Imedhihirika: Yanga Vs Mamelodi Sundowns ndiyo mechi kubwa kuliko zote hatua ya robo fainali, Simba ni kama wamejikatia tamaa kabisa

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,197
25,517
Kuanzia mtaani hadi mitandaoni, mechi iliyowajaa midomoni wapenzi na mashabiki wa soka ni ile ya Yanga. Kuna wanaoiamini Yanga na kuona itaibuka kidedea Benjamin Mkapa na hata mwisho wa mechi mbili. Kuna wanaoibeza na kuona imefikia mwisho. Lakini, Yanga ameteka mazungumzo.

Kuanzia wachambuzi uchwara hadi wale wa maana, mechi ni ya Yanga tu. Wanaizungumza mechi ya Jumamosi kanakwamba hakuna mechi siku ya Ijumaa ambayo kimsingi ndiyo inayotangulia. Hata vikosi vinavyopambanishwa ni vile vya Yanga na Mamelodi.

Simba hawatajwi. Simba wamekosa hamasa na amshaamsha iliyozoeleka. Ni kama vile wamekata tamaa kwa Al Ahly. Wao wanaanza Ijumaa lakini wananchi walio wengi wamepania, wanajadili na kujiandaa kwa Jumamosi 'wakiipuuza' mechi ya Simba dhidi ya Al Ahly.

Kwani mashabiki wa Simba wamekatishwa tamaa na kitu gani? Hakika, Yanga v Mamelodi Sundowns ndiyo mechi bora kwenye hatua hii. Mpira utapigwa, mshindi atapatikana. Tujue kabisa, Mamelodi ni timu nzuri au la? Tukutane kwa Mkapa Jumamosi!
 
Mechi ya Simba na Al Ahly ndio mechi kubwa kwa hatua hii.

Kwasababu kwanza inakutanisha timu mbili ambazo zipo kwenye top 5 ya timu bora za CAF.

Lakini pia Al Ahly ukumbuke ndio timu pekee ambayo imekuwa ikiendeleza utemi na ubabe kwa timu zote barani AFRICA zilizowahi kukutana kwenye michuano hii ya CAF Champion League isipokuwa kwa Simba pekee.

Maana yake ni kwamba mashindano haya kila timu ni kibonde wa Al AHLY isipokuwa Simba tu ndio timu pekee iliyoweza kutunishiana misuli na Giant huyu.

Kwa hiyo mpaka sasa Al Ahly na Simba ndio AFRICA DERBY.

Yanga na Mamelodi haiwezi kuwa mechi kubwa licha ya kwamba Yanga kwa saizi wana perfomance nzuri kuliko Simba.

Kwa misimu takribani minane ya ushiriki wa kimataifa, Yanga hajawahi kumfunga Giant yeyote wa top 4 (kama yupo nitajie)

Lakini hata katika hatua ya makundi utaona makundi yote manne, timu ya pot namba moja imepoteza mchezo kasoro group D ambalo ni la Yanga tu ndio walioshindwa kumfunga pot number 1 ambaye ni Al Ahly.

Kwa maana yake Yanga na wale wenzake wawili walikuwa hawana ubavu wa kumfunga AL Ahly wa pot namba 1.

Kwanini Simba na Al Ahly ndio mechi kubwa kabisa.

Kwanza hii inaanzia katika AFL. kumbuka viongozi wa CAF walikuwa na ugeni mkubwa katika ufunguzi wa hii michuano na ili kufanya michuano ya AFL iwe na vionjo vya ubora wa kuwaridhisha atu wazito katika tasnia ya mpira, CAF waliangalia ni timu gani ambazo zikikutana mechi itakuwa na hadhi ya Derby.

Ndio hapo walipoona Simba na Al Ahly ni mechi yenye vigezo hivyo wanavyovitaka wao.

Sasa ukija kwenye haya mashindano ambayo tupo utaona kuna timu nane, lakini swali la kujiuliza kwanini siku ya tarehe 29 CAF imeamua mechi ichezeke moja tu?

Kuna kitu gani special kwenye hiyo mechi kiasi ulimwengu mzima siku hiyo utazame mechi moja peke yake halafu baada ya hapo siku zinazofuata zitaanza kucheza mbili mbili kwa siku?

Well hapo jibu ni rahisi tu kuwa Simba na Al Ahly ndio mechi kubwa ndio maana imepewa hadhi hiyo.
 
Huyu ndio scar bhana
 
Wewe nawe kama ndiyo umeujua mpira leo,Simba na Al Ahly almost kila msimu wanakutana kiasi wamekuwa kama watani wa jadi ndiyo maana hakuna jipya kinachosubiriwa ni kipute kipigwe mwarabu akandwe basi. Niambie Yanga wamekutana lini na Mamelod? Wacha waongee kwani ni jambo jipya kwao.
 
Mechi ya Simba na Al Ahly ndio mechi kubwa kwa hatua hii.

Kwasababu kwanza inakutanisha timu mbili ambazo zipo kwenye top 5 ya timu bora za CAF.

Lakini pia Al Ahly ukumbuke ndio timu pekee ambayo imekuwa ikiendeleza utemi na ubabe kwa timu zote barani AFRICA zilizowahi kukutana kwenye michuano hii ya CAF Champion League isipokuwa kwa Simba pekee.

Maana yake ni kwamba mashindano haya kila timu ni kibonde wa Al AHLY isipokuwa Simba tu ndio timu pekee iliyoweza kutunishiana misuli na Giant huyu.

Kwa hiyo mpaka sasa Al Ahly na Simba ndio AFRICA DERBY.

Yanga na Mamelodi haiwezi kuwa mechi kubwa licha ya kwamba Yanga kwa saizi wana perfomance nzuri kuliko Simba.

Kwa misimu takribani minane ya ushiriki wa kimataifa, Yanga hajawahi kumfunga Giant yeyote wa top 4 (kama yupo nitajie)

Lakini hata katika hatua ya makundi utaona makundi yote manne, timu ya pot namba moja imepoteza mchezo kasoro group D ambalo ni la Yanga tu ndio walioshindwa kumfunga pot number 1 ambaye ni Al Ahly.

Kwa maana yake Yanga na wale wenzake wawili walikuwa hawana ubavu wa kumfunga AL Ahly wa pot namba 1.

Kwanini Simba na Al Ahly ndio mechi kubwa kabisa.

Kwanza hii inaanzia katika AFL. kumbuka viongozi wa CAF walikuwa na ugeni mkubwa katika ufunguzi wa hii michuano na ili kufanya michuano ya AFL iwe na vionjo vya ubora wa kuwaridhisha atu wazito katika tasnia ya mpira, CAF waliangalia ni timu gani ambazo zikikutana mechi itakuwa na hadhi ya Derby.

Ndio hapo walipoona Simba na Al Ahly ni mechi yenye vigezo hivyo wanavyovitaka wao.

Sasa ukija kwenye haya mashindano ambayo tupo utaona kuna timu nane, lakini swali la kujiuliza kwanini siku ya tarehe 29 CAF imeamua mechi ichezeke moja tu?

Kuna kitu gani special kwenye hiyo mechi kiasi ulimwengu mzima siku hiyo utazame mechi moja peke yake halafu baada ya hapo siku zinazofuata zitaanza kucheza mbili mbili kwa siku?

Well hapo jibu ni rahisi tu kuwa Simba na Al Ahly ndio mechi kubwa ndio maana imepewa hadhi hiyo.
mtani unajielezea sana
 
Kuanzia mtaani hadi mitandaoni, mechi iliyowajaa midomoni wapenzi na mashabiki wa soka ni ile ya Yanga. Kuna wanaoiamini Yanga na kuona itaibuka kidedea Benjamin Mkapa na hata mwisho wa mechi mbili. Kuna wanaoibeza na kuona imefikia mwisho. Lakini, Yanga ameteka mazungumzo.

Kuanzia wachambuzi uchwara hadi wale wa maana, mechi ni ya Yanga tu. Wanaizungumza mechi ya Jumamosi kanakwamba hakuna mechi siku ya Ijumaa ambayo kimsingi ndiyo inayotangulia. Hata vikosi vinavyopambanishwa ni vile vya Yanga na Mamelodi.

Simba hawatajwi. Simba wamekosa hamasa na amshaamsha iliyozoeleka. Ni kama vile wamekata tamaa kwa Al Ahly. Wao wanaanza Ijumaa lakini wananchi walio wengi wamepania, wanajadili na kujiandaa kwa Jumamosi 'wakiipuuza' mechi ya Simba dhidi ya Al Ahly.

Kwani mashabiki wa Simba wamekatishwa tamaa na kitu gani? Hakika, Yanga v Mamelodi Sundowns ndiyo mechi bora kwenye hatua hii. Mpira utapigwa, mshindi atapatikana. Tujue kabisa, Mamelodi ni timu nzuri au la? Tukutane kwa Mkapa Jumamosi!
Scars ebu twambie

Masandawana ni unga au vipanga?
 
SIMBA WANAMKIMBIZA MWIZI KIMYA KIMYA. PIA NADHANI WENZETU WAMEZOEA. SISI HUU USHAMBA NDO UNATUUMIZA. MPAKA WATU MNALAZIMISHWA KWENDA UWANJANI KWA KULIPIWA. MWANAUME HALIPIWI. ANAJILIPIA MWENYEWE.
 
images (1)-1.jpeg
 
Kitu nilichokigundua ni Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Top performance ya Yanga vs top performance ya Mamelod... Ndio vitu vinavyofanya mechi hii kuwa kubwa.... Hapa unaongelea finalist wa 2022-23 wa shirikisho vs finalist na bingwa wa AFl.
 
Back
Top Bottom