewa hilo.........
 
ambacho wewe hukijui ni kuwa katika majadiliano na serikali madaktari walishinda kwa hoja kwa kuwa hawakuweka maslahi yao mbele
jambo ambalo liliimaliza serikali kabisa

na kwa taarifa yako kuacha kusimamishwa kazi k/mkuu na mg mkuu suala ambalo serikali imetimiza ni moja tu baada ya mgomo wa pili kuanzia na madr kukataa kujadili pesa ...na jambo hiyo ni muh2 na moi kupewa pesa ya kuvumilia madawa na vifaa tiba jumatatu ya tarehe 5
kitu ambacho madr wanaona ni mwanzo tu kwani tanzania hospitali si moi na muh2 pekee ........
Fuatilia habari kama hujui si lazima ku comment humu au kwingine kokote la hasha uliza.
Dr. Klinton ulikuwa karibu sana na jf kwa updates wakati wa ule mgomo wa kwanza, kwenye huu wa pili leo ndio nakusoma, nini kilikusibu?.
 
Heshima mbele Mkuu Sweke.........

Unajua nini mkuu......when we fight......we must fight a good fight......inconsistency kwenye fighting ni dalili za udhaifu na una-expose udhaifu na hatimaye kushindwa............

A good fight.......sio kuleta upuuzi wa kitoto tena huu wa madaktari wetu ambao ni very unprofessional...............wengi wetu tuna upungufu mkubwa wa experience (probably inachangiwa na lack of exposure na profesional development/advancement) tunapokumbana na professional challenges kama za hawa ndugu zetu madaktari........mafikara yetu yanaishia kuongozwa na jazba, jeuri na wakati mwingine kuchanganya na siasa......

Its a known fact kuwa.........system yetu ni mbovu sana.......matatizo ya msingi yanajulikana......na yanatuathiri Watanzania............hizi sio habari za kidonda ndugu tu na mtu kukatwa mguu kama mjinga (nina imani kutoka sekta ya afya) mmoja alivyojaribu kuiweka hapo juu........it goes beyond that.......wewe mpiganaji Sweke nafahamu unalielewa hilo.........
Mkuu Ogah, baada ya kumalizika kwa mgomo, lets not take sides wala tusimtafute mchawi wala winners na loosers!. Lets stand united as one team fighting for the common enemy, ijinga, unasikini na maradhi!. Naomba tuweke tofauti zetu pembeni tuungane na msimamo wa madaktari tusonge mbele!.
 
Watanzania bwana mbwembwe nyingi ohooo, Jk atakiona na mengine kibao, sasa mnaenedelea na hayo hayo ili iweje. Jk ni rais wa watu bwana mnatapa tapa tu.
kwa kuchelewa kuzungumza na madocta .....waliokufa watarudi ?kumbe alikuwa anawezaa alikuwa anasubiri nini mpaka jana?

Pasco,

..madaktari wanarudi kazini kwa ahadi kwamba Raisi atatekeleza madai yao.

..ahadi ya kutekeleza ndiyo "condition" yenyewe.

..kudai kwamba wanarudi kazini "unconditionally" nadhani ni kuleta mizaha.

..lakini tukiachana na hizo "semantics", hivi kweli madai yalikuwa hayana msingi??

..je, wa-Tanzania tumeridhika na hali ya mafao ya madaktari wetu, na mazingira ya utoaji huduma ktk mahospitali yetu?

..huduma za jamii nchi hii ni mbovu na zimedorora kana kwamba hakuna serikali hii. WHY???
 
Back
Top Bottom