Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,617
- 34,062
Utakataa tu ukweli, but facts are there to stay. In Africa, Pharmacy inayotumika ni Hospital Pharmacy. Nchi nyingine za Africa kama Nigeria na Afrika Kusini na pia nchi za Ulaya na america washaanza kutengeneza kozi mpya (Pharm D). Sijui ni kuwa too desperate to be identified as a Dr au nini. MD ni Mtu anaefanya Prescription anakupa tu wewe kama mtoa dawa.Master of shit!!! Master kwa manesi ambao hawana la kufanya bila uwepo wenu lkn sio master of pharmacist...
Kujiamin au kutokujiamin ni individual factor huwez kugeneralize maana hata mm nmekutana na MD wasiojaiman lkn siwez kusema MD wote hawajiamin...
Pharmacy iko vr diverse kaz za pharmacist haianzii hospitali na wala haiaiishii hospitali kuanzishwa kwa pharm D ni ili apatikane mfamasia ktk ngaz ya bachelor anayedili na mambo ya clinical tuuu with shallow knowledge kwenye aspect nyingne sasa endelea kujilinganisha na mfamasia wakat wewe nje ya hospitali huna la maana zaid ya illegal abortion...