Elections 2010 Mgombea CHADEMA Nkenge ajiondoa kugombea Ubunge

Haya ya kila mgombea kujitegemea tutafika kweli? Chadema wangepata jinsi ya kupanga vipaumbele na kusaidia kuwezesha majimboni, sasa kama hakuna uwakilishi wa uhakika unafikiri nani atalinda kura za mgombea wenu wa Uraisi?

Marehemeu Chacha Wangwe alilisemea hili la kuimarisha chama mikoani lakini hakusikilizwana na mzimu wake utaendelea kuwasuta!
 
Mi nilishasema tangia awali. Chadema hamko serious. Mnabisha. Sasa kweli Chama ambacho kinataka kipewe nchi hawawezi hata kujipanga kuchagua wagombea wa ukweli. Watu wanawasikiliza, wanaingia kundini, baada ya kuona incompetence ya Mbowe jinsi anavyoendesha chama. Tartiibu wanakula kona. Its unfortunate, lakini as of now--hamko serious.
 
Huko Kagera CCM imekaa vibaya sana mwaka huu. Habari za kuaminika nilizozipata zinaeleza kuwa pia kumetokea jaribio la mgombea wa CCM wa jimbo la Bukobna Mjin -- Hamisi Kagasheki kumnunua Lwakatare wa Chadema, ili ama ajitoe klatika inyang'anyiro, au asitie nguvu nyingi katika kampeni yake. Inavyoonekana Kagasheki kapiga chini hapo.
 
Sababu kubwa ya kujitoa ni kuwa Chama makao makuu kimeshindwa kutoa fungu la kumwezesha kufanya kampeini badala yake amekuwa akitumia fedha zake
Nadhani huyo mpiga mziki amekosa sababu ya kushawishi umma kwa kujiondoa kwake.kwani alivyoingia kwenye kinyang'anyiro aliambiwa atapewa ela?au aliingia kutafuta ela za CCM Wanazotoa kwa wagombea wa vyama vya upinzani ili wajitoe na kuwaacha wakiwa hawana wapinzani.Hata ccm wagombea hawajapewa ela pamoja na kuchangisha 50 bn.njaa itatumaliza
 
Mi nilishasema tangia awali. Chadema hamko serious. Mnabisha. Sasa kweli Chama ambacho kinataka kipewe nchi hawawezi hata kujipanga kuchagua wagombea wa ukweli. Watu wanawasikiliza, wanaingia kundini, baada ya kuona incompetence ya Mbowe jinsi anavyoendesha chama. Tartiibu wanakula kona. Its unfortunate, lakini as of now--hamko serious.
hapo umechemsha.hoja ya msingi aliyosema FOCAS ni kutopewa ela ya kampeni kama ni suala la incompetence ya uongozi angekuwa ametoka kwenye chama tangu zamani,maana mbowe hajachaguliwa kuwa mkit baada ya kampeni kuanza.
 
Luteni,
Rutunga ni mwandishi wa habari pale Bukoba. Na ingawa sina hakika huwa ana side upande gani, habari yake yaweza kuwa ya kweli. Rutunga ni mwandishi wa tv moja ambayo hai-side na Chadema na sijaona anatoa habari za Chadema katika chombo anachokiwakilisha.

Tukiachana na habari za Rutunga, habari hizi za Bwana Phocas Rwegasira zawezekana kuwa za kweli. Shida ambayo amekuwa akilalamikia ni kwamba hajapata msaada toka makao makuu kwa ajili ya kampeni na kwa sababu hiyo alifikiri kuacha. Lakini kinachoshangaza watu ni jinsi au utaratibu anaoutumia kujitoa ndio unatia shaka.

Jana jioni habari hizi zimevuja kutokea kambi ya sisi m na kusambazwa na wana sisi m hao hao hata kabla viongozi wa Chadema hawajapata habari hizi.

Pia baada ya kusikia habari hizi Phocas hakuwa anapatikana kwa simu (mbili zinazojulikana) alikuwa amezizima, na hata leo hii alikuwa kazima simu wala hajulikani aliko maana hayupo hata katika eneo la biashara zake. Nashangaa kusikia kuwa amejitokeza kwenye Press conference na hajaripoti uamuzi wake kwenye Chama.

Moja ya mambo yanatuonyesha kuwa huyu bwana hakuwa serious au alikuwa na sababu nyingine ni pale ambapo hakuwa ameweka hata vipeperushi vyake na hata vya rais wake kwenye gari lake analotumia. Hii ilinishangaza sana. Inazungumzwa sana katika habari zisizo rasmi kuwa kuna tajiri mmoja amekuwa akimzonga kwa ushawishi ili ampatie pesa kumfanya ajitoe. Kwa kuwa ni tetesi wacha zibaki kama tetesi hadi zitakapothibitishwa maana wana sisi m hawana siri.

Hii ni vita na ametufanyia kitu kinachoumiza sana ni kwamba alikuwa anakubalika na alikuwa na asilimia kubwa ya kushinda. Demokrasia ya pesa kwa mara nyingine imebaka demokrasia halisi.

Mungu ibariki Tanzania. Wabariki wapiganaji wa kweli Tanzania.
 
Huko Kagera CCM imekaa vibaya sana mwaka huu. Habari za kuaminika nilizozipata zinaeleza kuwa pia kumetokea jaribio la mgombea wa CCM wa jimbo la Bukobna Mjin -- Hamisi Kagasheki kumnunua Lwakatare wa Chadema, ili ama ajitoe klatika inyang'anyiro, au asitie nguvu nyingi katika kampeni yake. Inavyoonekana Kagasheki kapiga chini hapo.

Huo sasa utani,kwani nani aliyemwangusha Lwakatare katika ubunge wake pale Bukoba mjini?
 
Hivi jamani mgombea wa Nkenge kupitia CHADEMA Bw. Focus au ni Walter Nyahoza nijuzeni.
Quinine,
Hii ni moja ya blunders walizofanya Chadema Kagera wakati wa ku recruit wagombea. Si kwa Phocas tu bali wako na wagombea wengine katika mkoa huu ambao nina wasi wasi nao. Ni rahisi sana kununuliwa na wenye pesa sisi m.

Namfahamu kweli Phocas kama mwana harakati na mchukia uovu wa nchi hii na anaelewa vema taabu za nchi hii ingawa binafsi yeye anayo pesa nzuri ya kumsaidia kuendesha maisha yake. Nimewahi kuzungumza naye mara nyingi. Yeye tangu mwanzo hakuwa na mpango wala kusudi la kugombea mbali na kwamba alishawishiwa na wana sisi m wenyewe waliokuwa wamegalagazwa na yule mama wa sisi m mfanyakazi wa UWT anayejulikana kwa jina la Asumpta.

Inaelekea viongozi hao waliingia mkenge bila kufuatilia vizuri, wakamuondoa huyo Walter aliyekuwa amejitolea mwanzo kuingia vitani, badala yake wakamuweka huyu Bwana dakika za mwisho under the influence of these sisi m traitors. Haya ndio matokeo, tunayajutia na yametutia uchungu sana.

Well, tunsonga mbele. Tunahitaji kuijenga Chadema yenye nguvu huko Kagera. Najua kitu kimoja, siwezi kwenda sisi m kwa namna yoyote ile kama haijabadilika. Ni bora nikishindwa kabisa kuvumilia kukaa Chadema nitarudi kijiweni kuishi bila chama kama nilivyowahi kuwa huko nyuma, maana siamini kama kuna chama makini na cha hakika ingawa bado kichanga kama Chadema.
 
Nipo kwenye hiyo press cof,ingawa imekwishasoma magazeti ya kesho,hasa gazeti la Uhuru kwani naomba mwandishi wao kama vile anaripoti live,kwani kila wakati anapiga simukazi kweli kweli mwaka huu
Rutunga hiyo press conference mmefanyia wapi?
 
Quinine,
Hii ni moja ya blunders walizofanya Chadema Kagera wakati wa ku recruit wagombea. Si kwa Phocas tu bali wako na wagombea wengine katika mkoa huu ambao nina wasi wasi nao. Ni rahisi sana kununuliwa na wenye pesa sisi m.

Namfahamu kweli Phocas kama mwana harakati na mchukia uovu wa nchi hii na anaelewa vema taabu za nchi hii ingawa binafsi yeye anayo pesa nzuri ya kumsaidia kuendesha maisha yake. Nimewahi kuzungumza naye mara nyingi. Yeye tangu mwanzo hakuwa na mpango wala kusudi la kugombea mbali na kwamba alishawishiwa na wana sisi m wenyewe waliokuwa wamegalagazwa na yule mama wa sisi m mfanyakazi wa UWT anayejulikana kwa jina la Asumpta.

Inaelekea viongozi hao waliingia mkenge bila kufuatilia vizuri, wakamuondoa huyo Walter aliyekuwa amejitolea mwanzo kuingia vitani, badala yake wakamuweka huyu Bwana dakika za mwisho under the influence of these sisi m traitors. Haya ndio matokeo, tunayajutia na yametutia uchungu sana.

Well, tunsonga mbele. Tunahitaji kuijenga Chadema yenye nguvu huko Kagera. Najua kitu kimoja, siwezi kwenda sisi m kwa namna yoyote ile kama haijabadilika. Ni bora nikishindwa kabisa kuvumilia kukaa Chadema nitarudi kijiweni kuishi bila chama kama nilivyowahi kuwa huko nyuma, maana siamini kama kuna chama makini na cha hakika ingawa bado kichanga kama Chadema.

njoo CCM kimbilio la kweli la wanyonge
 
Nafikiri hata kugombea aliomba mwenyewe hakulazimishwa na mtu hiyo ndiyo demokrasia simlaumu waliobaki wataliendeleza libeneke, hata hivyo toka mwanzo alionyesha hali hiyo.

Alionyesha kivipi mkuu, tupatie dondoso kidogo
 
Mgombea ubunge wa jimbo la Nkenge kwa tiketi ya CHADEMA,Focus Rwegasira ambaye ni mpiga Disco maarufu mkoani Kagera, akijinadi wakati wa uzinduzi rasmi wa mikutano ya Kampeni ya chama hicho uliofanyika maeneo ya mafumbo ndani ya manispaa ya Bukoba.
Bado yule mwimbaji pale jimbo la Mbeya Mjini.
 
Sikio la kufa halisikii dawa na kwenye msafara wa mamba ujue na kenge wamo!!!!!!

Safi kama ni kweli umefanya vizuri kungali mapema, halaha kama kuna wengine wajitokeze mapema, Chadema si kituo cha kulelea wapumbavu, tunataka watu jasiri na makini. NI MAONI TU.
 
Taarifa za sasa hivi ni kuwa mgombea ubunge kupitia CHADEMA Bw Focas amejiondoa katika kinyanganyiro hicho hivyo kuwacha wagombea wa CCM na CUFAwali ilidaiwa kuwa focas ambaye anamiliki vifaa vya mziki alidaiwa kupandikizwa na Dk Kamala aliyebwaga na Asumpta mshama katika kura za maoni.sababu za kujiondoa nitaweka hapa muda mfupi ngoja amalize kulonga na medianatumia simu
Halafu utamkuta kwenye foleni ya WATANGAZA nia 2015 anapeleka **** lake achaguliwe tena.
Mtu kama huyu mnampakulia shehena ya bullets na kumwekea kwenye sahani anywee chai.
 
Back
Top Bottom