Mnyamwezi wa Urambo
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 927
- 274
Haya majitu ni majizi makubwa sema bado wengi hamjayashtukia!Hebu naomba mnisaidie wadau,ni shirika gani la ndege linalotoza one way ticket Dar to Shanghai kama final destination kwa dola 1900?Nina ushahidi wa ndugu yangu ambaye yupo huko kimasomo ticketi yake iliyogharamiwa na loan board inasomeka hivyo!Ndiyo mchezo wao haya majitu sema hili litakuwa wamelichomekea tu labda walipishana maslahi!!