Haswaaaa, mana it is enough kwa kuorganize warm up party, si unajua nilihama? so the drinks, snacks and clubbing are included. na kama ujuwavyo, when it is enough for 1, there is room for two!he he he....ukipokea mzigo nijulishe nije kukupa company....
PAW kwenye lile jukwaa la siasa ananionea!! Am not sure, kati yake au Invisible kuna mtu alinipa ban ya siku tatu kwa kosa la name calling. But they are doing a grt job. Wengine tukiachiwa bila control. Yoyote hali ya hewa lazima ichafuke!!
Wajanja ni wengi humu Bebii. Mtu kama wewe ukipata hiyo message unawahi ku-forge ID na kupokea hela on my behalf alafu na mimi nakua na weekend kama ya Preta! lol
Guess what the sms was not mine..................mshkaji kakosea kanitumia ila nilishtuka maana majina ya mnadani ni mengi na nilishawahi pita na jina kama alilonikanya nalo
duuuu nimeipendaTafadhali niongezee hela.
Pata mda wa maongezi bure kwa kununua mda wa maongezi kupitia cheka time.
Hahah..lol hii kali!Tafadhali niongezee hela.
Pata mda wa maongezi bure kwa kununua mda wa maongezi kupitia cheka time.
Mwita unanionea bure. kwa nini unadhani mi naweza kufanya hivo? thanks for thinking I am a great thinker oa, hata wewe pia. we all are in JF... with the exception ya user mmoja, mjinga kweli...This is only habit of yours that disappoints me, that said you still remain great thinker.
Director is that a message to me hapa ama ndo ulipokea hio?? lol BTW habari ya siku bana??
Hahah thanx wangu for your concern...........................sms kama hizi ni mbaya kama yf atakuja ziona ni issue kumwelewesha zaid ya kupiga kelele umemuuaWhaaaat!!!!!!! lol.... Dah! all that sympathy i was about to feel imeenda bure! lol.... Hongera bana kua it was not yours....
Sredi zako tamu sana..unajua kuzicontol...humwachii mtu!Pole nitakupa baadae... Nimeona hapo tu.... And i am HAPPY....
This is only habit of yours that disappoints me, that said you still remain great thinker.
Mwita unanionea bure. kwa nini unadhani mi naweza kufanya hivo? thanks for thinking I am a great thinker oa, hata wewe pia. we all are in JF... with the exception ya user mmoja, mjinga kweli...
Hahahahaha, Mwita25, umemsomama AshaDii? it's me and you now. lolRollette nakukabidhi Mwita25 rasmi.... Just when i feel i start to understand him I am back at stage one AGAIN!!
thats for u,lakini unajiweka mbali na post za siasa,,why?
Hahah thanx wangu for your concern...........................sms kama hizi ni mbaya kama yf atakuja ziona ni issue kumwelewesha zaid ya kupiga kelele umemuua