Message inasemaje??? At least we know nani unawasiliana nao kwa daily basis....lol

niko busy sana labda saa tano usiku ndio nitakuwa free.....imagine that....na jana ilikuwa w/end
duu preta na ulivo na roho nyepesi mpenzi pole sana huyo shem mwambie nikimkamata cha kunitesea preta wangu
 
Hahahah...nakuapreciate sana!! Na hii unaikumbuka? Lol..am happy for this. You are great!



Unfortunately i remember most about most hapa JF.....lol.. You among... Hivo saizi my mission please "Like" OR "Love" PAW....lol
 
Habari wana JF….. Weekend inasemaje Dears???

Kwa jinsi tunavoendesha maisha yetu sasa hivi ni wazi kua kila mmoja
hasa ambae ana access ya kuingia hapa net ni lazima awe na simu ya
kiganjani thou zapishana ubora kazi yake ni moja... Hivo basi hata kwa
yule ambae ni mvivu kutuma message ni lazima walau anapokea.. thou
anaweza asitume BUT akapiga simu.... Where am i heading with this??

SWALI: Naomba if you don't mind tuambie your last message katika CM
yako inasemaje (wale ambao wameunganisha na mail take note ni msg ya CM)
Yaani toka CM ya mkononi.... Na waweza sema na mda, will be appreciated.


P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)

i like your Positive thinking!
 
Kama ulishatembea na x@@@ POLE!Kama hujatembea nae USITHUBUTU tena usitake mazoea nae..................From a friend at 11:06:47
 
No jana nilimfundisha hesabu vizuri, so was looking for another opportunity



Khaaa!!! Usiniambie ni mwanafunzi..... Please don't tell me you are a teacher unifanye niingie ndani ya pc sasa hivi!
 
hahahaha! Uporoto darling wangu ana simu original tena anatumia mtandao wa zantel.
Uskute msg ya mwisho kwenye simu ya Uporoto ni hii "Mkuu nimekuazima simu utume msg haujailejesha mpaka mida hii"
heri mie sijasema.
 
Jamani mbona kimya sana au ndiyo kusema hunitaki maana unakuwa kimya sana!!! hii ndiyo message ya jana kiasi kwamba nikazima kabisa


Come on Man up!! kama humtaki mwambie ukweli usimpotezee bana... ndo nini kuumiza roho za watu hivo?? lol
 
Khaaa!! Preta niambie kua wamtafutia dawa afeel the same pinch! (i kid) kama si tabia yake i think ana deserve kumuelewa... Ila kama ni tabia yake ya kukufanya booty call.... You have to change that! A weekend ghafla peke yako..... Dah! Pole dear...

asante sana....huyo dawa yake namchunia wiki mbili
 
Uskute msg ya mwisho kwenye simu ya Uporoto ni hii "Mkuu nimekuazima simu utume msg haujailejesha mpaka mida hii"
heri mie sijasema.

khaaa! Usinifanye nivunje skrin nikurukie. Sipendi kuona nyonga mkalia maini wangu anavunjiwa heshima.
 
hahahahaha! Ni mwendelezo huo, tukio halikuwa katika ratiba. Lol.
Asiyeelewa maana usimwambie maana.



aaaaiiiseeee!! Ngoja nione Kloro umemjibu nini kuhusu Uporoto kutokua na simu....lol
 
Back
Top Bottom