FADHILIEJ Senior Member Nov 5, 2010 132 18 Jul 10, 2011 #1 Wadau nipo mbali na luninga,naomba kupata update ya mechi za leo,nini kinaendelea?
K Kagalala JF-Expert Member Oct 31, 2010 2,403 1,132 Jul 10, 2011 #2 Hata mimi nasubiri naomba mwenye taarifa haujuze kinachoendelea taifa
K Kagalala JF-Expert Member Oct 31, 2010 2,403 1,132 Jul 10, 2011 #3 Habari nilzipata ngoma bado ni 0 - 0 dakika 90 zimeisha wako dakika 30 za ngonyeza
K Kishalu JF-Expert Member Nov 1, 2010 1,173 708 Jul 10, 2011 #4 waheshimiwa tupeni update maana dk 90 zinaonekana kuisha na hamna majibu kama ni Simba au Yanga
Nsiande JF-Expert Member Jul 27, 2009 1,649 872 Jul 10, 2011 #6 Kandambili ....hoyeeee.....bado mpira unaendelea lakini nashindwa kuufuatilia, pressure juu...
K Kishalu JF-Expert Member Nov 1, 2010 1,173 708 Jul 10, 2011 #7 Yanga 1 Simba 0 Mpira umeisha au bado maana naona wale washabiki wote haonekani
Rugaijamu JF-Expert Member Jul 10, 2010 2,942 1,294 Jul 10, 2011 #9 Yanga bingwa,kamchapa simba kimoja.mfungaji Ken Asamoah kwa kichwa!
K Kishalu JF-Expert Member Nov 1, 2010 1,173 708 Jul 10, 2011 #11 Akina Masuke,saint Ivuga,Gwamahala na wengine tupeni kinachoendelea hapo uwanjani tafadhali tupo mbali
Akina Masuke,saint Ivuga,Gwamahala na wengine tupeni kinachoendelea hapo uwanjani tafadhali tupo mbali
K Kishalu JF-Expert Member Nov 1, 2010 1,173 708 Jul 10, 2011 #12 Hongera sana yanga kuwa bingwa Tanzania na Africa mashariki na pia hongera simba kwa ushindani mzuri maana wengi walitegemea historia ila imekuwa sio Poleni sana wanasimba ndiyo mpira ulivyo
Hongera sana yanga kuwa bingwa Tanzania na Africa mashariki na pia hongera simba kwa ushindani mzuri maana wengi walitegemea historia ila imekuwa sio Poleni sana wanasimba ndiyo mpira ulivyo
peck JF-Expert Member Dec 20, 2010 220 27 Jul 10, 2011 #13 Hongera yanga! Kurejea tu kwenye mashindano na ushindi