Mfanyakazi wa Bodi ya Mikopo akamatwa kwa kuingiza Majina hewa na kujipatia ulaji mil 91

Huyu nadhani hakutoa mgao maana kwa serikali ya CCM-Magamba hilo ni jambo la kawaida kabisa,na ndio katimiza wajibu,au ilitakiwa achote nyingi zaid nae akawa mbishi?najiuliza sana kwa nini kaanikwa,au mbuzi wa kafara ili kufunika mengine mengi kutoka katika bodi hiyo?lini umeenza utaratibu wa kuwabana watu wanaochota pesa ndani ya serikali hii ya CCM?No itakuwa kafanya uchoyo au kachota kidogo wakati wakubwa zake walimwagiza achote mihela mingi,sasa amekaidi wameamua kusanulia.
Hebu tujiulize kidogo lile sakata la halmashauri kule Tanga ambako kulikuwa na mradi hewa wa bwawa na kisha wabunge walioko kwenye kamati ya Mh Mrema walipokwenda wakashikishwa faranga na Mh Kafulila akashitukia dili,ikapelekea hata kusema bungeni na kutaja watu kwa majina lakini mbona iko kimya hiyo issue,leo huyu kwa nini atajwe hadharani,binafsi siamini kuna kitu huyu Esther amewakosea wapiga dili wenzie,mbona kuna madili mengi tu hayajashughulikiwa?na mbona hata juzi kwenye kikao cha halmashauri kuu ya CCM EL kachana laivu kuwa mkulu JK alikuwa anajua mchongo wote wa Richmond,kwa nini hatujasikia Hosea akimhoji JK au hata EL,mbona intelijensia haijatoa taarifa wakati kianzio kilikuwa kimeshapatikana?ukizingatia JK alishasema hajui chochote kuhusu Richmond?
Huyu Esther katoa mgawo kidogo ndio maana isssue imebumbuluka.
 
Huyu anafaa atundikwe tairi na achomwe moto iwe fundisho kwa wengine.

Anzeni na wale wa EPA,Richmond,Dowans,Rada kisha mmalizie hao dagaa,mafisadi papa ndo itafaa kuanza nao,mbona mnataka kuanza na huyu,kama mmebadilika na kuachana na ufisadi kweli anzeni na hao niliokutajia,bila hivyo nitaendelea kuamini ya kuwa CCM ni chama cha kufuga na kukumbatia MAFISADI
 
Pesa si zinatumwa chuoni? Atazichukuaje wakati zikifika chuoni wanaingiziwa wanafunzi kwenye account zao.

Kwa Tanzania taasisi karibu zote zinakosa kitu kinachoitwa BUSINESS ETHICS vinginevyo madudu kama haya hayawezi kutokea, Mfano kama utaratibu ni pesa anaingiziwa mwanafunzi kwenye akaunti yake, na inafanyika hivyo hakuna mtu anaweza kufoji majina 91 ya benk akaunti

Umeambiwa kaingiza majina hewa kaka, yani ya wanafunzi ambao hawapo vyuoni. So badala ya pesa kwenda kwa wanafunzi zimekwenda kwake. Watu km hao ndo wanawapa shida ndugu zetu wa vyuoni mpk wengine wanajirahisi kwa wanaume. Hao wanatakiwa kupgwa nyundo 30 jela, hawana tofauti na wabakaji tu
 
Anzeni na wale wa EPA,Richmond,Dowans,Rada kisha mmalizie hao dagaa,mafisadi papa ndo itafaa kuanza nao,mbona mnataka kuanza na huyu,kama mmebadilika na kuachana na ufisadi kweli anzeni na hao niliokutajia,bila hivyo nitaendelea kuamini ya kuwa CCM ni chama cha kufuga na kukumbatia MAFISADI

Dawa yao inachemka hao.
 
Symbion mbona umewasahau? na wale wanaozika fedha za wazee?
 
Hata Arusha University wapo wanachuo 58 hawajapata toka tumeanza semester hii.
 
Maleria Sugu,acha chokochoko za udini bhana,am a muslim cpend haka ka'tabia,mbona waislam wengi wanapga sala 5 na wanakwapua mali?

huyu si wa kumujibu ni aina ya watu wenye tabia ya kuongea na kufanya chochote ili apate attention ya watu na afanikishe lengo lake. Kama hapa mimi nimepoteza muda kuandika hapa kwa sababu tu ya wewe kumjibu na wengine watafata hata wengine watamtusi,but unafikiri atajali? nop, why? B'se is how she planned.
 
Back
Top Bottom