Mgombea wa CHADEMA Igunga

Mgombea wa CHADEMA Igunga anaitwa Mwalimu Joseph Mwandu Kashindye, ni mratibu wa elimu wilaya Igunga. Ni mkaaji wa Igunga, mwenye kujua matatizo ya wanaigunga, pamoja na matatizo ya walimu na wanafunzi kwa ujumla.

acha uongo kashindye ni muhamiaji aliyehamia igunga kwenda kufanya kazi akitokea igunga.

Bishop do u need to use your extra work energy to reply to that crap

I have, through bitter life experiences, learnt a supreme lesson of enduring vituperations and billingsgate coming out of ninnyhammer's mouths of your kind.

Sidhani kama atakuwa amefika hata Form FOUR, kama ndivyo basi atakuwa amepata FOUR.

toa pumba zako humu. Pamoja na kwamba elimu siyo kigezo cha kuukwaa ubunge. Hata hivyo Mgombea wa chadema Kashindye angekuwa na kiwango cha Elimu kama unavyodhani wewe, asingeweza kuwa mratibu wa Elimu wa wilaya.

Umesahau kuwa magamba wamemuingiza mjengoni yule mganga wakienyeji tena anayejiita prof. Water....?Teacher tunamkubali.

JK alizawadiwa PhD isiyotambulika tena kutoka kwenye chuo kisichojulikana. Tunamwomba airudishe hiyo PhD alikoitoa, haina msaada kwa Watanzania!

I have, through bitter life experiences, learnt a supreme lesson of enduring vituperations and billingsgate coming out of ninnyhammer's mouths of your kind.

kazi kweli kweli
sioni kama nimeongea vibaya au kutoa abusive language kwako
hata hivyo kazi bado ipo

I have, through bitter life experiences, learnt a supreme lesson of enduring vituperations and billingsgate coming out of ninnyhammer's mouths of your kind.

Akili za namna hii lazima ziwe zimechanganyika na haja kubwa.

hivi kumbe yule prof MAJI MALEFU nimganga wakienyeji? na huo uprof ni wamizizi?(namaanisha hajaupata kupitia shule!)

acha uongo kashindye ni muhamiaji aliyehamia igunga kwenda kufanya kazi akitokea igunga.

Sasa hapo tatizo liko wapi kama kahamia Igunga akitokea Igunga? Point ni kwamba amefanya kazi Igunga, anaijua Igunga vizuri. Nchi hii ukitaka tufuate hivyo unavyofikiri, hata Rostam asingestahili kuishi Igunga, siyo tu kuwa Kiongozi. Kuna majimbo ambayo wabunge wake si wazaliwa wa pale, mfano ni Kibakwe - George Simbachawene ambaye ni Mbena. Babati Mjini- Kisyeri Chambiri ambaye ni Mkurya

Sidhani kama atakuwa amefika hata Form FOUR, kama ndivyo basi atakuwa amepata FOUR.

ALIYEJIUZULU alifika form four na hakupata four.........

hebu tueleze aliyoifanyia Tanzania zaidi ya kuiba na ufisadi!

wazee wa zamani walipewa nguo na shanga wakawauza waafrika wenzao hebu tuambie wewe umepewa nini na magamba!!??

Jamaa mmoja anaitwa Kashidye, rafiki mkubwa wa Rostam Aziz, alikuwa mratibu wa kampeni za Rostam Aziz, vipindi vyote alivyokuwa anagombea Ubunge Igunga

Saulo alikuwa muuaji mkubwa wa watu wa Mungu lakini ni Saulo huyohuyo aliongoka na kutumiwa na Mungu kueneza neno lake upo hapo??

I have, through bitter life experiences, learnt a supreme lesson of enduring vituperations and billingsgate coming out of ninnyhammer's mouths of your kind.
Inaelekea Debate za kiingereza zilikuingia sana wewe kule skonga, hadi ukaendelea kubukua dictionary hadi sasa uraiani. You dont communicate, kwa sababu unatumia lugha isiyo communicative. Au unafikiri kila mtu anajisomea dictionary kama wewe? Au unafikiri kila mtu anao muda wa kupekua dictionary kutafuta hivyo vineno vyako? Mwisho wa siku hauwasilishi ulichokusudia. Ungeendelea na shule kidogo ungeelewa ninachokisema, lakini bahati mbaya huwezi kunielewa. Ningewashauri wakuu wote mpotezeeni huyu mtu, msirespond kwa post zake. Wakipatikana na wengine kama huyu basi tutamshauri MOD aanzishe jukwaa la english debates (kama itawezekana) ili wakaendeleze english course yao wanayoimiss, watuachie sisi jukwaa letu tuendeleze hoja tukitumia communication zetu.

CCM imesheheni wasomi kibao lakini jee wamelifanyia nini taifa hili zaidi ya kutufukarisha na kutulaza gizani miaka 50 baada ya uhuru. Hata wewe kama umesoma na una akili magando kiasi hicho huna faida yoyote. Na jua utashuka na kingeledha chako ukiamini huo ndiyo usomi. Usomi si kwenda shule peke yake bali usomi ni kuelemika.
Yaani umempatia kweli huyu Mwita25 ngoja aingie library atafute dictionary akitoka huko hayo mabomba utayakimbia mwenyewe.

Sidhani kama atakuwa amefika hata Form FOUR, kama ndivyo basi atakuwa amepata FOUR.

Huyu jamaa div four ndo score ya juu ya ukoo wake ila yeye alipata pts 26 so yeye yupo juu sana. Wanavyosema wana Igunga hawana Shaka na Mwl.Joseph Kashindye.

Back
Top Bottom