Mindi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2008
- 3,523
- 4,991
Kama hayo ndio ujuayo, basi sina zaidi.Walipambania nini zaidi ya kusaka vyeo vipya kupitia hoja ya serikali tatu?
Kama hayo ndio ujuayo, basi sina zaidi.Walipambania nini zaidi ya kusaka vyeo vipya kupitia hoja ya serikali tatu?
Na mkapa alipokufa jamaa alimponda saana yani.Mkapa huyo,baada ya kuuza nchi kuliko mangungo,ulinwengu akimwandika saana,Akaona amnyang'anye uraia
Kama hajui tu, Ulimwengu alikuwa mratibu mkuu wa kampeni za CCM za Mkapa mwaka 1995, alitofautiana vikali sana na Mkapa kuanzia 1997 pale Mkapa alipoanza kuwa fisadi na kuuza mashirika ya umma kiholela. Huo ndio wakati ambapo hata Nyerere alimgeuka Mkapa.Ulimwengu li-CCM zoefu lilishoshindwa kufikia ndoto zake za juu baada ya kutumikia ubunge, udc na ujumbe wa kamati kuu hata baada ya mfumo wa mageuzi kuja. Likabaki na hate ya aina yake kwa Mkapa na baadae kwa Magu
Mzee mkapa alishafanya uwekezaji nadhani wa uwanja wa ndege kwa Thamani ya beberu 11,ulinwengu kupitia magazeti yake alichonga sanaNa mkapa alipokufa jamaa alimponda saana yani.
Acha utani kaka.Mzee mkapa alishafanya uwekezaji nadhani wa uwanja wa ndege kwa Thamani ya beberu 11,ulinwengu kupitia magazeti yake alichonga sana
Ndo hivyoAcha utani kaka.
Mwamba ana guts za kufa mtu, hajawahi kwenda kushoto.
Ha ha ha ha...mzee wa kata funua...kwake hoja hajui ni kukutwisha vitu vizito kichwani tu.
Ni mapungufu makubwa sana yasiyo kifani!! kudhania kuwa kwa sababu umeongea na Dikteta mmoja Duniani eti basi una akili sana au umaarufu sana!! NOoo! Duniani humu kuna watu waliongea na Mungu tena Live!! lkn walichapwa km watoto wadogo!!
JENERALI ULIMWENGU alizaliwa tarehe 4 Aprili 1948 huko Ngara, Mkoa wa Kagera nchini Tanzania. Alisoma shule za Kamachumu, Katoke na Nyakato mkoani Kagera na sekondari mkoani Tabora kuanzia mwaka 1955 hadi 1968 na alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki wakati huo mwaka 1969 hadi 1972.
Chuo Kikuu, Ulimwengu alikuwa mmoja wa wanafunzi wenye itikadi kali wanaharakati wanaounga mkono sababu zinazoendelea za ukombozi wa Afrika na ukombozi wa binadamu. Baada ya kuacha Chuo Kikuu, akawa mwanachama hai wa chama tawala, kisha TANU (Tanganyika Afican National Union) na baadaye CCM ('Chama cha Mapinduzi') kama maelezo mafupi yafuatayo ya utumishi wake baada ya mwanafunzi:
Mnamo Novemba 1993, Ulimwengu ambaye ni Mwenyekiti wa Habari Corporation, pamoja na wanahabari wengine waliojitolea, walianzisha gazeti la kwanza la kila wiki la Kiswahili linaloitwa Rai, ambalo mara moja lilijizolea umaarufu mkubwa na kuwa gazeti la habari la kuhabarisha, uchunguzi, uchambuzi na bila woga nchini. Mnamo Septemba 1995 na Februari 1998, mradi wao wa uchapishaji ulizindua gazeti la kila siku la Kiswahili, Mtanzania na la Kiingereza la kila siku la Kiafrika mtawalia.
Biashara yao ya uchapishaji pia ilimiliki magazeti mawili ya michezo kufikia wakati huu. Katika haya yote, Jenerali Ulimwengu aliendesha safu binafsi, ambazo zilisomwa na kuthaminiwa sana kwa nafasi zao za uzalendo na maendeleo. Ulimwengu hakuvuta makonde katika kuchukua misimamo ya kukosoa, bali ya kujenga, dhidi ya wanasiasa kwa maslahi ya wanyonge, wasiojiweza na wanaotengwa na nchi, bara na dunia.
Magazeti ya Ulimwengu yamekuwa yakiongoza kwa kuibua baadhi ya maovu katika jamii yetu yakiwemo ya ufisadi na kashfa ndani ya Serikali. Si ajabu, katika harakati za kutafuta na kufichua ukweli na kutumikia maslahi ya nchi yake na bara la Afrika, shughuli za Ulimwengu bila kukwepeka na bila kukusudia zimekuwa zikikanyaga vidole vyake vya nguvu, hivyo kupata hasira za wanasiasa wachache wanaonusurika kwa vitendo vya kifisadi na siasa za upendeleo(nepotism).
View attachment 2007836
Jenerali Ulimwengu akiwa na Rais wa zamani wa Msumbiji, Samora Machel.
Alikua na cheo gani jeshini wadau?Kwanini hakuwahi kumshauri Mwalimu Nyerere asifute vyama vingi baada ya Uhuru?
Chuki za aina hiyo humtesa zaidi mwenyewe. Pole.Una sonona kama ulimwengu?
Ngoja twende kongwa tukazitafuteTuwekee na za "supika" Job Ndungai , wetu tufanye komparizoni.
Tatizo likawa je Jenerali arudishwe wapi? Mambo hayo huleta utata hasa ukichukulia kwamba baada ya kusema ukweli basi unazushiwa zengwe la kutokuwa raia. Yupo Waziri mmoja naye alionja joto hili. Aliambiwa yeye ni Msomali ilhali kazaliwa, kakulia, kasomea hapa hapa na wazazi wake walikuja hapa enzi hizo. Mwandishi mmoja alilazimika kuununua Uhuru/ uraia wake kwa fedha, kosa lake kuandika habari zilizowaudhi wao.Mkapa huyo,baada ya kuuza nchi kuliko mangungo,ulinwengu akimwandika saana,Akaona amnyang'anye uraia
Na mkapa mwenyewe alisema 40% ya watu wa upande wa mama yake wanaishi Msumbiji.Tatizo likawa je Jenerali arudishwe wapi? Mambo hayo huleta utata hasa ukichukulia kwamba baada ya kusema ukweli basi unazushiwa zengwe la kutokuwa raia. Yupo Waziri mmoja naye alionja joto hili. Aliambiwa yeye ni Msomali ilhali kazaliwa, kakulia, kasomea hapa hapa na wazazi wake walikuja hapa enzi hizo. Mwandishi mmoja alilazimika kuununua Uhuru/ uraia wake kwa fedha, kosa lake kuandika habari zilizowaudhi wao.
Katika comment hii nimeona like ya ndugu ya legendary mzee wa PPRA Pascal Mayalla najua atatoa yakeTuwekee na za "supika" Job Ndungai , wetu tufanye komparizoni.
Katiba mpya iondoe madaraka ya yeyote kumnyanganya uraia yeyote aliyezaliwa Tanzania.Mkapa huyo,baada ya kuuza nchi kuliko mangungo,ulinwengu akimwandika saana,Akaona amnyang'anye uraia
We acha tu..nimepigwa na kitu kizito kichwani...TANU Youth League, kuanzia 1986 hadi 1987.🤔
Kweni CCM imeanzishwa lini?
Kwani ni raia kweli? Kuzaliwa Ngara ni fablication tu. Muulize babu yake aliishi wapi hapa Tanzania kama atakwambia. Halafu mtoa post kuweka baadhi ua kumbukumbu sawa, Ulimwengu alianza na gazeti la Dimba kabla ya mengine. Na Habari Corporation sasa hivi ni mali ya Rostam.Usisahau pia kuwa aliwahi kuzushiwa kuwa sio raia wa Tanzania
Hivi ukiomba uraia unaweza kuteuliwa na rais kuwa mkuu wa wilaya?Ulimwengu hakuzaliwa Ngara Tanzania. Uraia wa nchi hii aliuomba na akafanikiwa kupewa na idara ya uhamiaji