Mgombea wa CHADEMA ashinda (Bulifani - Kyaka) wilaya ya Missenyi

matokeo halisi cdm 401 ccm 129 tlp 2!

Yaani kwa ufupi:


Mgombea wa TLP kura 2 yaani 0.38%

Mgombea wa CCM kura 129 yaani 24.25%

Mgombea wa CHADEMA kura 401 yaani 75.38%

Jumla ya kura halali ni 532 yaani 100%

Sipati picha lile lisauti la Kiravu na Makame sorry next time ni Lubuva kama Katiba Mpya haitaamua vinginevyo. Mungu atusaidie tuvuke salama.
 
Yaani kwa ufupi:


Mgombea wa TLP kura 2 yaani 0.38%

Mgombea wa CCM kura 129 yaani 24.25%

Mgombea wa CHADEMA kura 401 yaani 75.38%

Jumla ya kura halali ni 532 yaani 100%

Sipati picha lile lisauti la Kiravu na Makame sorry next time ni Lubuva kama Katiba Mpya haitaamua vinginevyo. Mungu atusaidie tuvuke salama.
Sipati picha kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
 
Mwaiyuka abomuka! Natumai ni wakati muafaka wa kumpiga chini Asumpta mbunge wenu wa CCM... Peeeplez power.
 
Peopleeeeeeeeeeees!!!!!!!!!! Nshomile wamejikomboa sasa hatutaki hutani na mageuzi,nami nshasema namalizia shahada yangu huyo mzee wa kata Karabagaine ajiandae mwaka 2015 lazima nibane mbavu magamba hadi waombe maji ya kunywa
 
peopleeeeessssssssss!!!!!!!!!!!!! safi sana nshomile wenzangu hawa magamba tubane korodani hadi wakubali
 
Augostino Masele manyanda mbunge wa mbogwe wilaya ya mbogwe mkoani geita {mkoa mpya}hajasaini ina maana anaunga mkono ufisadi wakati katka jimbo lake hata umeme tu haupo!!?.Ambapo ni km chache tu kutoka kahama mjini!?.Migodi kibao ya dhahabu but hakuna anachokifanya ni pumba tupu!, na 2015 harudi mjengoni ni lazma nimtoe kupitia pipoooz pawa! Ni m4c hadi mbogwe.
 
Hii ndiyo tunaitaka, CHADEMA msihache nafasi yoyote hata kama ni kitongoji weka mgombea ushindi upo. Pamoja na hili naomba CDM itengeneze mtandao maalum unaoenda hadi ngazi ya chini kabisa kama wanamaghamba walivyo na mabarozi. unda mfumo unaoelekea na huo na mtaona ajabu hata hao wanaoitwa mabarozi kwa kupewa vibendera vya polyester ya kijani watabadirika wote na kuwa wajumbe wa CDM. Kwa hofu ya kushindwa sasa hivi CCM inafanya njama za kuficha nafasi zinazohachwa wazi na wenyeviti wa vitongoji wanaojiengua badala yake wanateua kimyakimya hebu viongozi wa CDM mawilayani fuatilia jambo hili. Ushahidi ninao kabisa.
 
Duu!.NEC ya Lubuva mmesikia hii. msituwekee mizengwe huko vijijini 2015.
 
Unajua kuna habari muhimu za mageuzi Tanzania hazichukui Front page lakini zina uzito mkubwa sana katika kuleta mabadiliko ya kweli.
Kila siku nasikia eti huko vijijini watu bado wamelala kabisa wakati vitendo vyao vinaonyesha kwamba wameamka, ila watu wa miji mikubwa kama Dar ndiyo wamelala FOFOFO na hawaambiliki wakiona vijikanga vijikofia na noti za kijani na njano.

Mji wa Dar mchafu unanuka, maji hakuna barabara za mitaani mbaya mafuriko kila siku lakini bado tu wanawachagua viongozi wa CCM kushika madaraka katika kila safu ya ngazi ya uongozi.

Hongera sana wananchi wa kijiji cha Bulfani,Hongera sana.
Pamoja na ukweli kwamba hakuna TV au Gazeti la kuupa umuhimu ushindi wenu. Sisi akina Madela Wa Madilu wa JF tunatambua mchango wenu na tuna simama kwa heshima zote na kuwapigia Saluti ya kweli.

Hongera DEO KAHWA kwa ushindi dhidi ya mahabithi wa CCM,waongoze wananchi wako kupinga unyanyasaji mkubwa wa serikali ya CCM katika kijiji chako. Jenga jamii ya watu walio huru kimawazo na kimatendo
.

Asante mkuu
Umesema kile nilichotaraji kusema ila wewe umekisema kwa ufasaha zaidi
Nimekuvulia kofia kwa heshima
Kuna maeneo hapa Dar ni ya hovyo kiasi kwamba huwezi amini kuna wanadamu wanaishi na bado huko ndiko kumetundikwa bendera nyingi za kijani
 
Hureee! Viva Viva M4C.
Ndugu zangu kazi kubwa ya kuangusha magamba ipo 2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Nape atahamia CUF kipindi hicho.
 
Hakika Mungu yuko pamoja nasi na tutafikia malengo yetu wananchi wakiwa na mwamko namna hiyo. Hongera sana new chairman.
 
Back
Top Bottom