Mfumo wa inteview za kazi Tanzania ni aibu hata kwa taifa

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
Leo inakuwaje watu saba au kumi wanamu interview mtu mmoja wakati wa kuomba kazi ?inaonesha udhaifu katika utendaji wetu wa kazi,lazima kuwe na watu ambao wamespeshalaizi katika mambo ya interview za kazi na sio ofisi nzima kuwacha kazi na kufanya mahojianona mtu au watu.
 
Sio hivo tu,

Umeshwahi kuhudhuria interview za kazi za serikali? yaani sidhani kama ni interview au ni nini? Manake wao kazi yao ni kuuliza maswali ya darasani kwa mfano define, mention, describe etc...!

Mimi niliwahi kuhudhuria interview ya kazi ya serikali baada ya interview nikashindw akujua nilikua kwenye mithani wa darasani au kwenye interview? yaani hakuna maswali ya kiusalhili hata kidogo...!
 
Nadhani hizo interview hua kiini macho, kwani watu wanahitajika huwa wamesha pangwa/patikana
 
pole hizo ndo zao nyingi huwa kiini macho wahusika huwa tayari walishapatikana ndo maana kunakuwa hakuna maswali ya kumwi inteview mtu unaanza kuulizwa maswali ya darasani ndo maana tuna watendaji wabovu
 
niliwahi kuhudhuria also interview moja karibuni. maswali yanayoulizwa are not relevant kabisaa!! na hao consultants do not know wanaitwa kwa nn kwani hata wao hawajui kitu.
 
Wanataka per diem hao. hawna lolote!

Wajameni,

sina hakika kwa hilo kwani inategemea level au nafasi mtu unayoomba. mimi nimehudhuria interveiws mbili za serikali na kwa kweli palikua na very good structured questions [discussions], computer, presentations from a case study given [very extensive and needed good analytal skills].

Naomba kutoa hoja
 
kila mtu anataka aingie kwenye interview kwa ajili ya sitting allowance, period! ndo maana unakuta watu ofice nzima wanam interview mtu mmoja
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom