Elections 2010 Mdahalo wa Wagombea vijana Movenpik 25/09/2010

big up mrema wa chadema umenipa data muhimu, tani 50 za dhahabu kodi imekwenda wapi? nyerere alijenga nchi kwa kutegemea kahawa korosho chai akajenga nchi sasa tuna dhahabu hakuna kitu kinafanyika
 
Sera ya Elimu CUF:

1: Elimu Bure kuanzia Chekechekea mpaka Chuo Kiukuu
 
Elimu CHADEMA:

Shule za Uma zimetelekezw, Taaluma ya Elimu imedhalilishwa,
 
big up mrema wa chadema umenipa data muhimu, tani 50 za dhahabu kodi imekwenda wapi? nyerere alijenga nchi kwa kutegemea kahawa korosho chai akajenga nchi sasa tuna dhahabu hakuna kitu kinafanyika

Sio kodi tu mkuu hata fedha yenyewe haionekaniya hiyo tani 50 haiko
 
huyo mama amekaa jirani na ulimwengu ni nani?amevaa nguo nyeusi....mwambieni akavae sketi ndefu manake........
 
Gender sensitive kaweka msimamo barabara inafaa tumchangie , ataleta mabadiliko Kilomero na nadhani akisaidiwa atamshinda yule msanii wa ccm!!
 
Regia Mtema,chadema aelezea swala la mikakati kuhusu jinsia na haki zao katika serikali yao, wa cuf nao waeleza
 
Hao jama wawili wa CUF ukiondoa Mtatiro Mbona ni watu wazima? au ndo vijana kwa tafsiri ya CUF?
 
limbu yupo very focused. mimi nadhani wakati wa mabadiliko ni sasa. haws ccm wanaendesha nchi kimazoes tu na kweli wanatuibia.
 
Swali kuhusu ufisadi, cuf na chadema waahidi wote walioshiriki ufisadi wanafikishwa mbele ya sheria kushughulikiwa!

Halima asema sheria ya maadili ya uma kubadilishwa and watuhumiwa kuchukuliwa sheria kali dhidi ya mafisadi.
 
Kuhusu madini, Zito alonga, asema ni mchango wa chadema kwa kile kinachoonekana kuwa sheria mpya ya madini, wataendeleza kazi mpya baada ya kuingia madarakani. sheria ya mafuta na gesi yafuata pia wakiingia madarakani
 
Back
Top Bottom