Message inasemaje??? At least we know nani unawasiliana nao kwa daily basis....lol

Honey! nimemiss mafenesi zaidi yako, naomba upitie dukani unipatie ukirejea. some txt missing.

Khaaa!!! Nimependa mahusiano yenu are based on Ukweli.... Lucky you!! Yaaani Kloro bana hata torch haiwezi sema some text missing ujumbe mfupi hivo.....lol
 
Gaijin there are messages hutumwa just becausehio ndo media inayofaa wakati huo... Siamini kua zoote hua so private kwamba alotuma/tumiwa would mind mtu akisoma.....

You asked about the last one right?

Besides as long as they are to my phone they are private and I wouldn't really know what the sender will like revealed
 
Giza linapoingia huwa nakuwa Busy na Wife si kwamba nazuia Mawasiliano Mengine la hasha ila huwa Naomba kusiwe na Mawasiliano Mengine kwa jana Hakukuwa na Mawasiliano mengine

Are saying exactly that.... yaani nilivoelewa?? Hebu spell it out tuone kama nimeelewa....lol
 
You asked about the last one right?

Besides as long as they are to my phone they are private and I wouldn't really know what the sender will like revealed

Now i understand kwanini ulisema hivo Gaijin... Dah! Hapo nimemiss kitu lazima! in other words you will have to kill me once i know the message..lol
 
Please i hope ni mtu amae haitakiwi muwasiliane at daily basis.... i.e kama ni lets say boyfriend katuma hio anakua anakuzima hasira za kutokukutafuta the whole day....lol... Mzima kid sis... Nime ku MISS.
yaa ni mtu ambae hatutakiwi tuwasiliane kabisa namshangaa ila sijambo my lovely sis namtafuta nanihii humu tukale wkend
 
yaa ni mtu ambae hatutakiwi tuwasiliane kabisa namshangaa ila sijambo my lovely sis namtafuta nanihii humu tukale wkend

hahahahaha..... Mdogo wangu wewe... Unajua siku zoote hizi nakusoma tu! Hivi sasa hivi nani kanasa kwako maana sina update...
 
Now i understand kwanini ulisema hivo Gaijin... Dah! Hapo nimemiss kitu lazima! in other words you will have to kill me once i know the message..lol

Maybe yes, maybe not but I'm in no position to reveal a msg sent to me in private. I have no authority over private conversations be from an SMS, email, Voice Mail, MMS, postal letter or a Post card
 
Back
Top Bottom