Elections 2010 Mgombea Ubunge jimbo la Igunga kwa tiketi ya CUF apata ajali!

Mgombea ubunge jimbo la igunga kupitia CUF amepata ajali. Kwa mjibu wa matangazo ya tbc taifa, bw mahona kapata ajali wakati anaelekea kupiga kura mara baada ya gari lao kugongwa na pikipiki. Kwa maelezo yake mwenyewe kupitia tbc taifa, gari lao limeharibika vibaya na wao wanaendelea vizuri.

UPDATES:- Haya ndo maneno yake " Cha ajabu pikipiki ni nzima na mwendesha pikipiki mwenyewe ni mzima, na tulikuwa wanne kwenye gari wotej hajambo
 
Back
Top Bottom