Mengi akanusha habari zinazodai 'amejitoa rasmi kwa Lowassa'

Badala ya kutulia na kulea wanae kutwa nzima kulia lia tuu utafikiri yeye ni mtanzania pekee! Hatutaki kura yake na tutashinda kwa kishindo .....!

Watu wangapi wanasemwa vibaya kwenye mitandao yani kusemwa yeye ndio amani ivunjike?

Mengi acha ujinga wa kulialia kila leo ...hatuhitaji kura yako..
 
Hapo bado kuna swali kweli? Kama alikuwa team Lowasa na amekanusha taarifa kuwa amejitoa, hiyo si ina maana hajajitoa? Au mm ndo sijui reasoning?

Tuambie ni lini pia alitangaza kujiunga ukawa? au unataka ake akukanushe na wewe? Una kichwa kigumu, ni kwamba anachojaribu kusema mbele ya jamii HANA UPANDE.
Alafu tangazo lenyewe mbona la kizushi sana? Huyu 'dr' nae ni shida!
 
Badala ya kutulia na kulea wanae kutwa nzima kulia lia tuu utafikiri yeye ni mtanzania pekee! Hatutaki kura yake na tutashinda kwa kishindo .....!

Watu wangapi wanasemwa vibaya kwenye mitandao yani kusemwa yeye ndio amani ivunjike?

Mengi acha ujinga wa kulialia kila leo ...hatuhitaji kura yako..

Mkuu kura unampa nani?
 
Siasa Majitaka Tu!! Hakuna Cha Maana, Uzi Mnazisha Na Kuchangia Wenyewe!! Tumeshastukia Mchezo!! Hivyo Wanabadiliko Hatusumbuki Nanyi!! Mnatunga Vitu Na Kuchangia Wenyewe, Kuonyesha WATU Wanaunga Mkono Hoja!! Ndio Maana Hapo Unasema INGEKUWA Ni Upuuzi WATU Wangechangia??? Kumbe Mnajitekenya Na Kucheka Wenyewe Tu!!
 
Badala ya kutulia na kulea wanae kutwa nzima kulia lia tuu utafikiri yeye ni mtanzania pekee! Hatutaki kura yake na tutashinda kwa kishindo .....!

Watu wangapi wanasemwa vibaya kwenye mitandao yani kusemwa yeye ndio amani ivunjike?

Mengi acha ujinga wa kulialia kila leo ...hatuhitaji kura yako..

Kwa hiyo Wanyarwanda wanaruhusiwa kupiga kura Tanzania?
 
Babu MAGUMASHI!! Tehe! Tehe! Tehe!! Mtazua Kila JAMBO Mwaka Huu!!! Mtatengeneza Email, Magazeti Na Taarifa MAGUMASHI Hadi Baada Ya KURA Kupigwa!!!
 
Back
Top Bottom