Sonara
JF-Expert Member
- Oct 2, 2008
- 726
- 68
Leo inakuwaje watu saba au kumi wanamu interview mtu mmoja wakati wa kuomba kazi ?inaonesha udhaifu katika utendaji wetu wa kazi,lazima kuwe na watu ambao wamespeshalaizi katika mambo ya interview za kazi na sio ofisi nzima kuwacha kazi na kufanya mahojianona mtu au watu.