True that.Jamani lazima mtumie akili... hivi mnadhani yeye ni mjinga, ukiwa na ile list na ukajua jinsi ya kuitumia lazima uachane na umasikini. Nadhani wenyewe mnaweza ku conect dots ... wale kwenye list ndio wafadhili wa CCM, ndio wabia kwenye biashara na ndio wasafishaji hela chafu... unaambiwa tu tuna taarifa zako uko kwenye list hivyo angalia bana unatutoa vipi...
Majungu tuu na fitina ilovuka mipaka! Kama una ushahidi kwa nini usipeleke kunapohusika ili hatua za isheria zikafuatwa au unatumiwa na mshindani wake wa kibiashara?
Majungu tuu na fitina ilovuka mipaka! Kama una ushahidi kwa nini usipeleke kunapohusika ili hatua za isheria zikafuatwa au unatumiwa na mshindani wake wa kibiashara?
Umeongea mengi sana kuhusu Said kuna ya ukweli kuhusu majengo lakini mengine naona una sababu zako binafsi...halafu ilo ghorofa unalosema lipo Swahili na Udoe sio Swahili na Msimbazi Mbona huyo RPC wa siku nyingi sana mkuu.
Mkuu kama mzalendo na unapenda nchi yako kwa nini huu ushahidi wako usipeleke polisi.
mazuri walofanya mbona hayajasemwa?
Umeongea mengi sana kuhusu Said kuna ya ukweli kuhusu majengo lakini mengine naona una sababu zako binafsi...halafu ilo ghorofa unalosema lipo Swahili na Udoe sio Swahili na Msimbazi Mbona huyo RPC wa siku nyingi sana mkuu.
Mkuu kama mzalendo na unapenda nchi yako kwa nini huu ushahidi wako usipeleke polisi.
Mimi ningekusifia sana kama maelezo haya ungeyapeleka vyombo husika kama Polisi, PCCB na hata kwa mwanasharia mkuu wa Serikali kwa uchunguzi zaidi na kisha suala hilo kufikishwa mahakamani kwa hatua zaidi.
Kuweka hapa ambapo watu makini wanajua fika una choyo na husda ya mafanikio ya Bw Said Saad.
Kumbuka kuwa NI wajibu wa kila Mtanzania kutii sharia zenu. Ukipitia Katiba yenu Sharia namba 15 ibara ya 6 ya mwaka 1984 kifungu cha 26 imeweka wazi kabisa na inasema hivi
26.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kufuata na kutii Katiba hii nasheria za Jamhuri ya Muungano.(2) Kila mtu ana haki, kwa kufuata utaratibu uliowekwa nasheria, kuchukua hatua za kisheria kuhakikisha hifadhi ya Katibana sheria za nchi.