Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,996
kumbe hukuwa umenunua kabla?
kwa niaba ambao hamkuwa nayo thanjs mwanakijiji......
sorry kwa kosa torrent! LOL
kumbe hukuwa umenunua kabla?
kwa niaba ambao hamkuwa nayo thanjs mwanakijiji......
asante, wabeja kulumba, ndaga fijo na lori, havache, aikambe, danke, usengwile, shukrani, gratias
Nahisi sasa tutaiona magazetini kesho na kuendelea!
Hii ripoti kwa mtazamo wangu imekaa kama one long, winding narrative ambayo inauliza maswali meeengi badala ya kutupatia majibu. Footnotes ni sparse na zinanukuu general sources of information, mostly printed media badala ya kutumwagia ushahidi madhubuti usiopingika i.e. "hard concrete evidence". Hatuonyeshwi takwimu wala nyaraka zinazotumiwa kwenye ripoti. Au vyanzo vyote ni siri? Kama ni hivyo basi credibility ya hii ripoti siyo kubwa. Simple speculations zimekuwa nyingi mno kwenye hii ripoti.

Si watu walitaka kujua? atakayekuwa depressed asitulaumu.
Naweza kupata ruhusa ya kuitafsri kwa lugha nyingine zaidi ya kiingereza?Mwanakijiji;
Iweke kwa lugha ya kiingereza. Nina maana yangu.
FP
Si wangependa kweli tuwamwagie ushahidi wote na nyaraka zote hadharani.
Hakuna kesi hapo,Fikra zako zinagusa mioyo ya watu wengi kama si wananchi wote,atakayejaribu ajiandae kujibu.....siyo lazima ionekane kwenye magazeti. Wengine hawajui wafanye nini na ripoti hii kwa sababu wanaogopa wakii serialize wanaweza kufungiwa kwa sababu "Waziri Mkuu alisema isijadiliwe hadharani".
On the other hand nimecheka sana muda mfupi ulipita kuwa watu wa UwT licha ya kuwa na nakala kwa karibu wiki nzima leo ndio wamepata hii na kuanza kutoa kopi zake. labda ili wawe na msingi wa kunitengenezea kesi.
Heri aliyanza kuliko wewe unayesubiri credibility! Just stay aside keeping other forward.....tunatafuta mpenyo wa kuinusuru nchi, fikra na roho zetu ziko kazini....watu wa namna yako wapo tu na watasubiri hizo credibility zako..Hii ripoti kwa mtazamo wangu imekaa kama one long, winding narrative ambayo inauliza maswali meeengi badala ya kutupatia majibu. Footnotes ni sparse na zinanukuu general sources of information, mostly printed media badala ya kutumwagia ushahidi madhubuti usiopingika i.e. "hard concrete evidence". Hatuonyeshwi takwimu wala nyaraka zinazotumiwa kwenye ripoti. Au vyanzo vyote ni siri? Kama ni hivyo basi credibility ya hii ripoti siyo kubwa. Simple speculations zimekuwa nyingi mno kwenye hii ripoti.