dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 9,401
- 15,980
Jana katika mitando mbalimbali yamepost picha ya jumba la Mayor wa zamani wa Ubungo ndugu Boniface Jacob
Jumba limenikosesha usingiz niliamka sa Tisa na kusali sana ili na mimi niweke jengo kama hilo mjini Arusha eneo la Burka estate ambako mimi Dr namiliki kiwanja Cha square m 800
Kwa Kweli mayai yanalipa sana na siasa zinalipa sana ikumbukwe kuwa mayor ana madili mengi na tenda nyingi zinapita kwake na Kisha kupewa fungu kubwa la ukarabati wa miundo mbinu ya eneo husika.
Rai yangu kwa vijana
Vijana ingieni kwenye siasa, siasa zinalipa siyo lazima uwe chawa ndipo upate mafanikio
Swali la mwisho ni kweli ni mayai tu au kuna mengine nje ya pasia