Message inasemaje??? At least we know nani unawasiliana nao kwa daily basis....lol

he he he....ukipokea mzigo nijulishe nije kukupa company....
Haswaaaa, mana it is enough kwa kuorganize warm up party, si unajua nilihama? so the drinks, snacks and clubbing are included. na kama ujuwavyo, when it is enough for 1, there is room for two!
 
PAW kwenye lile jukwaa la siasa ananionea!! Am not sure, kati yake au Invisible kuna mtu alinipa ban ya siku tatu kwa kosa la name calling. But they are doing a grt job. Wengine tukiachiwa bila control. Yoyote hali ya hewa lazima ichafuke!!

Pole nitakupa baadae... Nimeona hapo tu.... And i am HAPPY....
 
Wajanja ni wengi humu Bebii. Mtu kama wewe ukipata hiyo message unawahi ku-forge ID na kupokea hela on my behalf alafu na mimi nakua na weekend kama ya Preta! lol

This is only habit of yours that disappoints me, that said you still remain great thinker.
 
Guess what the sms was not mine..................mshkaji kakosea kanitumia ila nilishtuka maana majina ya mnadani ni mengi na nilishawahi pita na jina kama alilonikanya nalo

Whaaaat!!!!!!! lol.... Dah! all that sympathy i was about to feel imeenda bure! lol.... Hongera bana kua it was not yours....
 
This is only habit of yours that disappoints me, that said you still remain great thinker.
Mwita unanionea bure. kwa nini unadhani mi naweza kufanya hivo? thanks for thinking I am a great thinker :poa, hata wewe pia. we all are in JF... with the exception ya user mmoja, mjinga kweli...
 
Whaaaat!!!!!!! lol.... Dah! all that sympathy i was about to feel imeenda bure! lol.... Hongera bana kua it was not yours....
Hahah thanx wangu for your concern...........................sms kama hizi ni mbaya kama yf atakuja ziona ni issue kumwelewesha zaid ya kupiga kelele umemuua
 
This is only habit of yours that disappoints me, that said you still remain great thinker.

Mwita unanionea bure. kwa nini unadhani mi naweza kufanya hivo? thanks for thinking I am a great thinker :poa, hata wewe pia. we all are in JF... with the exception ya user mmoja, mjinga kweli...

Rollette nakukabidhi Mwita25 rasmi.... Just when i feel i start to understand him I am back at stage one AGAIN!!
 
thats for u,lakini unajiweka mbali na post za siasa,,why?

Members walo wengi katika Siasa... ni wachanga saaana... Wenye utafakari, upembenuzi wa Mambo ni wachache mno... Hua naona uvivu saana kujibishana na mtu ambae najua fika kua utambuzi wake ni mdogo alafu pia Mkurupukaji.... Napenda when i discuss serious matters I am with serious people... Na ndo maaana mada zangu za Siasa huhakikisha kua the topic itself inachuja wakurupukaji... bila kuwaambia msiguse... And they dont! Kama in any way nimesema kitu out of line hapa.... Mtanisamehe....
 
Cta duu ndan ya duka la dhahabu,mara kaiona pete nzuri kainama kuiangalia bht mbaya akajamba,akageuka nxuma kuona kama kuna m2 kamckia,macho kwa macho na muuzaji!Dada akazuga 'eti kaka hii pete bei gan?'muuzaj akamwambia 'umeiona 2 umejamba nikikutajia bei c ndo utakunya!'.Acha kucheka best friend,ucku mwema
Jana 22.45
 
Hahah thanx wangu for your concern...........................sms kama hizi ni mbaya kama yf atakuja ziona ni issue kumwelewesha zaid ya kupiga kelele umemuua

Am telling you waweza zimia kabisa.... Ulitambua wakati gani kua it was not yours..... baada ya kuzimia kwanza??
 
Back
Top Bottom