Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

Ukweli umechanganywa na uongo ili uongo uonekane ukweli. Saidi "Mahonda" kweli ni "mafia" lakini mleta mada umezidisha mambo mengine yanayofanya hadithi yako isiwe na mshiko. kwa mfano "mfanya biashara wa Ki Lebanoni" kurudishwa "Yemen". Hata hukuona kuwa Lebanon na Yemen ni vitu viwili tofauti?
 
mazuri walofanya mbona hayajasemwa?

Majambazi na majizi hayana mazuri maana yanaua huku na kujifanya kufadhili huku haya so maadili ya taifa la Tanzania labda huko Yemen. 2015 wajiaandae kwenda kuwekeza visiwa vya Saadani. Suluhisho lao ni PI mara moja hata kwa kuhisiwa tu.
 
miongoni mwa mambo yanayonifanya niichukie na kuipenda JF kwa wakati mmoja ni haya!!................nimeshaharibu siku yangu kwa kujua huu ***** wa msaudia huyu,akikingiwa kifua na wapumbav wachace ambao Mungu tu ndo anajua wamepataje hizo nafasi walizonazo wanazotumia kulifilisi taifa lao kwa kufanywa vibaraka wa wageni huku wakiua ndugu zao na mustakabali mzima wa maisha yao na taifa lao bila hata mshipa kuwashtuka!!...tanzania yangu weeeeeh!

  • :angry:
 
Wakulaumiwa ni vyombo vyetu vya usalama, viko weak kiasi jamaa ya aina hii wanaweza kufanya watakalo.
Tusipo badili mfumo wa utawala basi tutegemee mazalio mengi ya aina hii.
 
Wakulaumiwa ni vyombo vyetu vya usalama, viko weak kiasi jamaa ya aina hii wanaweza kufanya watakalo.
Tusipo badili mfumo wa utawala basi tutegemee mazalio mengi ya aina hii.

Ndio maana Nyerere akasema msimchague raisi mwenyewe sura nzuri
 
Wakulaumiwa ni vyombo vyetu vya usalama, viko weak kiasi jamaa ya aina hii wanaweza kufanya watakalo.
Tusipo badili mfumo wa utawala basi tutegemee mazalio mengi ya aina hii.

Ndio maana Nyerere akasema msimchague kiongozi mwenyewe sura nzuri tuchague kiongozi mchapa kazi.. Sasa watanzania tumemchagua kikwete kwa u handsome wake sasa wacheni tuburuzwe tuuu...
 
Umeongea mengi sana kuhusu Said kuna ya ukweli kuhusu majengo lakini mengine naona una sababu zako binafsi...halafu ilo ghorofa unalosema lipo Swahili na Udoe sio Swahili na Msimbazi Mbona huyo RPC wa siku nyingi sana mkuu.

Mkuu kama mzalendo na unapenda nchi yako kwa nini huu ushahidi wako usipeleke polisi.
Mkuu
Apeleke polisi ipi????. Polisi wetu ni wazuri kwa kushughulikia vibaka ndo maana taarifa hii ikienda polisi haitasaidia, bali kwa kutujuza hivi labda pressure groups zinaweza kusaidia kwa hiyo mwandishi hana majungu kama ana majungu basi wewe utupe ukweli na ukanushe aliyotufahamisha.
 
U so deep man, umemuanika jamaa live bila chenga chaajabu serikali inamjua, Kikwete alipewa list ya wauza unga na huyu akiwa mmoja wao ila bado hamna kinachofanyika.
 
Wana JF mimi niliwahi kuandika hapa JF kuhusu huyu jamaa amefanya mambo mengi shida ni kuwa anapata sapoti kubwa kutoka kwa RIZ1 naombeni mfuatilie.

Amefanya uhalifu wa kupindukia na serikali hii pamoja na viongozi wakuu wa taasisi muhimu kama TRA commissioner anamfahamu vizuri huyu jamaa na anamsupport, IGP anamsupport na wengine katika idara nyeti.

Labda wana JF tuambiane nini tufanye kukabiliana na uhalifu wa huyu jamaa maana TRA hawawezi kumfuata maana commissioner general ni mtu wake IGP hivyo hivyo sasa tunafanyaje.
 
Huyu bwana bado tu anadunda mtaani-hivi uchafu kama huu kwa mtanganyika kama mimi mweusi unaweza kuufanya Yemen au sehem nyingine/na ukawa bado upo tu-kama si kiuwa na viongozi wabovu kwenye kila sekta hapa nchini
sijui ni kwanini kuna baadhi ya watz wanapenda kunyanyaswa na wageni??? ngoja siku aingie kwenye anga zangu, wahindi wananijua.....
 
sijui ni kwanini kuna baadhi ya watz wanapenda kunyanyaswa na wageni??? ngoja siku aingie kwenye anga zangu, wahindi wananijua.....
ni ajabu kwa wagen kuleta zengwe kwa indigenous-hata hao indigenous wanaoteswa ni wajinga
 
Serikali yenyewe inaongozwa na Wahalifu Sasa unafikiri kutakuwa na haki kweli. Tumeona yaliyomsibu ulimboka, babu seya, wafanyabiashara wa mahenge N.k.
 
Umeongea mengi sana kuhusu Said kuna ya ukweli kuhusu majengo lakini mengine naona una sababu zako binafsi...halafu ilo ghorofa unalosema lipo Swahili na Udoe sio Swahili na Msimbazi Mbona huyo RPC wa siku nyingi sana mkuu.

Mkuu kama mzalendo na unapenda nchi yako kwa nini huu ushahidi wako usipeleke polisi.
Polisi gani unaozungumzia hapa??? Interpol au!!??
 
Shughuli pevu iyo! Kwa mantiki nyingine HSC ni biashara anayoitumia kusafisha hela sio?

Je records zake zinasema hana mkopo benki yoyote?

Mtaji wa biashara yake ambayo inaonekana ni legit, ambayo ni HSC alipata wapi?

Idara za juu za TISS zinampango gani na mtu huyu?

Nzowa anasemaje pia?

Kweli Tanzania ni zaidi ya uijuavyo, ila za mwizi arobaini, lazma atanasa tu siku moja!

Hapo kwenye red labda utawala wa ccm uondoke, lakini chini ya ccm, labda za mwizi ziwe 400000000000 na wala si 40.
 
Majungu tuu na fitina ilovuka mipaka! Kama una ushahidi kwa nini usipeleke kunapohusika ili hatua za isheria zikafuatwa au unatumiwa na mshindani wake wa kibiashara?

Imekuwa majungu tena! Hii taarifa mefanyiwa kazi na ningekuwa na madaraka ningewalazimisha wote wenye kuleta habari wazitafiti kwa kina cha kiasi hiki walau. Kama una hoja inabidi na wewe ukatafiti. Kuna maeneo yametajwa kama ya huyo mtoto Vincenti, dada mtu na makampuni. Bila utafiti kaa kimya- huna la kusema au la kusimulia.
 
Umeongea mengi sana kuhusu Said kuna ya ukweli kuhusu majengo lakini mengine naona una sababu zako binafsi...halafu ilo ghorofa unalosema lipo Swahili na Udoe sio Swahili na Msimbazi Mbona huyo RPC wa siku nyingi sana mkuu.

Mkuu kama mzalendo na unapenda nchi yako kwa nini huu ushahidi wako usipeleke polisi.

Ujumbe umefika hata jamvini kuna polisi, maafisa wa TRA, TISS, anti corruption wana sehemu ya kuanzia toka kwa mtoa habari
 
U so deep man, umemuanika jamaa live bila chenga chaajabu serikali inamjua, Kikwete alipewa list ya wauza unga na huyu akiwa mmoja wao ila bado hamna kinachofanyika.

Jamani lazima mtumie akili... hivi mnadhani yeye ni mjinga, ukiwa na ile list na ukajua jinsi ya kuitumia lazima uachane na umasikini. Nadhani wenyewe mnaweza ku conect dots ... wale kwenye list ndio wafadhili wa CCM, ndio wabia kwenye biashara na ndio wasafishaji hela chafu... unaambiwa tu tuna taarifa zako uko kwenye list hivyo angalia bana unatutoa vipi...
 
Back
Top Bottom