Mgombea wa CHADEMA ashinda (Bulifani - Kyaka) wilaya ya Missenyi

Ha ha ha ha ha CHADEMA imeingia hadi ngazi ya vijiji? Kweli ufalme wa CCM umefikia tamati.
 
Unajua kuna habari muhimu za mageuzi Tanzania hazichukui Front page lakini zina uzito mkubwa sana katika kuleta mabadiliko ya kweli.
Kila siku nasikia eti huko vijijini watu bado wamelala kabisa wakati vitendo vyao vinaonyesha kwamba wameamka, ila watu wa miji mikubwa kama Dar ndiyo wamelala FOFOFO na hawaambiliki wakiona vijikanga vijikofia na noti za kijani na njano.

Mji wa Dar mchafu unanuka, maji hakuna barabara za mitaani mbaya mafuriko kila siku lakini bado tu wanawachagua viongozi wa CCM kushika madaraka katika kila safu ya ngazi ya uongozi.

Hongera sana wananchi wa kijiji cha Bulfani,Hongera sana.
Pamoja na ukweli kwamba hakuna TV au Gazeti la kuupa umuhimu ushindi wenu. Sisi akina Madela Wa Madilu wa JF tunatambua mchango wenu na tuna simama kwa heshima zote na kuwapigia Saluti ya kweli.:yo:

Hongera DEO KAHWA kwa ushindi dhidi ya mahabithi wa CCM,waongoze wananchi wako kupinga unyanyasaji mkubwa wa serikali ya CCM katika kijiji chako. Jenga jamii ya watu walio huru kimawazo na kimatendo
.
 
Baada ya kuhairisha uchaguzi mdogo wa mwenyekiti wa kijiji cha bulfani wilaya misenyi,leo uchaguzi umefanyika na Chadema imechukua kiti hicho kwa kura 400 na CCM 100.KWA UFUPI WATU WAKO barabarani .peoples poweeeer.tulianza na mungu +tumemaliza na mungu
 
Mwakola waitu,mwakola banyansi... Wasaidie watu wako huko dhidi ya matapeli wa ardhi kutoka Rwanda.
 
Baada ya kuhairisha uchaguzi mdogo wa mwenyekiti wa kijiji cha bulfani wilaya misenyi,leo uchaguzi umefanyika na Chadema imechukua kiti hicho kwa kura 400 na CCM 100.KWA UFUPI WATU WAKO barabarani .peoples poweeeer.tulianza na mungu +tumemaliza na mungu
mbunge wenu Asumpta hajaweka sahihi hivyo anaunga mkono ubadhilifu na ufisadi selikalini muulizeni.
 
Back
Top Bottom