JK ameona asiondoke hivi hivi bila ya skendo kama ya mwenzake ben mkapa.Kununua jengo hilo ni moja, lakini jengo la ghorofa 6 New York kwa nchi inayoomba hata vyandarua vya kuzuia mbu ni maajabu ya Mussa! $24 million ni mansion ya nguvu hata kwa viwango vya wauza mafuta -Saudia. Na gharama za kuendesha jengo kama hilo ni kubwa sana. Hivi tuna shughuli gani kubwa hivyo huko New York zaidi ya kupitisha kibakuli kiasi kwamba tunahitaji jengo la ghorofa 6?
mfano ule ule wa RADAR ndio kinachotokea kwa haya majengo. safari nyingi nyingi za USA za mkulu ndio zinazaa mambo kama haya.
uhapo watu kibao wamechukua chao na kuchapa lapa....
in the next years utagundulika ufisadi katika suala hili.mark my words.
NASHAURI UCHUNGUZI HURU UFANYIKE KUBAINI NIA HASA YA UNUNUZI WA MAJENGO HAYA KAMA YANA MASLAHI KWA NCHI YETU NA KAMA HAKUNA UFISADI UMEFANYIKA KATIKA MCHAKATO HUO.