Mgombea wa CHADEMA Igunga

Yaani magammba are very tricky... Badala ya kujibu hoja ya aliyeanzisha uzi tumebaki kujibizana na confyuza humu... Nadhani inatosha na ili lengo lake lisitime wakuu tumpotezee huyu mwita 25 , mwenye CV ya kichwa cha CDM atuwekee humu!!

Jamaa mmoja anaitwa Kashidye, rafiki mkubwa wa Rostam Aziz, alikuwa mratibu wa kampeni za Rostam Aziz, vipindi vyote alivyokuwa anagombea Ubunge Igunga
Vipi ritz jana hukuonekana kabisa nafikiri ulistushwa na habari za rafiki wa dingi maisha ndivyo yalivyo mwambie dingi naye ajiandae kwani mwisho hautabiriki ukizingatia afrika tunakoelekea upepo hauko upande wa watawala, msalimie Saif Al Islam nimemwona jana bado ana dunda mitaani.

By the way kama unasema Kashindye alikuwa mratibu wa kampeni za RA huyo ndiye tunayemtaka zaidi ni mzoefu wa mikikimikiki ya kampeni.

Anajifanya kasoma,kati ya wana magamba,huku wenye Phd ndani ya magamba ni mzigo kwa taifa,hawana msaada wowote zaidi ya kuwa wezi tu.nadhani ni ulimbukeni unamsumbua,mwone avatar yake ovyoo alafu ati great thinker.

Inaelekea Debate za kiingereza zilikuingia sana wewe kule skonga, hadi ukaendelea kubukua dictionary hadi sasa uraiani. You dont communicate, kwa sababu unatumia lugha isiyo communicative. Au unafikiri kila mtu anajisomea dictionary kama wewe? Au unafikiri kila mtu anao muda wa kupekua dictionary kutafuta hivyo vineno vyako? Mwisho wa siku hauwasilishi ulichokusudia. Ungeendelea na shule kidogo ungeelewa ninachokisema, lakini bahati mbaya huwezi kunielewa. Ningewashauri wakuu wote mpotezeeni huyu mtu, msirespond kwa post zake. Wakipatikana na wengine kama huyu basi tutamshauri MOD aanzishe jukwaa la english debates (kama itawezekana) ili wakaendeleze english course yao wanayoimiss, watuachie sisi jukwaa letu tuendeleze hoja tukitumia communication zetu.

nakugongea 5 Mkuu. Huyu mwita25 kazi yake kucopy na kupaste from Google.

acha komedi kaka. Bilali gavana ametuliza na elimu yake kubwa

Mtoa mada aliomba kujua CV ya mgombea ubunge wa Igunga kwa tiketi ya Chadema na nadhani nimemjibu swali lake kwa kiasi. Ingawa sina uhakika juu ya points zake, lakini ni kweli huyu jamaa alipata FOUR form FOUR kama ambavyo Sugu na wengine waliambulia. Sasa kama unajua matokeo yake yapo tofauti basi yatoe, vinginevyo utakuwa unanijengea hoja tu.

Kumbe una lugha ya kucommunicate na watu ila uanaamua kwa kusudi kabisa kuharibu mtitiriko wa hoja
Na on another point tunachohitaji ni msomi na mtu mwenye PHD au kiongozi maana hao wenye PHD ndo wanatuingiza kwenye mikataba feki kila kukicha na wametufikisha hapa tulipo na miaka hamsini bado toothpik zinaagizwa china

Tunahitaji mfuatiliaji na muelewa wa mambo hatuhitaji vyeti....cdm head ofice kuna kila kitu kielimu atapata msaada huko

Mtoa mada aliomba kujua CV ya mgombea ubunge wa Igunga kwa tiketi ya Chadema na nadhani nimemjibu swali lake kwa kiasi. Ingawa sina uhakika juu ya points zake, lakini ni kweli huyu jamaa alipata FOUR form FOUR kama ambavyo Sugu na wengine waliambulia. Sasa kama unajua matokeo yake yapo tofauti basi yatoe, vinginevyo utakuwa unanijengea hoja tu.
Nafikiri rudi tena kwa mganga wako akazirekebishe kama bado yupo, alikudanya utapata one ulipopata FOUR akili zikaruka kila unayekutana naye unadhani alipata FOUR form FOUR, hata mkeo akikuuliza baba watoto leo umetuletea nini FOUR form FOUR..lione kwanza bichwa kubwa..

Hahahaaaaaa............!!!!!!!!!!!! Hii kali wallah!
jamani hoja iliyombele yetu ni kuwa; mtoa hoja anataka kujua jina kamili na CV ya mgombea ubunge jimbo la Igunga kupitia ticket ya chdema! kwahiyo tunaomba mtu mwenye majibu sahihi atjuze! badala ya kuweka malumbano yasiyo na tija!!!!!!!!!!! mwita25 anatueleza habari ya 'division four' hii siyo maana ya CV! halafu division 4 ndio walimu wetu hao wafundishao watoto wetu kwa hiyo hii c hoja hapa; hoja tunataka cv anayejua atueleze!

Sidhani kama atakuwa amefika hata Form FOUR, kama ndivyo basi atakuwa amepata FOUR.

Dear comrade, our Constitution of the URT of 1977 has clearly stipulated in Clause 67 (1) who qualifies for elections or appointment as a MP; is any person who is a citizen of the URT, who has attained the age of 21 yrs and who can read and write in Kiswahili or English language and is a member and a candidate of sponsored by a apolitical party…..period!!! That's why we have people like Prof. Majimarefu, who are representing their people in the prestigious House! Upo???

Jamaa mmoja anaitwa Kashidye, rafiki mkubwa wa Rostam Aziz, alikuwa mratibu wa kampeni za Rostam Aziz, vipindi vyote alivyokuwa anagombea Ubunge Igunga

nyongeza..alifukuzwa kazi na RA baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa kutumia mizani dhidi ya wakulima wa pamba wa kijiji cha Ukenyenge alikofanya kazi ya kununua pamba kwa siri. Alihukumiwa miezi sita jela kwa kosa hilo na kutumikia kifungo chake kwenye jela iitwayo Mumbu na baada ya kutoka kifungoni alijiunga na CDM.

Mtoa mada aliomba kujua CV ya mgombea ubunge wa Igunga kwa tiketi ya Chadema na nadhani nimemjibu swali lake kwa kiasi. Ingawa sina uhakika juu ya points zake, lakini ni kweli huyu jamaa alipata FOUR form FOUR kama ambavyo Sugu na wengine waliambulia. Sasa kama unajua matokeo yake yapo tofauti basi yatoe, vinginevyo utakuwa unanijengea hoja tu.

Ni kweli kuwa ccm kipindi kama hiki inahitaji kuwa na akili za kiwendawazimu! Kwa mujibu wa baraza la mitahani na serikali kwa ujumla mtu akipata FOUR anakuwa amefaulu ukipata ziro ndio utakuwa umefeli.Hata hivyo afisa elimu wa wilaya hapa Tanzania anapaswa kuwa na elimu gani? Halafu kwa maana ya elimu kuwa kigezo cha uongozi kumbe kikwete hakupaswa kushindana na Prof Lipumba? Kwako mtu akiomba cv yako utamtajia kiwango cha elimu yako peke yake?! Tafadhri nijibu!

Sidhani kama atakuwa amefika hata Form FOUR, kama ndivyo basi atakuwa amepata FOUR.
Ninasikitika saana kwa jinsi ulivyorespond, shule si uongozi na wala utatuzi wa matatizo ya wananchi, hauhitaji kuwa na shule kubwa saana na ndo maana sifa za kuwa mbunge ni kuwa na uwezo wa kusoma na nyingine km hizo ambazo huyu muheshimiwa mtarajiwa atakuwa nazo. Kuna viongozi duniani hawakusoma lakini leo ni fahari ya dunia, km Lula da Silva aliyekuwa rais wa Blazil hakusoma lakini unaona katika kipindi chake cha uongozi tumeona brazili imepata heshima kubwa saana kiuchumi, kuliko hata hapa kwetu ambapo tuna rais ambaye eti ni doctor

nyongeza..alifukuzwa kazi na RA baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa kutumia mizani dhidi ya wakulima wa pamba wa kijiji cha Ukenyenge alikofanya kazi ya kununua pamba kwa siri. Alihukumiwa miezi sita jela kwa kosa hilo na kutumikia kifungo chake kwenye jela iitwayo Mumbu na baada ya kutoka kifungoni alijiunga na CDM.
Jamaa kumbe kaishawahi kwenda jela kwa wizi?
Lakini sawa tu CDM wizi si wengi watakutana na kina Lema, na Sugu, wote wanafanana tabia, Sugu nae wakati yupo Uingereza kapiga sana issue za ATM na Wanigeria wenyewe wanaziita viwembe

nyongeza..alifukuzwa kazi na RA baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa kutumia mizani dhidi ya wakulima wa pamba wa kijiji cha Ukenyenge alikofanya kazi ya kununua pamba kwa siri. Alihukumiwa miezi sita jela kwa kosa hilo na kutumikia kifungo chake kwenye jela iitwayo Mumbu na baada ya kutoka kifungoni alijiunga na CDM.

Usichanganye habari na kupotosha wasioijua Igunga, nadhani huyo unayemsema wewe sio Kashindye mgombea wa CDM kwakuwa wengi wana jina hilo maeneo hayo. Hata hivyo:-

• Umeambiwa mgombea ni Mratibu wa Elimu Igunga Mjini (hujiulizi iweje mratibu awe kibarua wa RA kule Ukenyenge ambako ni SHINYANGA ambako pia sio hata Igunga? Tena kwa shughuli tofauti na uratibu elimu?)
• Unavyodai alifungwa gereza la Mumbu ambako bado ni SHINYANGA, hujiulizi alifikaje huko?
• Unavyodai kuwa alivyotoka kifungoni ndo akajiunga na CDM, hujiulizi kuwa mtu aliyekutwa na hatia anaruhusiwa au haruhusiwi kugombea Ubunge? (kwa taarifa yako haruhusiwi).
• Hujiulizi ni mtumishi gani wa Serikali anaweza kufungwa at the same time or after kifungo akaendelea na kazi Serikalini?
Cheki vizuri na chanzo chako kikupe majina yote na sio kuchukua jina moja kufanyia conclusion.

Hatuwezi kubeza kuwa kiwango cha elimu nacho ni kigezo muhimu.Wana JF hapa ni sehemu ya kujenga kama kuna mtu ambaye hawezi jenga na simamia mada basi ajiongoze na kufanya uamzi mwepesi wakutoweka au kutoshiriki kwenye mada.CCM has ignored the warnings thus it has to crumbal and wither,this is the law of governance and political doctrines.WE DO NOT LIKE DOGMAS.

Back
Top Bottom