Dilunga
JF-Expert Member
- Apr 8, 2009
- 679
- 49
Hii ripoti kwa mtazamo wangu imekaa kama one long, winding narrative ambayo inauliza maswali meeengi badala ya kutupatia majibu. Footnotes ni sparse na zinanukuu general sources of information, mostly printed media badala ya kutumwagia ushahidi madhubuti usiopingika i.e. "hard concrete evidence". Hatuonyeshwi takwimu wala nyaraka zinazotumiwa kwenye ripoti. Au vyanzo vyote ni siri? Kama ni hivyo basi credibility ya hii ripoti siyo kubwa. Simple speculations zimekuwa nyingi mno kwenye hii ripoti.
Nimeanza kusoma hii ripoti mwanzoni tu nikabaki sina mbavu. Mwanakijiji anaanza kwa kuwashukuru watu untraceable au hawa exist in real life, Rev. Kishoka, SteveD, Dua, Ka-Inzi.... hahhaaaaaaaaaa!
You know, SteveD, Rev. Kishoka, etc. are among the most trenchant commentators around here, but really, who the hell is a "SteveD"? Hahahahaaa! Yani ripoti imekaa kama posti ya JF hivi....I'm mean, kwenye dibaji Mwanakijiji anakashukuru Ka-Inzi! Ndio source! hahahahaaha... Kuna ndugu zangu wamepumzika hapa nitawaamsha bure kwa kelele za kucheka...nitasoma kesho hii kitu, kwa sasa imenivunja nguvu!