Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

Kapata kura kwa namna nyingi hapo kapata point kumi & maghufuli bado
11921890_10153261391043791_8760406763004791857_n.jpg
 
Haya...hii ni kutoka huko kwa hao tunaodhani wana siasa zilizopevuka.

Hebu mwoneni huyu mama akibadilisha lafudhi yake na kuongea kama watu weusi huko Marekani.

 
Last edited by a moderator:
Wamesahau yote hayo...

Naona wanatoka povu tu humu...
Kimewaudhi kivipi na kwa nini?

Kipi kilicho cha ajabu hapo hususan ukizingatia muktadha husika?

Mbona hata wao huwa wana pull hizi populist stunts....

Hujawahi kuona picha za Pinda akinywa pombe chafu huko kijijini kwao?
 
Subirini Jumamosi yeye ndo atazindua Kampeni....
Afu WanaCCM leo Magufuli yuko Katavi kwa Pinda.... anzisheni uzi wake mchangie huko
 
Cameroon alisafiri masaa tisa kwenye train wakati wa uchaguzi uliopita.... akaendesha baiskeli pia....
Lowasa kaamua aende kwa wahusika zaidi

Waziri mkuu wa Norway yeye aliamua kuendesha teksi kabisa....

 
Last edited by a moderator:
Hoja ni kwamba mfumo uliojengeka ndani ya ccm ni sawa na mbuyu,uozo,rushwa,ufisadi,biashara za dawa za kulevya,pembe za ndovu ndo usiseme hata juzi tu pembe zimekamatwa uswisi,pia ccm wazuri wa ahadi hewa,watu wanazidi kuwa maskini huku viongozi wakiendelea kufisadi na kuficha hela nje,dah! hatuwachagui mwaka u,kuchagua ccm ni sawa na kucha?ua ufisadi,rushwa,na hivi ni big problems now
 
Wewe hujui hata unaongea nini,
Hii ni strategy na inatumiwa na viongozi sehemu mbali mbali duniani.
Huko UK tunawaona wakina Cameroon, Nick Clegg, hata Borris Johnson wakikaribia uchaguzi wanapanda mabaiskeli huko barabarani kama hawana akili sawa sawa na vile vile pia hata wakiwa madarakani wakiwa wanataka policy flani flani hivi zipite e.g. green policy au budget cut, unawaona tena kwenye mabaiskeli yao wanasepa...na hapo haimaniishi utaendelea kwaona wanaendesha baiskeli eti kuzunguka UK nzima kila siku...
Kule marekani tulimuona obama anajichanganya kwenye subways na kuhudhuria pizza joints... haimaanishi kwamba ingebidi azunguke kila mahali marekani na train. Kuna kitu kwenye research kinaitwa sampling, maana yake ni kwamba, mawazo ya watu flani wachache yanaweza kuonyesha au kuwakilisha picha nzima ya population.

Ni strategy ya kuwa karibu na wananchi katika- kipindi hiki cha campain, na ndo maana ya campain, na vilevile inasaidia ku-generate publicity so what....kinachotakiwa tu uwe strategist mzuri ,u-create positive publicity. Sio kama nyie, dah! wazee wazima kwenye uzinduzi wa campain, eti strategy zenu ni kuwaita watu malofa....kha!! mtu unaita wapinzani wapumbavu sijui malofa na wakati hao wpinzani wana wafuasi kibao ambao ndio wapiga kura mnaojaribu kuwaomba kura zao!! hapo wewe unaona mpumbavu na lofa ni nani???
Sasa ngoja nikupe habari, headlines zenu za ile fiesta ya jana, leo malofa tumezizima...na kesho utashuhudia tunatanda headlines zote.
Wakati nyie mkiendelea kuita watu wapumbavu, ku-discuss watu, kuimba taarabu na kukata viuno majukwaani...sisi malofa tunaingia ikulu...na tukifika huko...wababaishaji wote itakuwa kiama chao...
Haha,,ya jana ilikua ni ccm fiesta,,ila kwa alicho Kifanya lowassa Leo angechukua milioni hamsini za tmt
 
Tofaut Na Kinana Na Lowassa Ni Kwamba Mda Huu Lowassa Turitajia Kusikia Anakuja Na Solution Ndo Maana Ya Kampeni,kutangaza Sera Zako Zinazoelezea Utafanya Nin Kutatua Matatizo Na Huu Sio Mda Wa Kuyatafuta Na Kujua Matatizo Ya Wananchi,na Ndo Maana Timu Ya Kina Kinana Ilikuwa Inazunguka Na Kushiriki Na Wananchi Kwenye Kaz Mbalimbali Za Kijamii Ili Kujua Matatizo Na Kupata Solution Mapema Kabla Ya Kampeni.Sasa Unatafuta Matatizo Ya Watz Sasa Hv,solution Utakuja Nazo Lin....?


Kwahiyo unasema tatizo ni muda na tatizo si tukio la kupanda daladala?Sasa mbona mnabadilika badilika,kama tatizo ni hilo let ukawa worry about that,wakifungua kampeni ndio tutajua!Matatizo na kero za wananchi sio static,in dynamic kwahiyo hata lowasa akiingia ikulu atarudi tena kucrosscheki hitaji kubwa la wananchi!
 
Haya...hii ni kutoka huko kwa hao tunaodhani wana siasa zilizopevuka.

Hebu mwoneni huyu mama akibadilisha lafudhi yake na kuongea kama watu weusi huko Marekani.




Hawa ngedere wala si wakuhangaika wawekea reference!!!

Akili zao za misoto ya maisha ndio maana akina Mkapa wanatukana wanashindwa ona negative impact wanashabikia....

Wakati wao wamejaza watoto wa zinaa na wapuuzi ktk kundi la kampeni wenzao wanachekelea coz kila watakaloongea ni mtaji kwao....

Yule kijeba katukana watu kuwa wapuuzi leo Wajanja wameidaka kauli ile na wanaisambaza in a negative way kiasi kwamba watu wamejazwa chuki ya kutukanwa leo hakuna mtu anajadili habari za magufuli na ilani yake badala yake matusi ya Mkapa!!!

Hapohapo wenye Afya ya akili wanajitosa field kudaka attention ghafla watu wanapima kati ya Kijeba aliyetukana na huyu yupi bora haraka jibu linakuja huyu bora!!!

CCM wamezoea siasa za matusi wamesahau dunia ya sasa imebadilika ndio maana fiesta yao itabidi irudiwe ILI KIJEBA ARUDI FANYA RESET KWA KUWAELEZA WALIOCHUKIA KUWA UPUMBAVU SI MATUSI!!!
 
Last edited by a moderator:
huyu ni raisi taasisi ya mafisadi ukawa. cdm hampaswi kuaminiwa tena waongo nyinyi

Hivi UNAPATA WAPI LEGITIMACY YA KUMUITA "RAIS.EDWARD LOWASSA" FISADI?...WAKATI CCM YAKO INA MAFISADI LUKUKI AU HULIONI HILO??...KAMA "MAGUFULI-BILLION.261 ZA NYUMBA ZA SERIKALI MWAKA 2003,CHENGE(Mzee wa Vijisenti)-ESCROW_BILLION.321,RADA_BILLION 46,PROF.MUHONGO-ESCROW,TIBAIJUKA-ESCROW"...sasa si bora tummpe nchi huyo mnayedai FISADI mmoja "RAIS.EDWARD LOWASSA" NCHI ITAPONA KULIKO HAO MAFISADI LUKUKI???,NA UNAPOSEMA CHADEMA WENYE FISADI MMOJA "RAIS.EDWARD LOWASSA" HAWAAMINIKI JE NYIE WENYE HAO MAFISADI LUKUKI NDO MNATAKA MUAMINIWE????
 
Na kwamba anawapenda Chokoraa. Hali ya kuuwa kwao MONDULI amna nyumba yenye eneo kama heka mbili. Hapo hakusaona watanzania kama wana shida. Ila kwa sasa kwa kuwa anataka urais ndo anawaona wanyonge aliowanyinya wana maana. Huu ni Ulofa kabisa.
We jamaa hii ni comment yako ya 32 kwenye huu uzi,unahangaika sana kama unakata roho vile.
Inaonekana imekuuma sana jinsi EL anavyowazidi akili fisiem,ila mjue sisi watanzania tumeamua kwa pamoja tuko na Lowassa na lazima tuwanyooshe mwaka huu na MTANYOOKA TU.
 
Hawa ngedere wala si wakuhangaika wawekea reference!!!

Akili zao za misoto ya maisha ndio maana akina Mkapa wanatukana wanashindwa ona negative impact wanashabikia....

Wakati wao wamejaza watoto wa zinaa na wapuuzi ktk kundi la kampeni wenzao wanachekelea coz kila watakaloongea ni mtaji kwao....

Yule kijeba katukana watu kuwa wapuuzi leo Wajanja wameidaka kauli ile na wanaisambaza in a negative way kiasi kwamba watu wamejazwa chuki ya kutukanwa leo hakuna mtu anajadili habari za magufuli na ilani yake badala yake matusi ya Mkapa!!!

Hapohapo wenye Afya ya akili wanajitosa field kudaka attention ghafla watu wanapima kati ya Kijeba aliyetukana na huyu yupi bora haraka jibu linakuja huyu bora!!!

CCM wamezoea siasa za matusi wamesahau dunia ya sasa imebadilika ndio maana fiesta yao itabidi irudiwe ILI KIJEBA ARUDI FANYA RESET KWA KUWAELEZA WALIOCHUKIA KUWA UPUMBAVU SI MATUSI!!!

Yaani this is much ado about nothing!

Alichokifanya Lowassa si kipya wala cha ajabu kwenye kampeni za kisiasa.

Na ni wanasiasa wengi tu hukifanya karibu kila pembe ya hii dunia.

Is it a vote-getting gimmick? Yes.

But so what?

Just about everybody else in politics does it.
 
haaahaaa! dah! jamani LOWASA aapishwe tu jamani tuanze spidi ya maendeleo! CCM ipelekwe jumba la makumbusho tu!
 
Back
Top Bottom