Nikweli policy zinSi muda mrefu kutoka sasa sera zinakwenda kubadilika, na masuala ya kutundika cheti itakuwa historia. Hata hivyo Pharmacist katika Tanzania hawatumii elimu yao ipasavyo, nadhani ni kama 2-5% ya elimu yao. Kwa nini bado tunaangiza dripu toka nje?? kwa nini tunaangiza gauze wakti tuna pamba ya kutosha?? kwa nini mnawadanganya watanzania kwa kuwauzia quinine syrup wakati stability yake ni ndogo, kwa nini hfanyi compounding? kwa nini mnauza Eusol wakti inatakiwa iwe freshly prepared??
Inabidi wafamasia wa kitanzania muone kwa jicho la tatu, thereis a lot of oppurtunity katika nchi hii, wake up.
Mbona hamnijlbu swal langu mweny bachelor ya pharmacy na MD wanalpwa kias gan kam umeajrliw na serikal as take home
Haina haja make mishahara inabadilika kila kukicha cha msingi we jua tu tofauti siyo kubwa md yuko juu kwani nimiaka mitano vs miaka minne ya mfamasia
Hata sasa zinaendelea kubadilishwa but in favour of pharmacist ndio maana manesi wanaelekea kuzuiwa kuuza pharmacymkuu policy zinabadilika! be careful!
Heshima pesa... Na famasi inapesa na mpka sahv nchi yetu ina wafamasia 1500 tu hvyo fursa zipo uucchhii na si lazma kuajiriwa wala kujiajir u can sleep at ur home place ukaingiza pesa zaid ya daktari anaeshinda na kulala wodin... Think big mkuumedicine unachance ya kwenda nchi yeyote ile kufanya kazi... na pia hutafuti kazi ... kazi inakutafuta wewe..
heshima! katika jamii... watu watakuheshimu na utajukikana sababu wewe ni dactari .. itafika mahala utapata feva flan hutotarajia either sababu mmiliki au muhusika aliwahi kuwa mgonjwa wako kitambo...
kama unakichwa cha dactari go for medicine
Pharmacy is for pharmacist...Si muda mrefu kutoka sasa sera zinakwenda kubadilika, na masuala ya kutundika cheti itakuwa historia. Hata hivyo Pharmacist katika Tanzania hawatumii elimu yao ipasavyo, nadhani ni kama 2-5% ya elimu yao. Kwa nini bado tunaangiza dripu toka nje?? kwa nini tunaangiza gauze wakti tuna pamba ya kutosha?? kwa nini mnawadanganya watanzania kwa kuwauzia quinine syrup wakati stability yake ni ndogo, kwa nini hfanyi compounding? kwa nini mnauza Eusol wakti inatakiwa iwe freshly prepared??
Inabidi wafamasia wa kitanzania muone kwa jicho la tatu, thereis a lot of oppurtunity katika nchi hii, wake up.
CBG hasomi MD wadau labda kwa miaka ya nyuma lkn guide book ya tcu MD lazma awe kasoma advanced physicssafi kaka nami CBG nimepata MD bugando!
You are very Cheap!kuweka cheti tu kwenye duka la mtu unabeba m kwa mwezi, mshahara wako mfukoni, bado hujaanzisha la kwako, watu wakuconsult wakati wa uanzishaji wa madvka yao. Hizo zote ni za halali ukiongeza na zile za kuagiza dawa na kuzificha, procurement procedures! Medicine utaishia kulalamika tu wagonjwa wanakufa kizembe kwa kukosa dawa,unaamshwa usiku, mshahara mdogo, marupurupu mpaka uvuje mpaka serum, uko exposed kwenye magonjwa zaidi.
MD are masters of the game. Pharmacists wenyewe hata hawajiamini wameanza kutengeneza tena kozi mpya, Pharm D ( Doctor of Pharmacy ) !!Hata sasa zinaendelea kubadilishwa but in favour of pharmacist ndio maana manesi wanaelekea kuzuiwa kuuza pharmacy
Unatia AIBU! are you a graduate?Heshima pesa... Na famasi inapesa na mpka sahv nchi yetu ina wafamasia 1500 tu hvyo fursa zipo uucchhii na si lazma kuajiriwa wala kujiajir u can sleep at ur home place ukaingiza pesa zaid ya daktari anaeshinda na kulala wodin... Think big mkuu
Huwez kuendelea kwa kutegemea huruma za wagonjwa unaowatibu
Master of shit!!! Master kwa manesi ambao hawana la kufanya bila uwepo wenu lkn sio master of pharmacist...MD are masters of the game. Pharmacists wenyewe hata hawajiamini wameanza kutengeneza tena kozi mpya, Pharm D ( Doctor of Pharmacy ) !!
Aibu kitu gn!!??Unatia AIBU! are you a graduate?