GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,114
- 110,498
Ccm imekata pumzi!
Wewe kuwa na adabu kwa wakubwa na viongozi, unakua kama mtoto wa mitaani
Kama kawaida anatafuta ujiko na kuonewa huruma.kuita kote huko waandishi anatoa stament ya kusomwa dakika moja? Ni heri angeibandika Itv ili ionekane kaskazini koteBadala ya kutulia na kulea wanae kutwa nzima kulia lia tuu utafikiri yeye ni mtanzania pekee! Hatutaki kura yake na tutashinda kwa kishindo .....!
Watu wangapi wanasemwa vibaya kwenye mitandao yani kusemwa yeye ndio amani ivunjike?
Mengi acha ujinga wa kulialia kila leo ...hatuhitaji kura yako..
Mpuuzi ni mtu anaye fanya upuuzi...hivi huyu Mengi anafikiri amani itavunjika kwa kuwa yeye kasemwa?,,,Mengi acha utoto...
Mengi ndio uchafu gani?
hahahahaMengi ni mpuuzi sana ....
kama huyo unamuita mtoto Nape utamuita nano?Wewe kuwa na adabu kwa wakubwa na viongozi, unakua kama mtoto wa mitaani
Hamna jipya. IT saccos mpo kazini
Wewe kuwa na adabu kwa wakubwa na viongozi, unakua kama mtoto wa mitaani
Sasa mada yako ni tofauti na tamko la mengi wala halionyeshi kama kajitoa ama kaingia. Hapa mimi nilichoelewa kwamba ni kweli UKAWA kwa nafasi ya urais wasubiri miaka 10 kitu ambacho ni kweli kabisa iwe kasema yeye au yeyote yule
Hilo andiko linatia shaka kwakweli. lakini siitaji kupitia mabandiko ya jamii forum ili kujua team anayochezea mengi maana ni swala lilowazi na linalojulikana siku nyingi tu kwamba si muumini wa jezi ya kijani na njano