mgeni mwenyeji nimewasili

Mr.Mikael

Member
Jan 18, 2012
43
17
Mgeni mim sio mgeni kihivyo sema tu nilikua siku zote nachungulia leo nimeamua na mim nijitose ndani.
Heshima kwenu waheshimiwa.
Kwa pamoja tulisogeze mbele gurudumu la Tanzania lifke kule tunapotaka.
Ngoja nikatafute avatar ili na mim nifanane na nyie.
Peace and love.
 
yep man..Mr. Mikael karibu sana....wewe ingia ndani vyumba vyote viko wazi ila kuna baadhi ya vyumba hutaingia bila ruhusa ya mwenye nyumba. utajuzwa ni nani huyo pindi muda ukiwadia na ukihitaji kuingia kwenye hivyo vyumba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom