Mgombea wa CHADEMA Igunga

Kila la kheri Mwl. Kashindye uchaguzi mwema.
Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeerr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mwache huyo kwani wao profesa maji marefu ana elimu gani?

siyo huyu tu wanae Mbunge wa Rorya, Mbunge wa Jimbo moja la Njombe na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa, Mbunge wa Mtera utaona mara baada ya kampeni kuanza watakuja na agenda ya elimu wamesahau walivyowapitisha hawa. Wabunge wanagapi wa CCM na elimu zao wanasinzia tu Bungeni hawana jipya?

Nonsense! Kwani qualification ya ubunge ni darasa la ngapi?
Kama mtu anaitwa Dokita, anahaidi akiwa Rais
-atajenga viwanja vya ndege vya kimataifa, japo nchi haina hata ndege moja
-Atajenga machinga complex kwa kila mkoa
-Atanunua meli kwenye maziwa yote ya TZ
-Atanunua bajaji ili kubeba wamama wajawazito vijijini
-Atajenga viwanja vya michezo vya kimataifa
-Huku akiwa na uhakika kuwa wafanyakazi wa nchi hii hata wasipo mpa kura atatawazwa mshindi,
WATANZANIA MUNGU ATUPE NINI?

toa pumba zako humu. Pamoja na kwamba elimu siyo kigezo cha kuukwaa ubunge. Hata hivyo Mgombea wa chadema Kashindye angekuwa na kiwango cha Elimu kama unavyodhani wewe, asingeweza kuwa mratibu wa Elimu wa wilaya.

Hakuna cheo kama hicho cha Mratibu Elimu wa Wilaya kuna Cheo cha Afisa Elimu Wilaya na Kuna cheo cha mratibu Elimu wa kata!

Hakuna cheo kama hicho cha Mratibu Elimu wa Wilaya kuna Cheo cha Afisa Elimu Wilaya na Kuna cheo cha mratibu Elimu wa kata!

Great thinkers hatuangalii vyeo na jiografia zake, tunaangalia uwezo wa kuwaongoza wananchi wa Igunga kuelekea kwenye demokrasia makini na maendeleo ya kweli! Hayo mengine ni namna ya ku'achieve' tu! Be a GT otherwise humu hapakufai. Labda ujaribu FB!

Sidhani kama atakuwa amefika hata Form FOUR, kama ndivyo basi atakuwa amepata FOUR.

Hao waliopitiliza form 4 wanafanya nini? Look at magembe, wasira, mrema, kawambwa, kagasheki, pinda! Kila wakisisima bungeni ni either majungu au kusema uongo! Bora hawa uoga utawasaidia kuwa innocent!

Mbona Aden Rage Mbunge wa Tabora mjini alishawahi kufungwa jela na akagombea ubunge akashinda mpaka leo ni mbunge
Rage ninavyo jua mimi ni kwamba hakufungwa kwasababu alipokata rufaa alishinda......kama angetumikia kifungo chake mpaka kikaisha au akatolewa kwa masamaha hiyo hiyo ni bahari nyingine...

mbunge wa njombe kaskazini ccm ni darasa la pili.rorya drs la 7.Magamba mnatafuta kwa kutokea lkn wapi kila kona niya moto.cdm hatukurupuki tunapoamua kufanya jambo.kashindye ni
Chaguo la wana Igunga

Anti Ndofu,
Kweli akili yako ni masaburi,halafu jifunze matumizi ya herufi kubwa na ndogo.
Unaandika utadhani mtoto wangu wa mwisho anaesoma kindergarten, angalia profile yangu lini nimejiunga JF, kingine nikuambie nadhani umjui vizuri Ritz. Mimi CCM na CDM wote ni takataka, mimi sio mateka wa Mbowe kama wewe

Teh teh teh unafurahisha kweli' unataka namimi nikuite Ant Ritz? Hapana ntakuwa mjinga! Wanasema hv hoja nyepesi zinajadili watu! Wewe umeshindwa kujibu hoja yangu matokeo yake umenishambulia binafsi! Ajabu kwako unayejiita mwanaccm mkongwe ambaye sasa naona msingi wa ukongwe ni kupungua uwezo wa kufikiria kadri ukongwe unavyozidi kusonga mbele.ACHA NIWE MTUMWA WA MBOWE ILI MRADI NAFANYA KWA MASLAHI YA UMMA! Aksante kwa matusi yako ila ruhusu kujifunza kutoka kwa watu unaowazidi umri vinginevyo unadhidi kudhihirisha wanaccm wengi wameishiwa wamebaki kutumia hasira tu! Swala la kukujua SIHITAJI KUKUJUA WEWE NI NANI KWANI KUNA MAMBO MENGI YA KUSHUGHULIKIA IKIWEMO KUINEZA CHADEMA NCHI NZIMA KWA WATU WENGI.

Leadership is influence. Yesu hakua na shule ya darasani, lakini alikua na uelewa mpana zaidi ya mafarisayo na wasomi wa kipindi hicho. Shule siyo ishu sana. Chukulia mfano wa AG Werema , mara nyingi hongea crap, japo wanadai ni jaji

CCM imesheheni wasomi kibao lakini jee wamelifanyia nini taifa hili zaidi ya kutufukarisha na kutulaza gizani miaka 50 baada ya uhuru. Hata wewe kama umesoma na una akili magando kiasi hicho huna faida yoyote. Na jua utashuka na kingeledha chako ukiamini huo ndiyo usomi. Usomi si kwenda shule peke yake bali usomi ni kuelemika.

Ufukara wako ni uzembe wako. Ni wapi na saa ngapi CCM walikunyima fursa ya kujiendeleza?

Ufukara wako ni uzembe wako. Ni wapi na saa ngapi CCM walikunyima fursa ya kujiendeleza?

Wewe ni zombie, unafikiri kwa kutumia makalio ndiyo maana hata huelewi nilichokielezea, sijajizungumzia mimi binafsi bali nazungumzia taifa zima jinsi lilivyofukarishwa na hao wanaokulipa kuja kuwatetea kwa hoja mfu. Wala mimi kama mimi siyo fukara niko vizuri tu bali nachukulia mambo kwa mtazamo mpana tofauti na wewe unayefikiria tumbo lako tu ili lijae hata kama limejazwa takataka.Jifunze kutumia akili katika kufikiri.

Back
Top Bottom