Message inasemaje??? At least we know nani unawasiliana nao kwa daily basis....lol

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,190
18,080
Habari wana JF….. Weekend inasemaje Dears???

Kwa jinsi tunavoendesha maisha yetu sasa hivi ni wazi kua kila mmoja
hasa ambae ana access ya kuingia hapa net ni lazima awe na simu ya
kiganjani thou zapishana ubora kazi yake ni moja... Hivo basi hata kwa
yule ambae ni mvivu kutuma message ni lazima walau anapokea.. thou
anaweza asitume BUT akapiga simu.... Where am i heading with this??

SWALI: Naomba if you don't mind tuambie your last message katika CM
yako inasemaje (wale ambao wameunganisha na mail take note ni msg ya CM)
Yaani toka CM ya mkononi.... Na waweza sema na mda, will be appreciated.

P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)
 
Coming Home.....!
 
It wouldn't be a private msg now if I go and publish at JF

Gaijin there are messages hutumwa just becausehio ndo media inayofaa wakati huo... Siamini kua zoote hua so private kwamba alotuma/tumiwa would mind mtu akisoma.....
 
yangu inasema
even if we have
less talks
less hellos
less stories
less greetings
but always remember that my prayers will never be less for u.
have a nice time
iyo ni ya saa tano na dkk 24
 
I replied " Karibu Dear"! Na kwa Sababu leo ni weekend That was my last message for Yesterday

Great reply.... I bet she was happy and was looking forward kukuona.....lol... (ina maana mawasiliano ni wewe na wife tu eeeh??)
 
Ooh! My last sms to reach my inbox went like '' yaani leo dear umenichunia hivyo, au jana sikukuridhisha''

Mwita hata in real life you dissapoint your loved ones?? C'mon man!! Acha kuchunia bana.... (hopefully ni lady - na hopefully si galfriend) maana i know ulituambia you have a wife who you share a birthday.....lol
 
Great reply.... I bet she was happy and was looking forward kukuona.....lol... (ina maana mawasiliano ni wewe na wife tu eeeh??)

Giza linapoingia huwa nakuwa Busy na Wife si kwamba nazuia Mawasiliano Mengine la hasha ila huwa Naomba kusiwe na Mawasiliano Mengine kwa jana Hakukuwa na Mawasiliano mengine
 
yangu inasema
even if we have
less talks
less hellos
less stories
less greetings
but always remember that my prayers will never be less for u.
have a nice time
iyo ni ya saa tano na dkk 24

Please i hope ni mtu amae haitakiwi muwasiliane at daily basis.... i.e kama ni lets say boyfriend katuma hio anakua anakuzima hasira za kutokukutafuta the whole day....lol... Mzima kid sis... Nime ku MISS.
 
Back
Top Bottom