Le big celeb @ kivukoni baharia wa kwenye lami.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Sasa unatakaje?
1. Hizo picha kapiga mwenyewe, na mtandaoni kaweka mwenyewe
2. Yeye kama yeye anapenda picha zake, ndio maana kaziweka mtandaoni
3. Nani kakwambia kua anahisi kadhalilishwa? Au wewe umeongea nae?
4. Unafikiri tungemsaidiaje mfano? tususe kununua gazeti hilo? tuwashtaki?
5. Mwenyewe W. J. Malecela kasemaje? Mbona kachukulia poa tu?
Ingia kwenye link hii post # 156 mtayapa majibu ya William short & clear wala msipote muda wenu.
William Malecela na Ajali za Kisiasa
Ndio maana nimesema, kwani yeye kalalamika lolote?
kaomba msaada wowote hadi CS aulise tumsaidieje?
Just let the man be! It is his lifestyle and he likes it.
ha!haa!haha!haaaaa!ha!ha?ha
Sijaona udhalilishaji katika hili. Mimi ningefikiri huyo 'mtoto wa malecela' ndiye angepaswa kulilipa hilo gazeti (au huenda amelilipa iili kutoa picha hizo!) kwa kumpatia publicity ambayo ni wazi anaihitaji.Wadau wengi hapa JF tunamfahamu kutosha William Malecela kwa michango mizuri na kuleta mada za udadisi katika kujenga jamii yetu. Ni mdau mwenzetu na ni mmja kati ya wadau wa mwanzoni kabisa waliojitahidi kuchangia mada mbalimbali hapa Jamii forums.
Uvumilivu wake katika kujadili mada pamoja na kuonyesha ustahimilivu hata tunapomkosoa au kuwa kinyume cha itikadi anazoamini ambayo ni haki yake ya free speach ni funzo tosha wangu na kwa wengi.
Kilichonishtua ni Gazeti moja hilo pichani kuweka habari ambazo sidhani kama yeye binafsi zitamfurahisha pamoja na familia yake. Kwa walio karibu naye wajaribu kumpa moyo na subira kwani maisha ni safari na binadamu ni kinyonga, kwani akiwa na sikio sikivu ipo siku magazeti haya haya yataandika mazuri tu juu yake.
Tukumbuke ameshapata nafasi kadhaa katika Chama cha Mapinduzi kuwa mwakilishi na vyeo vingine na bado anatarajia kupanda taratibu, mambo kama haya nisingefurahia kutokea kwake kwani yanaweza kuwa kihuzi katika kupanda hatua nyingine zaidi kufikia matarajio yake. Papo kulinda heshima ya jna la Malecela John.
Tabloids : Stay off his dyck.Hata udaku kuna mwingine lazy.